Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Soma hii...
Screenshot_20221021-081004.jpg
 
Unajua maan
Unapoandika "ulimwengu ulijiumba wenyewe" unamaanisha nini?

Kwa kufuatisha sayansi inayojulikana, watu - si binadamu- wametokea muda mfupi tu uliopita.

Kama historia ya dunia - wala si ulimwengu, dunia tu- mpaka sasa, tukiifanya kuwa sawa na siku moja yenye masaa 24, watu wamekuja kutokea kwenye sekunde ya mwisho kabisa, yani saa 5 na dakika 59 na sekunde 59 ya siku hiyo.

Yani katika historia hiyo ya dunia ambayo tumeifanya iwe sawa na masaa 24, masaa 23 na dakika 59 na sekunde 59 dunia haikuwa na watu

Labda tuligeuze swali ili kulichambua vizuri.

Kwa nini majanga ya asili yasitokee?

Katika ulimwengu ambao unaenda kwa kanuni za kifizikia tu, ambazo zinaruhusu majanga ya asili yaweze kutokea, kwa nini majanga ya asili yasiweze kutokea?

Majanga ya asili yote yanaweza kuelezewa kisayansi. Hakuna janga la asili linalovunja kanuni za kiasili za kisayansi.

Sasa kwa nini yasitokee?

Hiyo asili yenyewe haioni hayo majanga kama majanga, hayo unayoyaita majanga ya asili ni sehemu ya asili tu, wewe ndiye unayaita majanga kwa sababu yanakuumiza.

Sasa swali linakuja, katika ulimwengu huu unaoenda bila kukuheshimu wewe kama mtu, ulimwengu unaofuata sheria za asili tu, kwa nini haya unayoyaita majanga yakuheshimu wewe yasikutokee?

Yani unataka mtu akudondoshee jiwe kutoka juu, halafu jiwe likuogope lisikuangukie na kupinga kanuni za physics?

Unataka kimbunga kikupishe wewe na kupindisha kanuni za physics?

Unaelewa ulimwengu wenye majanga unaonesha Mungu hayupo, hauoneshi Mungu yupo?
hivi unajua nini maana ya firmanent?
 
tatua changamoto zako za kimaisha kwanza then ujibu comment zangu.
Tafuteni kitabu cha nothing is true everything is a lie by james w. Lee kabla hamjaja huku ambako akili zenu ni ngumu kucomprehend,pambaneni na hizo hoja simple tu ndani ya hicho kitabu halafu ndo mje mhangaike na vitu ambavyo nyie ni physical vyenyewe vipo katika angle ya spirituality halafu eti mnafanya logical relevance.
 
Ukweli ni nini?na ipi base ya kutupeleka kwenye uwongo
Ukweli unapimwa kwa logical consistency, ukiondoka kwenye logical consistency unaondoka kwenye ukweli na kuelekea kwenye uongo.
 
nani kasema hivyo au wewe ndo unajua hivyo?je,ina maanisha ni logical consistency ndo iliyokufanya ujue kuwa kweli logical consistency ndo inakuwezesha kujua ukweli?
 
Sijui, maana ya firmanent ni nini?
Firmanent ni natural metallic glass ambayo inatenganisha dunia yetu na maji ya nje,ile rangi ya blue unaye iyona juu ni maji over the firmanent ,firmanent ipo only around 70 miles,theory ya ridicolous numbers ya kina newton na muhuni mwenzake nicolaus copernicus waliyoku indroctinate wewe kuwa jua ni still na dunia inazunguka walifanya maksudi ili ujue kwa hiyo logical consistency kuwa we are here by chance and not a reason,pitia operation dominic,blue book,operation high jump,operation fish bowl ujue hao ndugu zako kwanini wamefanya confidential,classified na top secret ukijua why na kwanini NASA ikaanzishwa basi utaelewa why sentensi MUNGU HAYUPO ipo,na kwa taarifa yako hao founders wako wa science ni hao hao walio translate biblia 1611 na mwisho nyota ipo karibu tu hapo tafuta camera ya nikon p1000 utaziona zipo chini ya firmanent.THE WORLD IS THE CENTER OF THE UNIVERSE AND A TESLA COIL above it stays a source or energy neither a genius or a fool can comprehend by mortal intelligence substance Within his or her complex mind
 
nani kasema hivyo au wewe ndo unajua hivyo?je,ina maanisha ni logical consistency ndo iliyokufanya ujue kuwa kweli logical consistency ndo inakuwezesha kujua ukweli?
Hata hapa unavyonihoji ili nikueleweshe uthibitishe ukweli, unanihoji kwa kutumia logical consistency.

Kwa hivyo, ukiniuliza nani kasema hivyo, nitasema wewe umesema hivyo.

Zaidi, kitu muhimu si nani kasema hoja, kitu muhimu ni, hoja ni kweli au si kweli?

Without logical consistency, there is only chaos.
 
Firmanent ni natural metallic glass ambayo inatenganisha dunia yetu na maji ya nje,ile rangi ya blue unaye iyona juu ni maji over the firmanent ,firmanent ipo only around 70 miles,theory ya ridicolous numbers ya kina newton na muhuni mwenzake nicolaus copernicus waliyoku indroctinate wewe kuwa jua ni still na dunia inazunguka walifanya maksudi ili ujue kwa hiyo logical consistency kuwa we are here by chance and not a reason,pitia operation dominic,blue book,operation high jump,operation fish bowl ujue hao ndugu zako kwanini wamefanya confidential,classified na top secret ukijua why na kwanini NASA ikaanzishwa basi utaelewa why sentensi MUNGU HAYUPO ipo,na kwa taarifa yako hao founders wako wa science ni hao hao walio translate biblia 1611 na mwisho nyota ipo karibu tu hapo tafuta camera ya nikon p1000 utaziona zipo chini ya firmanent.THE WORLD IS THE CENTER OF THE UNIVERSE AND A TESLA COIL above it stays a source or energy neither a genius or a fool can comprehend by mortal intelligence substance Within his or her complex mind
Kwanza kabisa, ukitaka kunieleza kitu, jaribu kupatia herufi.

You are talking about firmament, not firmanent.

Pili, you are talking some obsolete nonsense shit that is not even worth my time.

Absolute bonkers shit. Mirembe level delusion.

You are not even worth my shell.
 
sikujua wewe ni mjinga kwa kiwango gani,sasa nimejua.

Pili nimegundua huna elimu bali ni msomi uliyekaririshwa na kupumbazwa tangu ukiwa mtoto hadi kufikia hapo ulipo.

Nilijua tu hilo ndo litakuwa jibu lako maana wewe ni mpotoshaji wa kiwango cha usomi ila sio elimu,ni kwamba umesoma hujaelimika ila umekariri mfumo wa kuwa mental slave,na umekuwa sawia kabisa ndo maana unalipwa vizuri na kula vizuri ukijua umeelimika kumbe ni wahitimu wazuri wa indoctrination.

Sio kwamba hujui naongelea nini ,unajua ila unahofia kujulikana kuwa wewe ni mpumbavu.

Anyways narudia you can not comprehend God with that tiny complex brain you call it your think tank machine,God is not your science book full of lies that you can fool people that you are doing an hypothesis on,you can only understand the connection if only Godself wants to.

We bakia hapo hapo upendo wote,pembe tatu lenye duara,rangi zenye sauti,nyota ilyolipuka hivyo hivyo maana ushafungwa ufahamu
 
Yani hujakubali hata kwamba umekosea herufi?

Halafu mimi niliyekuonesha ulipokosea ndiye mjinga?

Hujaona kwamba wewe ndiye mwenye ujinga wa kutokubali kuelimishwa unapokosea?

Ulipo wewe leo habari za kuamini firmament (not firmanent, get it right) mimi nilipavuka nikiwa na miaka saba. Hivyo sioni sawa kubishana nawe.

That shit is so obsolete, it's not even funny.

Nitakukosoa spelling tu kwa sasa.
 
Kama Mungu hayupo baba ako ndo aliweka sukari kwenye muwa
Logical non sequitur.

Sukari kwenye muwa inawekwa na photosynthesis, hilo halihitaji Mungu.

Tatizo hujui hata photosynthesis ni nini.
 
Yani hujakubali hata kwamba umekosea herufi?

Halafu mimi niliyekuonesha ulipokosea ndiye mjinga?

Hujaona kwamba wewe ndiye mwenye ujinga wa kutokubali kuelimishwa unapokosea?

Ulipo wewe leo habari za kuamini firmament (not firmanent, get it right) mimi nilipavuka nikiwa na miaka saba. Hivyo sioni sawa kubishana nawe.

That shit is so obsolete, it's not even funny.

Nitakukosoa spelling tu kwa sasa.
Hapo ulichofanya ni sawa na kudecrypt encryption,na kama ulipavuka ama kupevuka basi uliwahi sana safari kuelekea kwenye ujinga uliopo sasa,kama nimekosea herufi we ulijuaje kuwa namaanisha hicho ulichorekebisha?

Sasa endelea kuwa mwalimu wa lugha kwa kukwepa uhalisia wa nilichokuambia naona ndo the best left weapon umebaki nayo
 
The firmament is obsolete. And so are you.
 
Back
Top Bottom