Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.

Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.Shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.Huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.Baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa MAOMBI,nikasema Mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.Kwa kweli Mungu wangu is the most highest God,no one like him,i will always serve him.Ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe Mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.

Ashadii niandalie kitchen party.

hongera sana cheusi mangala,ni hatua ya kujifariji hiyo!
zimalize zote hizo furaha mama, jiachie kabisa na ufurahie maisha,
kwani hiki ndo kipindi hasa cha kwenye peak za hiyo furaha,
ukishaingia huko kwenye hiyo big brother changamoto huwa ni nyingi sana.............
tena waweza kuta furaha kama hii usiipate tena, kama karata zitapishana kidogo,

anyway sikutishi, ila ni hali halisi!!!!!!!!!!!!!!!KARIBU KWENYE CHAMA CHA WAUNGWANA

Hongera sana dada, safari ndiyo imeanza sasa kama nikuomba omba zaidi ya vile ulivyoomba mpaka kufikia hatua ya kukuvisha pete. Inaonekana maombi ndiyo catalyst ya kumfanya kukuvika pete. Ukipunguza tu! urudi hapa.[/QUOTE]

asante dada.
maombi ndio catalyst iliyoniletea mafanikio yote ktk maisha yangu,sijawahi kupunguza maombi tokea siku nilipoujua uzuri Wa Mungu wetu,maombi ni dira yangu,Mungu ninayemtumikia hataruhusu nirudi hapa kulalamika juu ya ndoa yangu bali nitarudi kuwashuhudia mibaraka anayomwaga ktk nyumba yangu.amen.Ubarikiwe mpendwa wangu.

Hongera sana Cheusimangala

am so happy for u dear ,mungu akutangulie katika jambo hili..endelea kuomba na kuamini...
endelea kuomba na kuamini kwani siku zote mungu hutoa kwa wakati anaopanga yeye.

Hongera sana Cheusimangala

am so happy for u dear ,mungu akutangulie katika jambo hili..endelea kuomba na kuamini...

endelea kuomba na kuamini kwani siku zote mungu hutoa kwa wakati anaopanga yeye.

Hujambo mama wa kwanza?
Leo twasherekea furaha ya Cheusi bana!

Hongera sana Cheusimangala

am so happy for u dear ,mungu akutangulie katika jambo hili..endelea kuomba na kuamini...
endelea kuomba na kuamini kwani siku zote mungu hutoa kwa wakati anaopanga yeye.

thanks Fl1,
nimekumiss ile mbaya,
amen kwa sala,ubarikiwe mpendwa wangu.

Hongera Cheusi ubarikiwe sana!
Naona kwenye thread hii nimewaona karibia wakongwe wote hapa!
thanx Kimey.
nawe ubarikiwe pia.wakongwe wenzangu mna upendo sana,i feel blessed kuwa nanyi ktk maisha yangu,japo si wote niwajuao kwa sura lkn nabarikiwa sana.

kwema kabisa dearest, kumbe waweza?....kwa hii mistari yako imenishusha hacra niliyokuwa nayo na kuifanya weekend yangu ianze vzr....

Ubarikiwe sana - mPM cheusimangala umpe shule ya uchumba - usimtishe lakini, maana wewe mmmh!

hongera sana cheusi mangala,ni hatua ya kujifariji hiyo!
zimalize zote hizo furaha mama, jiachie kabisa na ufurahie maisha,
kwani hiki ndo kipindi hasa cha kwenye peak za hiyo furaha,
ukishaingia huko kwenye hiyo big brother changamoto huwa ni nyingi sana.............
tena waweza kuta furaha kama hii usiipate tena, kama karata zitapishana kidogo,

anyway sikutishi, ila ni hali halisi!!!!!!!!!!!!!!!KARIBU KWENYE CHAMA CHA WAUNGWANA

au 2jipe moyo kwamba kuna zingine furaha mwanzo mwisho? mie nshakwaruzana asubuhi hii bac kumsoma Cheusi nikasema ewaaaa waongezeke nao watupokelee vijimambo humu ndnai.

Tuimbe pamoja wimbo huu.

"sikilizeni furaha yangu,Mungu ni pendo anipenda"

then huu hapa

In Christ alone my hope is found
He is my light, my strength, my song
This Cornerstone, this solid ground
Firm through the fiercest drought and storm
What heights of love, what depths of peace
When fears are stilled, when strivings cease
My Comforter, my All in All
Here in the love of Christ I stand

thanx fidel kwa hongera na kwa tips.
safari hi nakuruhusu unidai chochote utakacho nitatoa kama kipo ndani ya uwezo wa kutolewa.

Wow duh naamini utakuja na shem kabisa nimkubadhi kuwa huna doa wala nundu ole wake.

Nijumlishe kwenye kamati ya send off katika ukusanyaji uchakavu

thanx Kimey.

nawe ubarikiwe pia.wakongwe wenzangu mna upendo sana,i feel blessed kuwa nanyi ktk maisha yangu,japo si wote niwajuao kwa sura lkn nabarikiwa sana.
Usijali mpendwa utaona sura yangu nikigonganisha Glasi na wewe siku ya harusi bana!

Similar Discussions

Back
Top Bottom