Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

First things first. The bible is not holy.

It is full of contradictions.
Holiness is to be explained in spiritual sense. If you find it contradicting, it's because you don't find it holy.
 
Holiness is to be explained in spiritual sense. If you find it contradicting, it's because you don't find it holy.
It is objectively not holy.

We can look at it and find logical contradictions and inconsistencies. Objectively so. Not just me.

I can give you a list of contradictions here that you will not be able to resolve logically.

That "spiritual" talk is just bullshit to let these contradictions slide.
 
Habari wana JF

Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake.
Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari Kwa kina unapata ukakasi kuhusu madai yao kuhusu Mungu huyo.

Katika historia ya maisha ya mwanadamu hapa duniani hakuna nyakati ngumu alizopitia kama nyakati za biashara ya utumwa, biashara ya utumwa iliwagusa na kuwamiza zile jamii ambazo ni dhaifu zisizo weza kujitetea hivyo tegemeo lao kubwa lilikuwa ni Mungu mkuu.Bahati mbaya Mungu hakuja kuwatetea na kuwapigania.

Kama Mungu yupo kila mahali, ni mjuzi wa kila jambo na muweza wa mambo yote Kwanini alijificha na hakuja kuwapigania wanadamu wake...Tuna ambiwa Mungu aliandaa mipango ya kuwatoa wana wa Israel utumwani misri na akawatumia viongozi ili kufanilisha misheni hiyo 🥺 kwanini hakufanya hivyo Kwa jamii zingine wakati wanachukuliwa watumwa haswa Afrika?

Mungu ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini wakati huo inaumiza sana 😭
Swali zuri,
Biashara ya utumwa ilifanyika kwa miaka 1300.
Na Mungu alikua kimyaa
 
Nature ya dunia tumeumbiwa furaha na majaribu hayo yoote no majaribu

Hukuumbwa burebure uje ule starehe tu hapana na motihani pia tofautitofauti

Yote hayo ni kumpima ambae ni mnyenyekevu kwake

Ntaongeza mengine
Kwahiyo utumwa ni mtihani WAAFRIKA tulipewa na Mungu eti?
 
It is objectively not holy.

We can look at it and find logical contradictions and inconsistencies. Objectively so. Not just me.

I can give you a list of contradictions here that you will not be able to resolve logically.

That "spiritual" talk is just bullshit to let these contradictions slide.
You've labelled them bullshit to quench your narratives. But, every incident in the Bible is literally connected to the other, it is a puzzle filling writ. Being atheist doesn't qualify your interpretation and insights about the Holy Bible.
 
Mungu amehalalisha na kubariki biashara ya utumwa kwenye vitabu vyake.

Ukisoma Bibilia kwa mfano, kuna amri ya kushika sabato inazuia mtu kufanya kazi, lakini amri hiyo imeenda mbali na kufafanua kuwa hata punda wako, wala mtumwa wako hatakiwi kufanya kazi.

Kwa hiyo Mungu anautambua utumwa na anaona ni sawa.
Alihalalisha kwa Waafrika tu kuwa watumwa kwa wasungu na warabu na siyo wazungu na warabu kuwa watumwa kwa WAAFRIKA eti?
 
Imeandikwa Mungu ni bwana wa vita.... Hanaga MBA MBA MBA... Ukijichanganya anakuwashia moto Hadi uitike abee... Leo hii watu wanazungumzia eti vita ya kwanza na ya pili ya Dunia... Ambazo kwa pamoja hazikumaliza hata robo ya watu wa Dunia hii...
Lakini vipi Ile vita ya Gharika iliyowabakiza watu nane TU?
Achana na hiyo... Kuna mikoa miwili ya Sodoma na Gomora kilichoipata.... Unaambiwa iliungua mpaka ardhi ikatitia kushuka chini ya usawa wa bahari... Na Leo ndipo palipo na Ile bahari iliyokufa (dead sea...)
Kwa hiyo bwana Pure Sapiens na Kiranga mambo ya Mungu ni Hard siyo soft kama mnavyodai eti hata mambo ya kijinga jinga akutekelezee.
Before God either you die or live. Ukiishi au ukifa wewe, yeye Hana Hasaraaaa
Hiyo sodoma na gomola iko Afrika eti??
 
You've labelled them bullshit to quench your narratives. But, every incident in the Bible is literally connected to the other, it is a puzzle filling writ. Being atheist doesn't qualify your interpretation and insights about the Holy Bible.
The very premise of the Bible, that an all knowing, all loving and all capable God exists and created this world, is contradicted by the Epicurean paradox.

But you wouldn't know that.
 
Ukweli Mchungu ni huu....!

Kama hufanyi chochote kuhusu yeye, na yeye hafanyi chochote kuhusu wewe, unless..... You are his chosen one...!

Kama wewe ni the chosen one, atafanya hata vile hujamuomba..!

Wapo watu wamekufa kabla ya wakati wao, wameondoka na Baraka zao, wameondoka bila kufikia hatima zao, wamezurumiwa uhai... Kwa sababu tu hawakujishughurisha kuhusu yeye.
 
Watoto na wanyama wengine wanakufa kwa sababu gani au nao hawajajishughulisha na yeye?
 
Hujathibitisha kuwa yupo.

Umeandika imani tu.
 
The very premise of the Bible, that an all knowing, all loving and all capable God exists and created this world, is contradicted by the Epicurean paradox.

But you wouldn't know that.
You sound so delusional with "but you wouldn't know that".

Anyway, about Epicurean paradox. I suppose you a writ, cause I can't spend my worthy time trynna preach to spiritual deaf.

Title: THE CASE FOR FAITH
Writer: Lee Strobel
 
Attachments

  • PXL_20250316_052823900.jpg
    PXL_20250316_052823900.jpg
    517.1 KB · Views: 28
Watoto na wanyama wengine wanakufa kwa sababu gani au nao hawajajishughulisha na yeye?
Unapazaliwa hatima Yako ipo mikononi mwa Familia Yako (Kiroho).

Familia nyingine ukizaliwa wanakupeleka Kanisani, kubatizwa n.k.
Familia nyingine watakukabidhi Kwa Mizimu, Majini n.k... Kama mtoto familia ndo inaamua hatima Yako, isipokua Kwa the chosen one pekee.

Ila ukiwa mtu mzima hatima Yako ipo ndani Yako mwenyewe....!
Wanyama hawana Willing kama Binadamu.
 
You sound so delusional with "but you wouldn't know that".

Anyway, about Epicurean paradox. I suppose you a writ, cause I can't spend my worthy time trynna preach to spiritual deaf.

Title: THE CASE FOR FAITH
Writer: Lee Strobel
You have not resolved the Epicurean paradox, if you even understand what it is.
 
Mungu ni Imani, mambo ya kiroho hayaonekani Kwa Macho.

Vinavyothibitika ni vile vinaonekana Kwa Macho.
Sawa.

Lakini imani unaweza kuamini lolote. Unaweza hata kuamini uongo. Hiyo ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu. Ndiyo maana kuna imani zinapingana na kila mtu anaendelea na imani yake.

Sipo hapa kuijadili imani yako. Kwenye imani una faragha ya kuamini chochote.

Mimi najadili ukweli. Si imani.

Unaruhusiwa kuamini unachotaka, lakini, tukienda kwenye ukweli, unajuaje unachoamini ni ukweli?

Lakini pia, sijadai kitu kithibitishwe kwa macho. Na kuonekana kwa macho si uthibitisho kwamba kitu kipo.

Kuna mirage zinaonekana kwa macho lakini hazipo. Kuna nyota zinaonekana kwa macjo lakini hazipo.

Kuonekana au kutoonekana hakuthibitishi kitu kipo au hakipo.

Sasa, utathibitishaje imani yako ipo kwenye ukweli?
 
Hakuna mtu anayejua lolote kuhusiana na msamiati "Mungu".

Hivyo hakuna anayeweza kuthibitisha kama Yupo au kuthibitisha Hayupo.
 
Back
Top Bottom