Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,711
- 9,317
Kama walishindwa kuifunga Kenya. Hapo sahau maana Senegal mwenyewe ameshindwa kuifunga itakuwa kwa hawa timu Jecha? Mpira na siasa ni kama mafuta na maji.Ikitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
Wanadhani Mpira ni sawa na kuiba masanduku ya kura na kukimbia nayo wajaze kura warudishe.Tatizo wanaccm wanashindwa kujua mipaka ya siasa. Wao kila kitu ni siasa. Wampeleke Jecha akafanye mambo. Taifa Stars itashinda kama vile CCM inavyoshinda kwenye chaguzi.
Wao walidhani mpira ni siasa. Nitaishabikia Taifa Stars ile isiyokuwa na chama yaani ya watu wote. Hii naichukulia kama CCM Stars.
anawanunulia viatu na kuwasainia utadhani yeye ni Denzel washington na wendawazimu wakiongozwa na mbwana samatta wanachekacheka kama wagonjwa wa akili vilevile bado yupo huko maana kiwango cha aishi manula kinazidi kumkuna anaweza akamuongezea milion 10 nyingine you never know.Hivi Bashite hajarudi TZ bado?
Ngoja afanye press tuone kama ataendelea kuongea ujinga tena.
Tuwaongezea nguvu Waarabu na kufurahia waliozoea kuchakachua wakigalagazwa.Kama walishindwa kuifunga Kenya. Hapo sahau maana Senegal mwenyewe ameshindwa kuifunga itakuwa kwa hawa timu Jecha? Mpira na siasa ni kama mafuta na maji.
Unaukumbuka huu uzi? Mungu sikia maombi yetu: Kama Taifa stars ni Mali ya CCM basi tuomba utende mema kwa HARAMBEE STARS kwa maana ushindi wa CCM ni mwizi kwenye KURA
Kama yalitimia CCM haina baraka za Mungu. Kenya wametoka nyuma, mpaka imefikisha magoli 3-2.
Anahisi kwamba viatu ndiyo vinafanya wafungwe[emoji23][emoji23]. Ametumia hela zake za dhulma kuwavalisha wachezaji.Jana alienda kuwanunulia viatu wachezaji kwenye malls za Cairo.. Sasa sijui IPO kwenye program ya kocha ama ...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hapana yupo anasaini viatu vya wachezaji utadhani yeye messi au ronaldo kakutana na fans wake[emoji3][emoji3]
Anawatafutia come backNakula nae sahani moja..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mpaka aombe msamaha.
Kwamba wapinzani hawakuomba[emoji23]lawama atatoa kwa wapinzani wa serikali na kusema ndio chanzo cha taifa stars kukanyagwa goli 3
Ikifanikiwa kufunga hata kagoli kamoja kwenye ushindi wa Algeria mi nabadili kabilaIkitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
Hata samatta na msuva nao ni wajinga wanasema eti wanawakilisha serikali ya awamu ya tank na ilani ya sisiemu sasa sijui watz wote tupo gambaz ama LA..Anahisi kwamba viatu ndiyo vinafanya wafungwe[emoji23][emoji23]. Ametumia hela zake za dhulma kuwavalisha wachezaji.
Yaani watafungwa maana ashawatia nuksi na hela zake za dhulma.
hahaha; kwanini mnapenda mnyong'onyesha brother wangu lakini Mr Daud Albert.
Mmezamilia nini; au mme miss kilio chako
kwanini sasa we mama?Hahahhahahaha.....nimeipenda hii
dah wahindi wa kariakoo wamepigwa hadi wengine hawana hamu wamekimbilia zambia na kenya.zinanunua viatu sasa na kutapanywa hovyohovyo na anajenga bonge la petrol station ukiwa unatoka mzani wa usagara mwanza kila mtu analijua hilo,kam alivyosema yeye ndiye anaongoza kula bata alikuwa hatanii kijana yule mpendwaAnahisi kwamba viatu ndiyo vinafanya wafungwe[emoji23][emoji23]. Ametumia hela zake za dhulma kuwavalisha wachezaji.
Yaani watafungwa maana ashawatia nuksi na hela zake za dhulma.
Hubby ukiwaza kubadili kabila uwe Mmakonde ili usaidie kuokoa koroshoIkifanikiwa kufunga hata kagoli kamoja kwenye ushindi wa Algeria mi nabadili kabila
.. ni mwendo wa magoli kadhaa kwa bila!
Kosa lako ni kufuatilia kimya kimya[emoji23][emoji23].Hahaha, kosa langu nini?. Bac mfate bashite ukamuchambe PM au inbox ya instagram/tweeter.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hautaki michambo yako tuisome
Sina taarifa zake...Hahahahah we mzee kiboko
Hiyo zawadi ya mtarajiwa wangu,acha wivu
Sina taarifa zake...
Ntakuwa mkolomije labda naweza kuambulia ukuu wa wilayaHubby ukiwaza kubadili kabila uwe Mmakonde ili usaidie kuokoa korosho