Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

Hongera sana, kwa hatua nzuri, ukimtumaini Mungu hakika hatakuacha, endelea kusimama kwenye maombi kwani kwa kutangaza hilo shetani umemtangazia vita. nimependa ujumbe wako na wengi wamekupongeza na mm nakupongeza na kukuombea. Mungu akuinue na kukutunza. Ukipenda unisaidie kubalisha avatar yako................ .be blessed
 
Kwa kweli hiyo furaha yako ni ya uhakika, ila ninalo swali kidogo; huyo shem wetu uliwahi kufanya naye mambo ya kikubwa???????? Maana unasema mmejuana siku nyingi kivipi??? Kama ni hivyo mtabidi mtubie dhambi zenu kwanza kabla ya kumshirikisha Mungu kwenye mipango yenu ya ndoa. Msirudie tena kukutana kimwili hadi harusi!!!!!!!!! Bila shaka mmenielewa!!!!!!!!!
Inahusu??
 
kila la kheri Cheusimangala.....be blessed!

Nyamayao upo? Leo tu nilikuwa nakuwaza, sijakusikia ck nyingi. All the best Cheusimangala, Mungu hashindwi na chochote ni suala la wakati tu kwani hujibu kwa wakati na majira yake. Mungu azidi kukupigania na usiache kumtumainia. Nakuongezea watu wa kuandaa kitchen party, Lizzy na Nyamayao, Mwanajamiione
 
<font color="#ff0000"><font color="#222222">thanx katavi,ubarikiwe kwa maombi utakayotufanyia.<br />
hapo kwenye red, i rebuke it from happening in Jesus name,he is mine till death do us part in jesus name.Amen.</font></font>
Amen...
 
Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.

Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.Shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.Huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.Baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa MAOMBI,nikasema Mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.Kwa kweli Mungu wangu is the most highest God,no one like him,i will always serve him.Ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe Mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.

Ashadii niandalie kitchen party.
Mbona hujawahi kuniambia kama upo hapa JF?Waambie pia kuwa pete hiyo niliyokuvalisha ni aghali sana...!
 
Kitchen Party usinikose, ndio nakujulisha kabisa, nitachanga kwa moyo mmoja
Hongera cheusi, itabidi wengine tufunge duh, ni kweli Mungu anajibu maombi kama tu tutamaanisha kutoka rohoni
 
<br />
Homu boy bana! Sasa kama we unashinda continental kwa nini roho isimpande bana?
sasa pale si anachaji betri akifika home mikwaju lol!

hahahaha nikienda nae ni balaa lazima zogo litokee na wahudumu eti kwa nini mhudumu ananiangalia mno
kanga moko muhimu kwenda alone bana mi napenda wakija kucheza kwa kuniwekea miguu yao mapajani kufumba na kufumbua pochi imepungua balaa hahaha!
 
sasa pale si anachaji betri akifika home mikwaju lol!

kanga moko muhimu kwenda alone bana mi napenda wakija kucheza kwa kuniwekea miguu yao mapajani kufumba na kufumbua pochi imepungua balaa hahaha!

Hahahaha uporoto raha ya bar sio kwenda na partner wako burudani ya wahudumu itakupitia pembeni
 
Hongera sana bibie...ila safari bado ndefu kwahiyo endelea kuomba ili tupate update ya ndoa...mtoto mkijaliwa...anniversary ya kwanza mpaka hata ya 50 kama bado tutakuwepo!!

Kila la kheri!!!
 
Wakuu naombeni ratiba ya kanga moko,laki si pesa nataka nikaone jinsi kanga inavyovaliwa...bila kusahau kiingilio chake!
 
Wakuu naombeni ratiba ya kanga moko,laki si pesa nataka nikaone jinsi kanga inavyovaliwa...bila kusahau kiingilio chake!
hivi vikundi viko viwili kuna kanga moko na hapa T ukitaka K kwa mkeo,huwa wana-show kila jumatano Continental Club karibu na Clock tower kwa kupokezana wiki hii kanga moko wiki inayofata hapa T,kiingilio buku 5.
Kanga moko huwepo pia masai club k'ndoni kila jumanne.Sehemu zote show huanza saa 7 usiku.
 
amani ya mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.

Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa maombi,nikasema mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.kwa kweli mungu wangu is the most highest god,no one like him,i will always serve him.ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.

Ashadii niandalie kitchen party.

Mpendwa hongera sana nimekufurahia sana sana ingawa nina wazo moja...unajua shetan ni mbaya sana na hili nawasaidia hata mnaokwenda kwenye interview kuitwa kwenye interview bi tofauti na kupata kazi na hili shetan anawaangamiza sana kivipi...mpendwa maombi yangu uje kuwa mama wa afamilia yenye watoto wasiohesaabika wanaotunzwa vizuri kamaa mamaa didy....kumbuka sasa umeanzisha vita na shetan akai kimya muda huu ni mgumu kuliko muda uliokuwa ukiomba mungu mzee atoe matumaini..kumbuka shetan hana adabu anaweza kuwaruhusu kwenda mpaka kanisani wakati wa kuulizwa bado mwanaume huyu akaulizwa upo tayari kuishi na kukaa na binti nanii kwa shida na raha akasema
""hapana"" najua utaogopa lakini wewe ndie mwenye kuamuru aseme ndio....kuficha siri ni vizuri sana mwisho wa siku shetan anaona aibu pale unapomeremeta na kumhakikishie imekula kwake..

Ukisoma kwenye kitabu cha biblia yussuf alioteshwa atakuwa mkuu kuliko wote..mistake aliofanya ni kwenda kuwambia wazazi wake kwamba ipo siku atakuwa mkubwa na wao watamsikiliza wewe wewe ukisoma utajua yaliomtokea ingawa ukweli haklisi alikuja kuwa waziri mkuu baada ya kutaka kuuwawa na baada ya kuokoka kwenye kuuwawa akaamuliwa atupwe baharini...sipendi mzee atutupe baharini natamani siku moja nije pale kanisani/msikitini nikashangalie mbaya hata lkama usiponialika nitafurahia na wewe kwenye ulimwengu wa roho mpaka jamaa mida ya saasita atakapoamuliwa sasa wanaharusi wakapumzike na wale wenye kupenda bia za bure hapo ndipo wanapoonyesha wamekuja kufanya nini

kila la kheri mungu akuzidishie na kukubariki ..nimekukumbusha hivi kwa nia njema kumbuke pemben ya huyo kulikuwa na yule na nyuma ya wewe kama si pemben yako kulikuwa na yuleeeeeeeeeeeeeeeee wote walitamani wavalishani pete
nikwambie shetna alivyo mbaya nina history ya mabinti wazur watatu wana maisha mazuri kazi nzuri wameishia kuvikwa pete jna jamaa wakala kona tena kwa party nzuri kkubwa

natangaza kwa jina la yesuuuuuuuuuu ninaemwamini alie hai isiwe kwako..wewe ni mshindi wew eni yule asiewezwa kama walisema uolewi watakuja kukuletea michango kamawalisema uzai watakuja kupigwa jua wakitafuta pampas na wipers za wanao mapacha in jesus name\wiki end njema
 
kitchen party usinikose, ndio nakujulisha kabisa, nitachanga kwa moyo mmoja
hongera cheusi, itabidi wengine tufunge duh, ni kweli mungu anajibu maombi kama tu tutamaanisha kutoka rohoni
shantel wenye moyo wapili wakowapi??mis u all ujaalikwa kwenye party unialike nasikia tu maatarumbeta huku nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom