Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Sawa my dear
Mie nakuzoom tuu
Tukishatolewa AFCON nitakuja kukuomba msamaha kwa jumla dear. Nimeona nisiombe kwa mafungu mafungu[emoji23][emoji23].
Bora nimalizie kutenda makosa.
 
na kile kithembe chake sipati picha hiyo mvua ya mate atakayotoa ndg bashite baada ya kufungwa na algeria hiyo kesho.
 
CCM Stars ni dhaifu.
 
Punda sio mjinga kiasi unachofikiri!
Si unaona amegoma kunywa maji!!

Mbweha hunasia kama anasiavyo mmbwa!!! Shughuli mnayo ccm wahedi nyie.
 
Niyanunie mavi!?
Yenyewe yanajibost kukaa chooni!!
Lazima mkongomekwe!
Mwenzenu ana uzoefu kwa goalkeeper.
Liwalo na liwe, CCM itadumu, Taifa Stars itakuwepo na itaendelea kucheza
 
nimegundua nafsi yako inahuzunika sana kwa hofu na hasira kuhusu kipigo cha mbwa mwitu ambacho timu yenu ya mpira ya ccm itapata kesho kutoka kwa wa-algeria.

Hata ikipigwa na wewe umo as long as wewe n Mtanzania.

Kama hutaki kipigo kikuhusu basi hama uraia
 
Usitupangie mwehu wewe!

Apigweee ccm stars wenu 7 bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…