Wewe mwanafunzi wa Ilunga ndio umeshadadia udini; mimi nmjadili mwanasiasa laghai slaa; sasa wewe kama una hisia zako za kidini huo mpango wako hapa mimi siasa tupu udini hauna nafasi katikaa ubongo wangu.
Chama
Gongo la mboto DSM
Udini unakusumbua.

Duh!!!! yaani mzinifu Mungu amlinde!!?
Nimekuwa mwana CCM maisha yangu yote. Nakiri kwamba chama changu kimeleta umasikini na matatizo ya kutisha kwa Watanzania. CCM imekuwa ni hatari kuliko hata Ukimwi, kwani inawaua na kuwatesa raia wake bila huruma. CCM na serikali yake inatumia Polisi kungoa watu kucha bila ganzi. Wokovu tulionao leo, ni Dr Slaa au Mwakyembe. Katika dhoruba tuliyonayo ndani ya CCM, Dr. Mwakyembe hana ujanja kuweza kuliongoza nchi. Nyangumi ndani ya CCM watammeza. Tafadhalini watanzania wapenda amani. Tushirikiane, kuakikisha Dr. Slaa tunamlinda asidhuriwe na CCM.
Really........"Your dream, our nightmare.."

Kwa hiyo wewe ndie mzinzi uliyetubu au huyo mchumba'ko ndie mzinzi aliyetubu?Heri mzinzi aliyetubu kuliko mwizi,mnyangaji na fisadi anayejihesabia haki.
Mfalme Selemani alikuwa na wake wangapi?Mungu alimheshimu kwakuwa alifanya agano
Nimekuwa mwana CCM maisha yangu yote. Nakiri kwamba chama changu kimeleta umasikini na matatizo ya kutisha kwa Watanzania. CCM imekuwa ni hatari kuliko hata Ukimwi, kwani inawaua na kuwatesa raia wake bila huruma. CCM na serikali yake inatumia Polisi kungoa watu kucha bila ganzi. Wokovu tulionao leo, ni Dr Slaa au Mwakyembe. Katika dhoruba tuliyonayo ndani ya CCM, Dr. Mwakyembe hana ujanja kuweza kuliongoza nchi. Nyangumi ndani ya CCM watammeza. Tafadhalini watanzania wapenda amani. Tushirikiane, kuakikisha Dr. Slaa tunamlinda asidhuriwe na CCM.
Mungu Halibdi wazinifu ww wacha masihara!!!
Sijawahi hona mwanamke ana halalisha mumewe hawe na wake wengi kama unavyo sema wewe kupitia mfano wako wa Suleiman.
Hii ina dhihilisha wewe huna mapenzi ya kweli kwa DR SLAA ndio maana huna wivu nae sema uko hapo kwa umaskini wako (OPPORTUNIST).
Mungu amlinde DR WA UKWELI aweze kukujua ili akutimulie mbali mnafiki wa wapenzi wewe.
Ndugu zangu,
ondoeni kwanza boriti ndani ya vibanzi vyenu,kisha muhukumu wengine.
Nawahakikishia hata neno lenu moja halitasitisha maamuzi ya Mungu juu ya watu wake.
TunaMungu na Tutaendelea kuwa na Mungu.
Heri mzinzi aliyetubu kuliko mwizi,mnyangaji na fisadi anayejihesabia haki.
Jumapili njema.
Mpaka lini mtaendelea kuutetea ufalme uliokataliwa.
Mfalme Selemani alikuwa na wake wangapi?Mungu alimheshimu kwakuwa alifanya agano nae.
what matters is the purpose of God in His Life.
Sijawahi hona mwanamke ana halalisha mumewe hawe na wake wengi kama unavyo sema wewe kupitia mfano wako wa Suleiman.
Hii ina dhihilisha wewe huna mapenzi ya kweli kwa DR SLAA ndio maana huna wivu nae sema uko hapo kwa umaskini wako (OPPORTUNIST).
Mungu amlinde DR WA UKWELI aweze kukujua ili akutimulie mbali mnafiki wa wapenzi wewe.
Mwisho tumechoka nchi kuendeshwa na kamati ya Ufundi.