Mungu wa Wachaga avunjwa

Mungu wa Wachaga avunjwa

Status
Not open for further replies.
Duh kwa hiyo mwezi wa 12 wachaga hawatarudi nyumbani maana Mungu wakiyemuomba
ameshavunjwa.
 
Ukute huyo Mungu alikuwa ana dhahabu ndani yake bi. Upendo akavunja akasepa na dhahabu, hapa ikaletwa kwamba amemvunja Mungu wao lakini in reality wanahitaji dhahabu zao
 
Wamekosea badala kusema mzimu wao wakasema mungu,na ss kama mungu wao amekufa hawaabudu tena wamekua wapagani sasa!!
 
Kati ya makabila yanayopenda kuabudu miungu ni wachaga ila sasa ndo wanaanza kubadilika sababu ya kutembea sehemu mbali mbali
 
CE5_xOsVEAEGUkU.jpg
 
CE31thmUIAE2dXC.jpg:large

Gazeti la Mwananchi la leo. Sasa sijui kama amemvunja 'Mungu' polisi binadamu watamkamataje. Nadhani mashitaka kama haya ndio tutegemee kwenye sheria hizi mpya mpya. hahaha, ..."umemfotoshopu mungu intentionally and unlawfully"

Teh teh teh teh.

Cc 2013 Ishmael Nicholas Mkuu wa chuo Remote na wachaga mliobaki.
Hii Chrismas inayokuja Mbege itateremka vipi bila ibada?
Manake mnachokiabudu ndo hivyo tena, mdada kafanya kweli!
 
Last edited by a moderator:
wachaga wana mungu wao anayeweza kuuawa na kitoto kidogo kama icho. nilishasema kuwa uchagani kuna mauzauza kibao ndio maana kila nyumba utakuta kama hakuna zuzu basi wagumba kwasababu ya makafara na ushirikina.
 
Sijaelewa Hute
 
Last edited by a moderator:
Mungu kavunjwa na kaharibiwa?,huyo ndo huenda kumuabudu kipindi cha mwishoni mwa mwaka?...
 
Teh teh teh teh.

Cc 2013 Ishmael Nicholas Mkuu wa chuo Remote na wachaga mliobaki.
Hii Chrismas inayokuja Mbege itateremka vipi bila ibada?
Manake mnachokiabudu ndo hivyo tena, mdada kafanya kweli!

You worship a blood sucking monster god.you know that damn well..
Your sadistic laugh won't change that. And you ain't happy either.
 
Last edited by a moderator:
You worship a blood sucking monster god.you know that damn well..
Your sadistic laugh won't change that. And you ain't happy either.

Teh teh teh.
Sasa meku ee! Hivi huyo mungu wenu alishindwa kujitetea kwa huyu binti?
Au alikuwa kalala akashtukia Panga la mgongo?
Hebu tuelimishe kidogo hii miungu mnaitengeneza kwa mbao Au udongo! ?
 
Wanamtafuta ili aje amjenge mungu au wanataka yeye awe mungu kwa kuwa ameua mungu wao?

Wana social studies, fanyeni kautafiti mtujuvye huyo mungu alipovunjwa ambapo sijui aliuawa ama alifanyiwa ulemavu, matatizo gani yanayosemwa yametokea hapo kijijini, yanayohusiana na mungu kuwa mgonjwa au marehemu?

Huyo binti anatisha!. Mungu amlinde wasije kumchinja.

Sasa mbona unatuchanganya hapo! ?
mungu wake ameshamkatakata mapanga na kumuharibu vibaya sana, sasa huyo wa kumlinda atoke wapi wakati kaisha kufa na mtuhumiwa kalala mbele?
Au wachaga wenye imani hizi wana miungu mingine mikubwa kuliko huyu marehemu ambayo unaiomba imlinde muhalifu?
 
Teh teh teh.
Sasa meku ee! Hivi huyo mungu wenu alishindwa kujitetea kwa huyu binti?
Au alikuwa kalala akashtukia Panga la mgongo?
Hebu tuelimishe kidogo hii miungu mnaitengeneza kwa mbao Au udongo! ?

Maswali mazuri yanaonyesha ufahamu wako haujaharibika kabisa

Huyo wa kichagga yupo physical, ndio maana ameweza kushikwa na huyo binti. Tofauti na wakwako ambaye hayuko na physical.
Hata hivyo amejitetea ndio maana unaona wanafamilia wanamsaka binti kwa udi na uvumba baada ya kufikwa na mabalaa.

MaSwali hayo hayo unaulizwa wewe pia..? Mungu wako hawezi kujitetea kama huyo wa kichagga? Mbona mnamsaidia kuangamiza watu. Jibu ili nijue akili zako hazijaharibika zote.
 
Kwahiyo unataka kusema wale jamaa na ndugu zetu ambao kitabu (Mungu) cha kikikojolewa wanaanzisha vurugu nao Mungu wao hana nguvu hadi wanafanya vurugu ?.

Jaribu kutumia akili unapojenga hoja kijana, sio kibwatuka tu km wanywa kangara.
Hapa mungu wa kichaga kauawa! Sio kitabu cha wachaga.

Kitabu unachoongelea wewe ni kitabu cha waumini na SIO MUNGU WAO, na niwajibu wao kukitunza na kukiheshimu na akitokea kenge wa kukiletea dharau waumini wanaofuata kitabu hicho wana haki ya kukata makende ya huyo muhalifu.
Au kumfanya lolote walitakalo kwa kukidharaulisha Kitabu Chao.

Huyu binti wanasema kamuua mungu ambae alikuwa hana uhai Anyway!
Sasa hata akipelekwa mahakamani kwa kosa la kuua, ameua kipi chenye UHAI?

Fikiri kidogo Ngongo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom