Mungu wa Wachaga avunjwa

Mungu wa Wachaga avunjwa

Status
Not open for further replies.
namtaka aliyekabidhiwa hela ya kwenda kulipia tangazo nae akaenda kulipia kweli,
 
Sina nia ya kuleta ukabila au kuchukia kabila la mtu fulani.
Lakini napenda tupate ufafanuzi wa Tangazo hili japo linaonekana ni la muda kidogo ila ni vizuri tukapata kujua nini kilitokea na solution
FB_IMG_15348641421149272.jpg
 
Nafikiri mwenye shida ni Wewe unaefuata mila za waarabu na wazungu
 
Ndipo nnaposhindwa kuelewa hata yule mungu aliyejeruhiwa alishindwa kujiokoa napata mashaka sana kwa kweli.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom