Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?


Sio kila mtu anaamini Mungu wa WaIsraeki....babu yangu mimi si mfuasi wa dini ya kiislamu wala kikristu.....ana imani zake za kijadi na anaamini Mungu yupo.....so no everyone is in the tank for the God of Israel
 
mwenye katiba ailete hapa we have issues to look in

je kama unamwanao umemkataza asiimbe nyimbo ya Taifa kutakuwa na kosa la kushitakiwa?

je mtu ukigoma kusimama wakati nyimbo ya tfa inambwa kuna kosa?

what about rights za wasio na dini?
 
I knew kuwa kuna ubaguzi but didint expect this anti-atheism iliyojikita ndani ya JF

tunaomba mtujibu hayo maswali

je rights za wasio na dini ziko wapi kwenye taifa letu?
 
Sio kila mtu anaamini Mungu wa WaIsraeki....babu yangu mimi si mfuasi wa dini ya kiislamu wala kikristu.....ana imani zake za kijadi na anaamini Mungu yupo.....so no everyone is in the tank for the God of Israel

No anwer the other questions i asked you before
 
what about rights za wasio na dini?
Unafanya makosa makubwa sana kuchanganya mambo haya mawili ndio maana inakuwa namna gani..........Mungu na Dini.....dini hata mimi nina dini yangu naabudu falsafa zangu ninazozijua lakini Mungu ni nguvu moja......ukitaka twende sawa usiweke neno dini twende kule kwenye mwanzo wa thread about God,ooyi
 
I knew kuwa kuna ubaguzi but didint expect this anti-atheism iliyojikita ndani ya JF

tunaomba mtujibu hayo maswali

je rights za wasio na dini ziko wapi kwenye taifa letu?


taifa hili halina rights kwa kila mwananchi wake. Kama hakuna rights kwa kila mwananchi, nothing special kwa wasio na dini kukosa hizo rights.
 
mfano;;...nyimbo ya Taifa la China haimtaji Mungu, halafu wanapeta vile vile na Uchumi wao upo juu, Mungu halaumiki kwa lolote hapo...;

 
Huyu mungu wa waisraeli ni wa kikristu, I was addressing the Christian massive.Huko kwa wahindu na washinto hakuna "mungu" ila kuna "miungu" na ancestral worship, kwa hiyo tunapozungumzia monotheism hata hawapo hao.

Unazungumzia Mungu au Dini?

hizo ni mada mbili tofauti na unatakiwa uwe makini sana unapozungumzia kabla hujajikuta umetoka nje ya mada
 
mwenye katiba ailete hapa we have issues to look in

je kama unamwanao umemkataza asiimbe nyimbo ya Taifa kutakuwa na kosa la kushitakiwa?

je mtu ukigoma kusimama wakati nyimbo ya tfa inambwa kuna kosa?

what about rights za wasio na dini?

Rights gani unazodai? Kwani nani kakulazimisha kuabudu? Hutaki kuimba wimbo wa taifa...acha....hupendi neno "Mungu" kuwemo kwenye wimbo...peleka muswada bungeni litolewe au libadilishwe.....
 

what about rights za wasio mwamini Mungu anayeimbwa kwenye nyimbo ya taifa?
 
What are they?


Below:


1. The problem of evil – Bad stuff happens randomly to believers and unbelievers alike, and no, we don’t need 10’s of thousands of innocents to be wiped out by tsunamis in order for people to do good things.

2. The multitude of religions, many of which are contradictory. The majority must be incorrect in their belief, and yet believers of different religions claim that their belief gives them the same benefits.

3. God doesn’t seem to do much. Following on from point 2, each god does exactly the same amount, even though most of the gods can’t exist. Therefore the god that does exist does no more than the gods that don’t.

4. If god designed us (in his image) and other organisms, he didn’t do a very good job, which is inconsistent with common descriptions of him. We have vestigial tails, blindspots, all kinds of genetic disorders and seem to be in a compromise situation between walking upright and giving birth, etc

5. God appears to be obsessed with worship. Engaging with him is the single most important criteria for judgement as to whether you are worthy of eternal reward. This demonstrates either a fragile ego or a lack of moral integrity, both of which are inconsistent with god as commonly described.
 

Sounds like a rather child-like Hollywood egomaniac super-sized ultra-prima donna than the creator of the universe.
 
...'nadhani' wasomwamini Mungu wana 'the right of remaining silent' pale yanapotamkwa maneno "mungu ibariki..." kwenye wimbo wa Taifa, kama wasoamini vitabu vyake na wakaapa kwa katiba ya Chama!
 
Hapo ndio kwenye tatizo........kuna God,god na gods sijui unanipata?
 
Mkuu hivi ni Mungu gani anaimbwa kwenye wimbo wa taifa,unaweza kunitajia?

The personal god, the one that supposedly listens to prayers of people saying "Mungu Ibariki Tanzania"

Time in time out, apart from a few mafisadi, we have not seen much of the so called baraka.It is time people should focus somewhere else, like working hard and industriously.
 

Perhaps God may not be all that powerful.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…