2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,083
Jaribu kutumia akili unapojenga hoja kijana, sio kibwatuka tu km wanywa kangara.
Hapa mungu wa kichaga kauawa! Sio kitabu cha wachaga.
Kitabu unachoongelea wewe ni kitabu cha waumini na SIO MUNGU WAO, na niwajibu wao kukitunza na kukiheshimu na akitokea kenge wa kukiletea dharau waumini wanaofuata kitabu hicho wana haki ya kukata makende ya huyo muhalifu.
Au kumfanya lolote walitakalo kwa kukidharaulisha Kitabu Chao.
Huyu binti wanasema kamuua mungu ambae alikuwa hana uhai Anyway!
Sasa hata akipelekwa mahakamani kwa kosa la kuua, ameua kipi chenye UHAI?
Fikiri kidogo Ngongo
Unamtafsiri mungu wa kichagga kwa mtazamo wa mungu wako wa arabuni.
Nani kakwambia tunatakiwa tukate makende tukichaniwa kitabu. Kati ya kitabu na mungu kipi bora. Em nenda huko nabtali weee.. Kizazi cha mtumwa. Pepo huna wewe
Last edited by a moderator: