Mungu hana dini

Mungu hana dini

Kwa hyo ulitaka akufungie maspika masikioni.?amwambie Mimi NDO MUNGUUUUUUUU!?.ametuma nitume na manabii kuja kumtangaza kupitia DINI
Mnahangaika sana kumtetea huyo Mungu as if yeye hana uwezo wa kujiongelea na kujitetea mwenyewe.

Huyo Mungu kama yupo na ana uwezo ajitetee mwenyewe sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.
 
🤣🤣🤣.Mungu Hana shida ya kutetewa aliyoyafanya yanamtetea.alikuumba wewe kwenye tumbo la mama yako.
 
Wewe uko hapa unahangaika kumtetea huyo Mungu, halafu unasema hana shida ya kutetewa.

Kama Mungu hana shida ya kutetewa mbona unahangaika kumwelezea hapa?

Si aje yeye mwenyewe ajieleze kama anaweza!!
 
Mimi kazi yangu ni kukumbusha tu.
 
Kaka mshana, kwanza kabisa nikupinge, kimwili hatujaumbwa na Mungu Kwa maana Mungu ni mwili, ila kinadharia mtu ni kweli ameumbwa na Mungu, na Mungu ni neno, consider dualism, man and animal.

Kimwili sisi ni wanyama, na wanyama wote wanatokana na asili ambayo ndani yake imejaa njama ya kuangamiza maisha, ndio maana sisi wanyama tuna silka ndani yetu kwaajili ya kulinda uhai,

Baada ya mnyama mtu kuzungumza, alijuwekea utaratibu wa kuiheshimu lugha anayozungumza kwakua ndio yenye kumpa ukuu nguvu na ndoto, au Mungu

Wakristo walimuwua Mungu Kwa kumpa Mungu utu, ndio maana Leo utawasikia wakitamba kuwa mbinguni ndipo alipo baba, huku wakinyoosha vidole mawinguni, ila Mungu ni neno kama yalivyo maneno mengine,

Mfano, Plato aliunda neno gap ambalo ndani yake Kuna guardian auxiliary na producer ndivyo ilivyo na neno God ambalo ndani yake Kuna Greatness power na dream

Maneno yana tabia ya kujenga illusion, ipo siku neno Sababu litakuwa mtu pia, usishangae wajukuu wako wakipiga goti kumuomba Sababu awalinde, kama tuu neno Mungu lilivyobadilika na kuwa mtu, Leo Imani limekuwa mtu, msalimie upendo na baraka, ahsante

Kama utanielewa ntashukuru, wako mpendwa zaidi ya mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom