Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

Ukweli ni nini?
Ukweli ni jambo kuwa na logical consistency objectively.

Wewe ukisema hufiki mbinguni bila kupitia kwa mungu wako Yesu, ambaye ni mtoto wa Mungu Yehova, kwa kutumia Biblia, halafu Muislamu akakwambia Yesu si Mungu, Mungu ni Allah na mtume wake ni Muhammad na kitabu chake ni Quran, na watu elfu tano wengine wakaja na madai yao tofauti hivyo hivyo, wote elfu tano na wawili hamuwezi kuwa katika ukweli.

Sasa utajuaje unachokiamini ndiyo kweli na si hadithi ya kutungwa na watu tu ambayo si kweli?
 
vizuri
Sasa niambie huo Ukweli unaousema kulingana na maana yako unauthibitishaje kuwa ni ukweli halisi na si hadithi au perception tu?
Na tafadhali usitumie assumptions au belief system yoyote.
 
vizuri
Sasa niambie huo Ukweli unaousema kulingana na maana yako unauthibitishaje kuwa ni ukweli halisi na si hadithi au perception tu?
Na tafadhali usitumie assumptions au belief system yoyote.
Ukweli unathibitishwa empirically, kwa kupima mambo kifalsafa na kimantiki.

Ukweli ni safari. Hatusemi "Huu hapa ni ukweli tumeshaupata". Kwa sababu kesho tunaweza kugundua kitu kipya.

Ukweli tunaoweza kuujua ni provisional kutokana na kile tunachokijua.

Ukweli unakwenda na muktadha.

Nitakupa mfano.

Ukijenga ukuta wa matofali haya ya kawaida ya kujengea nyumba, unaweza kusema kuwa ni ukweli kuwa hakuna mtu atakayeweza kupita kwenye ukuta huo atokee upande wa pili bila ukuta kupasuka na wala yeye mtu kuumia. Unaweza kusema this is a scientifically established fact. Labda hata ukijaribu mara milioni moja hutaweza kupenya kwenye ukuta wa matofali.

But that is just because we have not had enough time to experience the fullness of the strangeness of the universe. Given enough time, there is no physical law that prevents the atoms of your body to arrange themselves in a way that is precisely opposed and mishmashing the atoms of the wall, therefore making it possible for you to pass through a wall unscathed. The probability if that happenning are ridiculously low, and it may take trillions of years for that to happen, and the wall may not even survive those trillions of years, so practically this is hogwash. But in principle there is no violation of physical law if one were to pass through a wall in that manner today.

In many ways tunaweza kuthibitisha huu ni uongo, tukafanya elimination ya nini si ukweli, zaidi ya kuthibitisha ukweli ni nini.

Na hayo mambo yenu ya Mungu this and that, roho this and that, hata ukitaka kuyaweka kwenye mizani ya kutafuta ukweli by elimination tu, yani ufagie kuondoa uongo tu hata kabla ya kujua ukweli, yanaonekana hayapasi mtihani, tuna ya eliminate kuwa hata kama hatujui ukweli ni nini, hayo mambo hayawezi kuwa ukweli.

Take the idea of an all loving, all capable and all knowing God who created a universe in which evil is possible. From a logical consistency litmus test, this God fails the test of Epicurean Paradox /The Problem of Evil. And if you say logical consistency is just an assumption, it need not hold, then that God is not even necessary. The foundational arguments for the existence of God are all logical. God explains the universe, God the first mover, etc. Remove logical consistency and you remove the need for a God. Why do we need to have a God in a universe where anything can happen without logic?

And therefore, by elimibation method, even before knowing what is truth, I can know that this is not truth.

Just like in base ten math as long as one knows the square root of a positive interger larger than 1 is smaller than that number, we will know that 10 is not the square root of 2, even without knowing what the square root of 2 is.

On assumptions, God is the biggest assumption anyone can make. Without assumption, God cannot exist.
 
1. Sasa brother hapa mbona unaegemea sehemu moja tu ya empirical na logical consistency kwa mfano kulingana na unachokisema ukitumia only empirical tools, hutagundua chochote kisichoguswa na milango ya fahamu. Na hiyo ni sehemu ndogo sana ya uhalisia.
mfano: Huwezi kupima uzito wa dharau kwa kutumia thermometer lakini si ipo. Je, isipoonekana, haina ukweli?
Kama unavyoamini hapa??

2. Naona upo obsessed sana na hii falsafa moja ya Epicurean Paradox sasa

Swali la uovu lina maana tu pale unapokubali kuwa kuna jambo jema na la ukweli,, lakini kama wewe unadai hakuna chanzo cha absolute good (ambacho kwa waamini ni Mungu), basi hoja yako ya uovu inakosa msingi yaani unataka kumhukumu Mungu kwa ‘standard ya wema’ ambayo hauwezi kueleza asili yake bila Mungu. That’s circular bro...

3. Kwanini utumie logic kufuta uhitajikaji wa MUNGU alafu unatumia hiyo hiyo logic kudai kwamba MUNGU hawezi kuwepo??
Eti "Ukiondoa logic, MUNGU si wa lazima"
Maana hapa kama logic yako ni relative,,basi na conclusion yako itakuwa ni relative vilevile na ndio maana kwa msingi huo, hata ukweli unaosema hapo ni provisional tu. Huwezi kuufanya uwe universal au wa mwisho unless uingize chanzo cha absolute order (ambacho kwa wengi ndicho kiini cha neno ‘Mungu’).

4. Alafu kingine unapodai MUNGU ni assumption kubwa kuliko zote Kama Mungu ni assumption kubwa, basi uongozi wa maisha kwa kutokuwepo kwa Mungu ni assumption kubwa zaidi maana unajenga maisha juu ya kutokuwepo kwa KITU kikubwa kuliko uwezo wa akili yako😅😅
Na hiyo ni blind faith disguised as ‘rationalism.’

Mwisho

Unafikiri vizuri sana lakini naona unajikuta unasoma vitu vingi vinavyorudi kukuchanganya wewe mwenyewe kiasi unakosa focus inayokupelekea kuwa na haya maswali na migogoro hiyo yote nafsini kwako...hii nguvu ungeitumia kwenye upande wa pili ungekuwa mchungaji bomba sana ni vile umepick side kulingana na depth ya falsafa ulizoona zinakufaa na unaacha zisizokugusa. Pia unavyodai kuwa "eliminiation method" ni objective, huo ni mwelekeo au angle moja tu ya kutazama uhalisia mkuu.
Ukweli wa mwisho hauishii kwenye logic wala data kwa maana hata logic inafikiriwa na kiumbe ambaye mwenyewe hajui hata kwa nini yupo au unabisha😅😅??

Wewe mwenyewe umesema: "truth is a journey" basi kwa nini uifunge safari kwa kusema,, "hili haliwezekani"?

Kama kweli unaheshimu mwelekeo wa “kuondoa assumptions,” basi unapaswa kuondoa na assumption yako kuwa “God is the biggest assumption” hapa.

Kile unachokiona kama assumption kwa wengine ni maana ya maisha, sauti ya ndani, consciousness ya ajabu inayogusa undani ambao sayansi haijawahi kuigusa.

Mungu hawezi kuwekwa kwenye mikono ya microscope, kama ambavyo upendo usivyoweza kuwekwa kwenye mizani ili upimwe. Isipokuwa vyote hujulikana kwa matokeo yake tu.
 
Alafu pia brother...
1. Yaani wewe unaonekana kabisa ni wale epistemic nahilism na unashindwa kutofautisha na epistemic humility ndio maana kuna namna upo rigid kuelewa angle tofauti na watu wavyojaribu kukupa shule. Hizi zote ni falsafa tu na zote zinamantiki sasa jaribu kuelewa katika angle zote usijifungie. Hivyo basi kukubali kuwa kuna mipaka ya ufahamu wetu hakumaanishi kuwa hakuna ukweli wa kudumu. Tunachosema ni kwamba hatujaufikia si kwamba haupo. Kusema ‘truth is contextual and provisional’ bila kuweka msingi wa ultimate referent ni sawa na kujenga hoja juu ya mchanga. Unachopinga kinabomoka chap bila hata kupingwa hapo.

2. Epicurean paradox inahusu version fulani tu ya Mungu kwa maana ya “classical theism” lakini haina nguvu mbele ya falsafa ya free will au muktadha wa kiroho/kiakili ambao hauko bound na material logic mfano wewe mwenyewe unaposema.

“Kama logic si ya lazima, basi Mungu si wa lazima.”
Yaani utumie mantiki kupinga hitaji la MUNGU na unatumia mantiki hiyo hiyo kukataa uwepo wake yaani unajikanyaga wewe mwenyewe kwa kifupi.
Huwezi kutumia mantiki kuondoa uhitaji wa Mungu, halafu ukikosea unarudi kusema mantiki si muhimu. Hiyo ni intellectual dishonesty. Either uvae viatu vya logic hadi mwisho au ukubali kuna realities zilizo juu ya logic yako ya sasa. Kuhusu "problem of evil" unadai ni contradiction, lakini unaacha completely logic ya free will, redemption, transformation na duality ya existence. That's cherry-picking falsafa kwa ajili ya ego.”

3. Kwenye hiyo hiyo falsafa ya epistemology kuna kitu tunaita "properly basic belief" kwamba kuna vitu ambavyo si assumption wala conclusion bali ni "universal intuitive foundation" (mfano ukawa unajiuliza mimi nipo hivi, Dunia ipo au kuna order flani tu ya kiakili). So wazo la Mungu hapa kama chanzo cha uhai na maadili linaweza kuwa property based belief. Kwa hiyo Kuna tofauti nzuri tu kati ya "assumption" na "properly basic belief" Watu hawaanzi na assumption ya Mungu tu. Bali, wengi huanza na intuition ya ndani ya "kuna kitu zaidi" hata kabla hawajasoma Biblia au Qur’an. Huo ni msingi wa maumbile ya binadamu. Kama hakuna reference point ya juu zaidi ya akili ya binadamu, basi kila falsafa unayoshikilia nayo ni assumption tu including logic yenyewe.”

4. Pia naona unasahau kama falsafa yako nayo ni Imani pia...
"Mimi siongelei Imani, naongelea logic"
Yaani hakuna binadamu anaeweza kujitenga kabisa na imani mzee...hata hiyo logic empiricism inahitaji imani kwamba akili ya binadamu inaweza kutambua ukweli(Axiomatic belief). Ukisema huongelei imani, lakini unatumia logic ambayo unaiamini ni ya kuaminika, bado umeingia kwenye imani hapo. Hakuna mfumo wa kutambua ukweli usioanza na imani ya msingi hata falsafa yako. Unaposema unaamini "eliminiation method", hiyo tayari ni imani yako ya msingi. Huwezi kuepuka imani kwa kutumia maneno ya kisomi chief.

5. Naomba usinielewe vibaya lakini, Obsession ya falsafa yako unayoiamini inazidi uwezo wako wa kufikiri kwa sasa( pseudo intellectualism). Unajaribu kuwaza system ya kila hoja ulizosoma while sijui ni kwa makusudi au hujui ya kwamba baadhi ya hizo hoja ni tentative, speculative na zinahitaji grounding zaidi ya akili ya binadamu peke yake. Kwa mfano
Kama falsafa zako haziwezi ku-address vilio, mapenzi, intuition, roho, au hata maana ya mateso -basi si falsafa kamili. Ni kama kujaribu kuelewa muziki kwa kutumia rula ndio unachojaribu kukifanya. Na ukishindwa kujua kuwa unachojaribu kuelewa kiko juu ya logic ya kibinadamu, utazidi kuzunguka kwenye maze ya fikra zako mwenyewe hadi uchoke(Kitu nilikwambia kwenye ile thread ya mwanzo kabisa kama unakumbuka). Falsafa isiyokuwa na wisdom ya moyo si hekima – ni tantarira tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom