Mungu wa Wachaga avunjwa

Mungu wa Wachaga avunjwa

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo unataka kusema wale jamaa na ndugu zetu ambao kitabu (Mungu) cha kikikojolewa wanaanzisha vurugu nao Mungu wao hana nguvu hadi wanafanya vurugu ?.

wale wana mashetani kwa sababu aliyefanya lile ni mtoto mdogo ambaye alikuwa haelewi ila wenzetu sasa walivyofanya vurugu utafikiria hilo tukio lilifanya na kiongozi wa kanisa.
 
wale wana mashetani kwa sababu aliyefanya lile ni mtoto mdogo ambaye alikuwa haelewi ila wenzetu sasa walivyofanya vurugu utafikiria hilo tukio lilifanya na kiongozi wa kanisa.
sheatani ni nani? na kwa nini miungu yetu muuite shetani?
 
miss chagga mimi sijaelewa hii habari kwani moshi kuna Mungu mwingine zaidi huyu aliye juu tunayemjua sisi au hilo tangazo limekosewa .
wapo wengi tu ndiyo maana tunatambika...... mkuu muache kudharau Mungu wa mwenzenu binti kamvunja Mungu wa oldi moshi kama mkimuona huyo binti mpelekeni.. acheni itikadi
 
Kwahiyo unataka kusema Mungu wao hana nguvu hadi asaidiwe na wanadamu.Maana hapa kuna Mungu wa Wachagga kavunjwa na binti mdogo sijui kama angetoka mtu kama John Cena ingekuwa vipi.

wale wana mashetani kwa sababu aliyefanya lile ni mtoto mdogo ambaye alikuwa haelewi ila wenzetu sasa walivyofanya vurugu utafikiria hilo tukio lilifanya na kiongozi wa kanisa.
 
Umesahau/hujui ya kuwa imani hupimwa?

uko sahihi mkuu, imani hupimwa, tofauti ni mizani tu.
  1. unaweza kuuwa idadi yoyote ya binadamu kueneza imani yako? NDIYO
  2. unaweza kuchinja mwana wa kumzaa ili tu uonyeje ujazo wa imani ndani yako? NDIYO
  3. unaweza kuwasiliana na mizimu ikaleta neema katika nchi? NDIYO
NDIYO-Umekomaa kiimani kwa mujibu wa imani husika, HAPANA-Haujakomaa bado. ukichukua mzani namba 1 ukaupeleka namba 2 haufanyi kazi.
 
Wanamtafuta ili aje amjenge mungu au wanataka yeye awe mungu kwa kuwa ameua mungu wao?

Wana social studies, fanyeni kautafiti mtujuvye huyo mungu alipovunjwa ambapo sijui aliuawa ama alifanyiwa ulemavu, matatizo gani yanayosemwa yametokea hapo kijijini, yanayohusiana na mungu kuwa mgonjwa au marehemu?

Huyo binti anatisha!. Mungu amlinde wasije kumchinja.

Mungu yupi tena amlinde wakati mungu kashauwawa tayari
 
CE31thmUIAE2dXC.jpg:large

Gazeti la Mwananchi la leo. Sasa sijui kama amemvunja 'Mungu' polisi binadamu watamkamataje. Nadhani mashitaka kama haya ndio tutegemee kwenye sheria hizi mpya mpya. hahaha, ..."umemfotoshopu mungu intentionally and unlawfully"

🙂hii kweli wachaga katika ubora wao,Mungu amevunjwa afu mwezi wa 12 hakuna kurudi tena Moshi aiseee
 
Ahsante mjukuu wangu. Unaweza kutusaidie hicho kilichovunjwa huwa ni kitu gani hasa, na wanaamini madhara yapi yamewapata na yatakayoendelea kuwapata? Kisha huyo binti aliyevunja mungu, wanamtafuta wazazi na wanakijiji tena kwa dau, unadhani wakimpata wanataka wafanye nini naye?

hakuna scienytific hapo ni imani tu .. kwa kuwa waliamini hicho kitu sasa hakipo wanaamini kwa sababu hiyo
 
wapo wengi tu ndiyo maana tunatambika...... mkuu muache kudharau Mungu wa mwenzenu binti kamvunja Mungu wa oldi moshi kama mkimuona huyo binti mpelekeni.. acheni itikadi

Mwezi wa 12 hakuna kurudi moshi kuhesabiwa mpaka binti apatikane atamvunjaje Mungu?
 
Ahsante mjukuu wangu. Unaweza kutusaidie hicho kilichovunjwa huwa ni kitu gani hasa, na wanaamini madhara yapi yamewapata na yatakayoendelea kuwapata? Kisha huyo binti aliyevunja mungu, wanamtafuta wazazi na wanakijiji tena kwa dau, unadhani wakimpata wanataka wafanye nini naye?
ingekuwa ninapotokea ningeeleza vizuri mpaka nitafute mtu wa kule anielezee what happen nikipata jibu nitakuambia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom