Mungu hana dini

Mungu hana dini

Mungu hajakataza statrehe ila anataka uzingatie nistarehe ya halali
Qur'an 2:172
"Enyi mlioamini kuleni katika vitu vizuri tulivyokupeni na mumshukuru Allah ikiwa niyeye mnayemwabudu".
Thibitisha Mungu yupo?
 
Dini ni taasisi inayoshirikiana na serikali/watawala aidha moja kwa moja au vinginevyo ili kuweza kutawala akili na ukomo wa maarifa ya waumini, yaani kufanya waumini waendelee kutegemea na kutafuta ambacho hakipo wala hakikuwahi kuwepo.

Binadamu hahitaji kufundishwa kutoka kwenye dini. Anapaswa kujifunza kwenye mazingira ya asili alipozaliwa kwanza na kukumbuka madhumuni yake ya maisha.
 
Thibitisha Mungu yupo?
Kupatikana na kubadilika kwa usiku na mchana mwanga na giza ni ishara tosha za kuthibitisha kuwepo Mwenyezi Mungu (s.w) kwa wenye akili.

"Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia". (Qur'an 2:164)

"Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili"Qur'an 3:190.
Rejea Qur’an (17:12) na (28:71-72)
 
Sisomi gazeti bwashee 🚮
 
Kupatikana na kubadilika kwa usiku na mchana mwanga na giza ni ishara tosha za kuthibitisha kuwepo Mwenyezi Mungu (s.w) kwa wenye akili.
Sasa unadhani kama dunia ni mviringo na source ya mwanga ni jua inawezekana vipi kusiwe na usiku na mchana / mwanga na giza ?

Ingekuwa ajabu kama jua lingeweza ku-penetrate kutokea upande mmoja na kuingia kwenye core na kutokea upande wa pili kwenye ardhi lakini haya ya usiku na mchana yalishangaza kipindi watu walipokuwa hawana uelewa
 
Unasema siajabu kwasababu tumezowea kuliona kwenye hali hiyo je kwanini hali toki magharibi kwenda mashariki hii nayo siajabu
 
Kwani dunia inavyozunguka huwa inabadilisha muelekeo ?

Hata ukishangaa kwanini dunia inazunguka na inazunguka vipi takwambia tupia chombo chochote kwenye orbit na kitazunguka
 
DAnganya watu wewe umeokoka ila unadanganya watu Mungu hana dini
 
Huo ni mpangilio wakiesabu unahitaji tafakuri tena huko nimbali angalia aya katika
Quran surah AR Rahman aya 19
"Mwenyezi Mungu Ameyachanganya maji ya bahari mbili, tamu na chumvi, yanakutana, baina yake kuna kizuizi"
View: https://m.youtube.com/watch?v=ulcQTv8COfI
 
Hakika Mkulungwa,wachache sana tunaojua hilo.

Ndio maana tunawashangaa tu wapuuzi wafia dini
 
Kabla ya Adamu kumkosea Mungu, hakuna taarifa kama kulikuwa na dini. Lakini basda Adamu kuondolewa utukufu family take ikaanza kumtukuza Mungu kwa kutoa sadaka.Kaini alimtolea Mungu mazao na Abel mifugo.Dini ilianza kwa utoaji kwa ajili ya kujitakasa
 
DAnganya watu wewe umeokoka ila unadanganya watu Mungu hana dini
Imani ni jambo la binafsi sana kama ulivyo wokovu.. Wokovu wangu ni wangu wala sihitaji kuupigia debe ama kuuthibitisha kwa yeyote awaye yote
Mungu hana dini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom