Mungu Mlinde Dr. Slaa Aiokoe Tanzania

Mungu Mlinde Dr. Slaa Aiokoe Tanzania

Mentality nzima ya "Mungu Mlinde Dr. Slaa Aiokoe Tanzania" ina matatizo lukuki, neno kwa neno.

Ukianza kwa mungu tu una deal na a hoax. Mungu hayupo. Kwa hiyo habari nzima ya mungu kutoa ulinzi ni ushairi shayiri tu.

Mlinde? Of course kama mungu hayupo hawezi kumlinda, lakini hata kama angekuwapo. Asipomlinda - short of against death- na kumpa majaribu zaidi ndo tutamjua kama ni kiongozi bora au anaelea kwa sababu ya hali nzuri tu. Ayubu hakuthibitisha imani yake na uthabiti kwa kulindwa na mungu, alithibitisha hayo kwa kutolindwa na mungu.

Aiokoe? Kwa nini Tanzania itake mtu wa kuiokoa? Huyu Dr. Slaa ni nani mpaka aiokoe Tanzania? Yeye ni Masiha au Mahdi gani huyu?

Uongozi wetu hauhitaji charismatic figures wa kutuokoa, hatuhitaji top down leadership. Hii ina introduce a single point of failure. We have been there, done that, bought the T-Shirt to show. It is written "Nyerere, baba wa Taifa" aka Mchonga aka Haambiliki.

Kwa nini tutake strongman mwingine badala ya kutaka a grassroots empowerment? Kwa nini tusitake ushirikishwaji wa umma zaidi? Kwa nini tusitake wabunge machachari zaidi wanaohuishwa na jumuiya thabiti zenye uelewa wa mamabo zaidi?

sorry for you Bro
 
Rais Mtarajiwa,Tunahesabu miezi tu ya kumpeleka Dr Ikulu,Nyinyi wapenda vya bure na maisha yenu ya kiujanja ujanja mjiandae kurudi vijijini.Mwisho wa vya bure ni 2015.
 
Huyo slaa mwenyewe anahitaji wakovu leo hii unapodai eti aikoe Tanzania aikoe katika kitu gani? wewe kama maisha magumu ni sababu ya uvivu wako tu; hata huyo Mungu akikuleta ugali lazima ufanya kazi ya ziada ya kupeleka tonge mdomoni. slaa alianza na Mungu anamaliza na shetani; Mungu hamjui tena alimuasi siku nyingi tu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Umeishiwa mawazo yaani Slaa aiokoe nchi kwa lipi? Pima kauli.zake zimeleta madhara gani katika nchi hii mpaka sasa. Nchi haina amani tena watu hawathamini wala hawashemu vyombo vya usalama na mamlaka zilizopo` kila mtu anajiona ni kiongozi watu wanajichukulia madaraka tuu mikononi wabunge mpaka sasa wamefikia kuvunja hata kanuni walizojiwekea wao wenyewe ili hali wakijuwa kuwa wao ndo kioo na taswira ya nchi ki siasa yote hayo mm kwa utafiti wangu nimegundua ni dr Slaa .iweje leo unasema aiokoe nchi ama unataka aiangamize nchi? Hafai kbs wasio mtazama vzr usoni mwake watamuamini lkn wanaomtazama kwa makini jibu wanalo na wameshamshtukia . Ila c lazimishi afuate msimamo wangu kuhusu kutokumuamini Huyu mzee.ila matokeo yake yanajionyesha na mengine mengi yatajitokeza. Nawasilisha
 
Mleta mada kama humjui vizuri huyu babu unae muombea alindwe, hemu soma hapa ili wewe mwenyewe uiondoe thread yako;

i) Huyu babu ni muasi wa upadre.

ii) Mwizi wa wake za watu.

iii)Mbadhilifu na fisadi wa mali za chama.

iv) Mpenda machafuko na vurugu.

Na mengine mengi...

Niwe mkweli tu, sijaona zuri la huyu babu.
 
Haya mawazo ya kuwekeza kwa mtu mmoja historia imebainisha mara nyingi huishia kuwa na DISAPPOINTMENT KUBWA katika jamii. Kwa nini utegemee MTU kama wewe afanye jambo ambalo huyo MUNGU unayemuomba amesema binadamu wote wako kama yeye kwa maana kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA.

Yesu mwenyewe na kubeba UMUNGU hakuweza kuimaliza kazi ya UWOKOVU aliyoletwa kuifanya na kuishia kutundikwa MSALABANI na baada ya kufufuka, akaulaza mbele kwenda mbinguni, hata Mtume MUHAMMAD (S.A.W) naye alichanja mbuga kwenda Madina baada ya Makureshi kutaka kumkata kata mapanga na kumuua. Hili ni fundisho kwa binadamu wanaoamini maandiko MATAKATIFU YA MUNGU/ALLAH

Kwenye jambo ambalo linatutaka kutumia akili na hekima tuliyopewa wanadamu wote, badala yake tunamwingiza Mungu atufanyie hiyo kazi. HOW SPECIAL ARE YOU kila jambo Mungu akusaidie. HOW SPECIAL HE'S TO GOD (Dr. Slaa) mpaka kazi ya kuiondoa Tanzania kwenye 'matope' apewe yeye peke yake.

I hope, kwa bandiko lako hili, you're just joking if not making fun.
 
Not to be a Red comrade or anything.

Mentality nzima ya "Mungu Mlinde Dr. Slaa Aiokoe Tanzania" ina matatizo lukuki, neno kwa neno.

Ukianza kwa mungu tu una deal na a hoax. Mungu hayupo. Kwa hiyo habari nzima ya mungu kutoa ulinzi ni ushairi shayiri tu.

Tanzania ina umaskini mkubwa kwa sababu ya kukataa uchunguzi na kwenda na imani imani tu, mojawapo ya msingi kabisa inayotufanya tuwe masikini ni hii ya mungu.

Watu wanaoamini kuwapo kwa mungu ni rahisi zaidi kukubali kuwa katika utawala dhalili usioheshimu haki za msingi za binadamu, kuliko wale ambao hawaamini kuwapo kwa mungu. Mungu analeta excuses kibao za kukubali udhalili. Kuanzia "utapewa malipo peponi" mpaka "watiini watawala maana wamewekwa na mungu".

Kwa hiyo kama unataka Tanzania iendelee ondoa habari za mungu katika mawazo kwanza. Mungu ni tatizo Tanzania, si suluhisho.

Mlinde? Of course kama mungu hayupo hawezi kumlinda, lakini hata kama angekuwapo. Asipomlinda - short of against death- na kumpa majaribu zaidi ndo tutamjua kama ni kiongozi bora au anaelea kwa sababu ya hali nzuri tu. Ayubu hakuthibitisha imani yake na uthabiti kwa kulindwa na mungu, alithibitisha hayo kwa kutolindwa na mungu.

Aiokoe? Kwa nini Tanzania itake mtu wa kuiokoa? Huyu Dr. Slaa ni nani mpaka aiokoe Tanzania? Yeye ni Masiha au Mahdi gani huyu?

Uongozi wetu hauhitaji charismatic figures wa kutuokoa, hatuhitaji top down leadership. Hii ina introduce a single point of failure. We have been there, done that, bought the T-Shirt to show. It is written "Nyerere, baba wa Taifa" aka Mchonga aka Haambiliki.

Kwa nini tutake strongman mwingine badala ya kutaka a grassroots empowerment? Kwa nini tusitake ushirikishwaji wa umma zaidi? Kwa nini tusitake wabunge machachari zaidi wanaohuishwa na jumuiya thabiti zenye uelewa wa mamabo zaidi?

Wewe jamaa unajua!!! Bravo mkuu.
 
Ninauhakika kuwa haujafikiri marambili kabla ya kujadili Hebu fikiri Kama SLAA unayemtaja ni Mtu wa namna Gani ni mtu makini kuliko yeyote ambaye katika ubongo wako unamfikiria kwa sasa ILI UJUE NANI NI BORA LAZIMA UMLINGANISHE NA UNAYEMFIKIRIA KUWA NI BORA KWA UPANDE WAKO usitumie mkumbo tumia kamili za kuzaliwanazo Fafakari!!! chukuwa hatua timamu
 
Thibitisha unayoyasema kama huna uhakika kaa kimya jadili ukiwa na umakini and not being Subjectv controlled by personal interests
 
anayechagua wazinifu amelaaniwa milele, anayeunga mkono wanaolisha watu sumu ni laana kwake na kwa mungu

ww kwa kuwa umetaja mungu. Huyu mungu hatuna labda ni mungu wako na hiyo laana kamwe haiwezi kutugusa.Sisi tuna Mungu.tofautisha mungu na Mungu.Laana itawatafuna magambaz na -inana.Tembo.hapo penye dash weka herufi yoyote inayoendana na jina la mtu ambaye ni jangili kwa tembo wetu.
 
CCM imelaaniwa duniani hadi mbinguni na anayeichagua CCM pia amelaaniwa.

Walioichagua CCM ndio waliotufikisha hapa tulipo, laana za hili Taifa itawatafuna mpaka wanaingia makaburini
.

Dr.W.Slaa Kama mungu akikujaalia na tukifanikiwa kukupangisha Magogoni 2015, tafadhali tunakuomba ututende haki ya kuwafunga Mafisadi wote Kuanzia Mkapa, Kikwete, pamoja na mafisadi wote walitufikisha hapa tulipo na bila ya kumshau Mzee ruksa ndio aliyeuleta mgogoro wa Loliondo pia tia ndani wameshatafuna kodi wetu sana na kutuibia rasilimali zetu. Dr.W.Slaa Mungu akuweke salama wewe ndio tumaini letu lililobakia hapa Tanzania na ndio tunaokuamini kwa sasa kwenye hili Taifa
 
REVOLUTIONARYTZ umeshamuomba Mungu amlinde huyo SILAA katika kichwa cha habari yako.
Sasa hiyo inatosha wacha tu wa TZ tuendelee na shughuli zetu
Mimi hata sijui jinsi ya kumlinda maana niko mbali nae sana (Micheweni Pemba)
 
nchi hii haitaongozwa na wahuni hata siku moja

da amakweli dunia imejaa wendawazimu,walio na akili zao wa kuhesabu,tangu lini simba jike amezaa mbuzi? Dr slaa ni mwanasiasa wa tanzania,mwenye fikira za kitanzania,hanajipya na haitatokea akawa na jipya.inawezekana tunatumia hisia kumuona anafaa kuliko uhalisia.na pia sisi tumekuwa washabiki wa wanasiasa badala ya kuwa wenyenchi.na inawezekana pia hatuna vigezo vya kupima uwezo na weledi wa wanasiasa wetu tunaishia kushabikia muonekano wa nje wa watu badala ya ukweli kuhusu wao.kila mmoja wetu afikiri mwenyewe asimpe mtu fursa ya kufikiri kwa niaba yako hatari hiyo.fikiri peke yako,wewe mawazo uliyo nayo yako au ya kupewa? Na kwanini na mpaka lini.tafakari

dr slaa hana uwezo wa kuongoza. ameshindwa kuongoza kanisa, akashindwa kuongoza familia mpaka katelekeza mke kwa sababu ya josephine (sijui atajibu nini kwa mungu) na kashindwa kuongoza chadema. Ataweza nchi?

mungu epusha taifa hili na ndoto ya dr slaa kuingia ikulu huku akivitukana vyombo vyote vya dola, polisi, jwtz hadi usalama wa taifa

unafikiri dr slaa atabaki milele? Ona ile mimvi, au kwa vile kapora mke juzi unafikiri ataendelea kuwa naye

atubu kwanza dhambi zake za kutelekeza familia, kupora mke wa mtu, kuvunja ndoa ya mtu, na kuasi kanisa ndipo umpe hizo sifa

huyo slaa mwenyewe anahitaji wakovu leo hii unapodai eti aikoe tanzania aikoe katika kitu gani? Wewe kama maisha magumu ni sababu ya uvivu wako tu; hata huyo mungu akikuleta ugali lazima ufanya kazi ya ziada ya kupeleka tonge mdomoni. slaa alianza na mungu anamaliza na shetani; mungu hamjui tena alimuasi siku nyingi tu.

Chama
gongo la mboto dsm

umeishiwa mawazo yaani slaa aiokoe nchi kwa lipi? Pima kauli.zake zimeleta madhara gani katika nchi hii mpaka sasa. Nchi haina amani tena watu hawathamini wala hawashemu vyombo vya usalama na mamlaka zilizopo` kila mtu anajiona ni kiongozi watu wanajichukulia madaraka tuu mikononi wabunge mpaka sasa wamefikia kuvunja hata kanuni walizojiwekea wao wenyewe ili hali wakijuwa kuwa wao ndo kioo na taswira ya nchi ki siasa yote hayo mm kwa utafiti wangu nimegundua ni dr slaa .iweje leo unasema aiokoe nchi ama unataka aiangamize nchi? Hafai kbs wasio mtazama vzr usoni mwake watamuamini lkn wanaomtazama kwa makini jibu wanalo na wameshamshtukia . Ila c lazimishi afuate msimamo wangu kuhusu kutokumuamini huyu mzee.ila matokeo yake yanajionyesha na mengine mengi yatajitokeza. Nawasilisha

mleta mada kama humjui vizuri huyu babu unae muombea alindwe, hemu soma hapa ili wewe mwenyewe uiondoe thread yako;

i) huyu babu ni muasi wa upadre.

ii) mwizi wa wake za watu.

Iii)mbadhilifu na fisadi wa mali za chama.

Iv) mpenda machafuko na vurugu.

Na mengine mengi...

Niwe mkweli tu, sijaona zuri la huyu babu.

udini upo, unaendelea, na wadini kama hawa wataendelea kuwepo!.
 
anayechagua wazinifu amelaaniwa milele, anayeunga mkono wanaolisha watu sumu ni laana kwake na kwa mungu

Hakika hayo ndio majibu unayopaswa kujijibu mwenyewe,babu seya ndie anayejua machungu zaidi nahao ambao wakezao wamedanganywa kwa vyeo kama ukuu wa wilaya kumbe ni njia yakuwapata kirahisi kwahuyo mnayemuona ndie mumewenu
 
Nimekuwa mwana CCM maisha yangu yote. Nakiri kwamba chama changu kimeleta umasikini na matatizo ya kutisha kwa Watanzania. CCM imekuwa ni hatari kuliko hata Ukimwi, kwani inawaua na kuwatesa raia wake bila huruma. CCM na serikali yake inatumia Polisi kungoa watu kucha bila ganzi. Wokovu tulionao leo, ni Dr Slaa au Mwakyembe. Katika dhoruba tuliyonayo ndani ya CCM, Dr. Mwakyembe hana ujanja kuweza kuliongoza nchi. Nyangumi ndani ya CCM watammeza. Tafadhalini watanzania wapenda amani. Tushirikiane, kuakikisha Dr. Slaa tunamlinda asidhuriwe na CCM.
Mungu anawalinda watu wote sawa sawa , tatizo ni kwamba mtu akiamua kuchukua mke wa mtu au kwa tamaa ya pesa mtu anafisadi ruzuku na kujipendelea, Mungua anaondoa KK Security yake.
 
Mi naona kama unamtegemea Slaa basi unamahaba naye makubwa sana na huyu mtu. Sasa sijui kama unafuatilia ilani ya chama na kama ungefuatilia basi ungetakiwa kuona matumaini kupitia sera za chama na sio mtu.

Kuna pointi hapa aisee though wakati mwingine tunahitaji kuwa na mtu ambae wananchi wanadhani anaweza kuwafikisha wanapotaka na ndio maana mleta uzi akam-point Dr. Slaa
 
Back
Top Bottom