min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,263
- 127,215
Kaka mkubwa huko hawajambo 🤣😀😀😀yupo..!
Kaka mkubwa huko hawajambo 🤣😀😀😀yupo..!
Hakika na huu ni ukweli kwakuwa dini zimekuja juzi ila zinataka kutugawa ."Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini
"Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho."
"Kila dini ilianza na mtu ambaye alikumbuka. Lakini mara tulipogeuza ujumbe wao kuwa udhibiti, tulipoteza ujumbe."
"Hakuna mtoto anayezaliwa na dini. Anazaliwa na roho na hilo ndilo hekalu la kweli."
JUA HALINA IBADA-LINANG'AA TU. MWEZI HAUFUNGANI NA DINI.. UNATUMULIKIA KIZANIView attachment 3436065
Eti Dini🤔"Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini
"Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho."
"Kila dini ilianza na mtu ambaye alikumbuka. Lakini mara tulipogeuza ujumbe wao kuwa udhibiti, tulipoteza ujumbe."
"Hakuna mtoto anayezaliwa na dini. Anazaliwa na roho na hilo ndilo hekalu la kweli."
JUA HALINA IBADA-LINANG'AA TU. MWEZI HAUFUNGANI NA DINI.. UNATUMULIKIA KIZANIView attachment 3436065
Ooh wanatukana balaa, hutoamini nakwambiaUkitaka kujua akili za mtu muulize anasali? Anasali wapi? Kwanini?
Vinginevyo naunga mkono hoja.
sio "zinataka" ---- zimetugawaHakika na huu ni ukweli kwakuwa dini zimekuja juzi ila zinataka kutugawa .
Adamu Alitolewa peponi kwa kukiuka taratibu,sheria au makatazo aliyopewa na hiyo ndiyo DiniKabla ya Adamu kumkosea Mungu, hakuna taarifa kama kulikuwa na dini. Lakini basda Adamu kuondolewa utukufu family take ikaanza kumtukuza Mungu kwa kutoa sadaka.Kaini alimtolea Mungu mazao na Abel mifugo.Dini ilianza kwa utoaji kwa ajili ya kujitakasa
Na huwezi kunyooshea kidole Dini kuna vingi vinaweza kutugawa Siasa, Lugha, Langi, Ukoo, kipato, Mamlaka n.ksio "zinataka" ---- zimetugawa
Vipi kama kusingekuwa na dini tungejuaje kuwa Mungu yupo?Mungu hatafuti dini bali dini ndio inamtafuta Mungu
Kila kitu kinatugawa muda wakeNa huwezi kunyooshea kidole Dini kuna vingi vinaweza kutugawa Siasa, Lugha, Langi, Ukoo, kipato, Mamlaka n.k
Hayo yote ni kwaajili ya mtihani ni nani atakaye mwabudu Mungu
Ndo ujinga wa watu wa Mungu huo.Ooh wanatukana balaa, hutoamini nakwambia
Yaani ukimtajabtu yule muhuni wa wavaa kobaz na yule mchizi wa galilaya mbona kazi unayoNdo ujinga wa watu wa Mungu huo.
Once you are born, you are given a name, a nationality and religion. You spend the rest of your life defining and defending fictional identities.Hakika na huu ni ukweli kwakuwa dini zimekuja juzi ila zinataka kutugawa .
Huo ni mpangilio wakiesabu unahitaji tafakuri tena huko nimbali angalia aya katika
Quran surah AR Rahman aya 19
"Mwenyezi Mungu Ameyachanganya maji ya bahari mbili, tamu na chumvi, yanakutana, baina yake kuna kizuizi"
View: https://m.youtube.com/watch?v=ulcQTv8COfI
Huyo Mungu kama yupo, Alishindwaje kufanya watu wote ulimwenguni wamjue yeye yupo, bila kutumia hizo Dini?Vipi kama kusingekuwa na dini tungejuaje kuwa Mungu yupo?
Once you are born, you are given a name, a nationality and religion. You spend the rest of your life defining and defending fictional identities.sio "zinataka" ---- zimetugawa