Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,552
- 31,585
Nimegundua Mungu hayupo.Kama Mungu hayupo,wewe umegundua nini hapo ulipo?
Nimegundua Mungu hayupo.Kama Mungu hayupo,wewe umegundua nini hapo ulipo?
Hapa bro nadhani Kushindwa kuthibitisha kitu hakumaanishi kitu hicho hakipo.Mimi siamini uchawi. Imani za uchawi ni ujinga tu.
Na kuhusu nguvu, imani inaweza kutengeneza nguvu kisaikolojia hata baadhi ya magonjwa yakapona, hiyo ni saikolojia tu, haihitaji Mungu awepo. Inaitwa placebo effect.
Mimi simlazimishi mtu kuamini kitu. Najua imani ni haki ya binadamu, ipo katika katiba na Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948.
Mimi siamini Mungu lakini namtetea Gwajima awe na haki ya kuabudu anavyotaka. Kwa sababu haki yake ya kuamini anavyotaka ni upande mmoja tu wa shilingi, uoande w apili ni haki yangu ya kutoamini. Pande hizi mbili zipo katika haki ya freedom of conscience.
Sipo hapa kuingilia imani ya mtu au kutaka kumbadiklisha. Ukifikiria hivyo utakuwa hujanielewa. Mambo ya imani hayafai hata kujadiliwa. Kwa sababu ni mambo ya uhuru na faragha ya mtu binafsi.
Mimi naongelea ukweli. Falsafa ya epistemology. Unaposema naamini hiki, unajuaje hicho unachoamini ni kweli na si hadithi tu?
Sawa kushindwa kuthibitisha kitu hakumaanishi kitu hakipo.Hapa bro nadhani Kushindwa kuthibitisha kitu hakumaanishi kitu hicho hakipo.
Mfano:Kabla ya bacteria kugunduliwa, watu hawakuweza kuthibitisha kuwa kuna viumbe vidogo vinavyosababisha magonjwa. Je, hiyo ilimaanisha bacteria hawakuwepo labda? Hapana.
Maana ukilalia kwenye huo mlengo
Itabidi tum objectify MUNGU..
Ili tuweze kuthibitisha uwepo wake kwa maabara( kulingana na hoja zao zenye misingi ya Imani, ukweli, na uthibitisho.)
Kwa hiyo Sayansi na falsafa hazina uwezo wa kuthibitisha kila kitu — zinachunguza kilicho ndani ya realm ya experience na repeatability. Lakini Mungu ni mada ya metaphysics si physics.”
Mfano: Tuseme au ujiulize
Je unaamini kuna kitu kinaitwa Dhamira au Upendo??
Vipi unaweza ingia maabara uvithibitishe kuwa ni kweli kuna kitu kinaitwa upendo na ukishindwa kuthibitisha ukatae kwamba hakuna kitu kinaitwa UPENDO??
Au utumie microscope kuchunguza furaha??
Kwa hiyo mimi nadhani ni limitation zetu tu za kuona mambo kama nilivyosema hapo awali na pale kitu kitakuwa nje ya upeo wetu.
Maana tukisema tujikite kwenye kutaka kuthibitisha kila kitu ili iwe kweli basi falsafa yenyewe inaweza ikawa haina maana sana sababu nayo ni ngumu kuithibitisha kwa njia ya majaribio ya kimaabara. Tunaishi, tunahoji, tunatafuta maana kwahiyo inawezekana kukawa na chanzo cha "MAANA". Hicho chanzo wengine ndio wanakiita MUNGU.
Nb: Wengine. Sio wote.
Umegunduaje mkuu ili tupate uelewa sote kwa pamoja tuache kujidanganya kwamba yupo wakati hayupo.Nimegundua Mungu hayupo.
Kisichokuwepo hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.Umegunduaje mkuu ili tupate uelewa sote kwa pamoja tuache kujidanganya kwamba yupo wakati hayupo.
Mfano uwepo wa radio and the likesSiyo kwamba "kupaa," na kutembea juu ya maji na kuduplicate samaki na mikate kulitumia sayansi ambayo hatuijui bado? Kwa watu wa kale sayansi iliyopo Leo kwao ni miujiza mikubwa.
Mkuu kama amekupa akili za kuamua mambo yako,kuzuia wauaji ni jukumu lako utumie akiliKwanini asiwazuie wauaji
Wakati yeye ni muweza wa yote na Anaupendo Kwa wote !?
Hongera,andika pepa sasaNimegundua Mungu hayupo.
Haps itstegemeSawa kushindwa kuthibitisha kitu hakumaanishi kitu hakipo.
Kwa sababu juna vitu vipo na hatujaweza kuvithibitisha.
Lakino pia, hakumaanishi kitu kipo.
Kwa sababu tunaweza kujitungia hadithi tu ya uongo, tukaiamini kuwa ni ya ukweli, tukashindwa kuithibitisha kuwa ni ya ukweli, kwa sababu si ya ukweli.
Sasa, unaposhindwa kuthibitisha kitu, ukikiamini, unajuaje unaamini ukweli na si uongo?
Utajuaje hii habari ninayoamini ni ukweli na si uongo?
Sawa kushindwa kuthibitisha kitu hakumaanishi kitu hakipo.
Kwa sababu juna vitu vipo na hatujaweza kuvithibitisha.
Lakino pia, hakumaanishi kitu kipo.
Kwa sababu tunaweza kujitungia hadithi tu ya uongo, tukaiamini kuwa ni ya ukweli, tukashindwa kuithibitisha kuwa ni ya ukweli, kwa sababu si ya ukweli.
Sasa, unaposhindwa kuthibitisha kitu, ukikiamini, unajuaje unaamini ukweli na si uongo?
Utajuaje hii habari ninayoamini ni ukweli na si
Kitu chochote ukikitafutia sababuSawa kushindwa kuthibitisha kitu hakumaanishi kitu hakipo.
Kwa sababu juna vitu vipo na hatujaweza kuvithibitisha.
Lakino pia, hakumaanishi kitu kipo.
Kwa sababu tunaweza kujitungia hadithi tu ya uongo, tukaiamini kuwa ni ya ukweli, tukashindwa kuithibitisha kuwa ni ya ukweli, kwa sababu si ya ukweli.
Sasa, unaposhindwa kuthibitisha kitu, ukikiamini, unajuaje unaamini ukweli na si uongo?
Utajuaje hii habari ninayoamini ni ukweli na si uongo?
Ndio kabisaMkuu kama amekupa akili za kuamua mambo yako,kuzuia wauaji ni jukumu lako utumie akili
Naam.Haps itstegeme
Kitu chochote ukikitafutia sababu
Huwezi kosa kaka.
Sawa upo sahihi piaKisichokuwepo hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo
Mungu ni dhana ya kufikirika, fictional character.
Asa hapa mkuu ukisema "imani za kusadikika unakosea". Maana tutaanza kuchambua tena nini maana ya Imani na kwanini watu wanaabudu. Majibu yatakayokuja hapa karibu yote yatakuwa ni based on subjective perspective... Ni ngumu kuthibitisha vitu vya subconsciousKama unapinga basi thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Pia eleza ulijuaje Mungu yupo, na si imani za kusadikika na kufikirika
Ndio kaka. Ni wewe tu na imani yako.Naam.
Kwa hiyo kama Mungu hayupo ukimtafutia sababu ya kumfanya awepo pia utapata tu, siyo?
😅😅Hongera,andika pepa sasa
Vizuri.Ndio kaka. Ni wewe tu na imani yako.
Na namna unavyoishi na mazingira yako.
Vizuri.
Sasa umeturudisha kwenye swali langu la epistemology.
Unapokuwa na imani fulani unahakikishaje imani hiyo ipo katika ukweli na si kitu tu ambacho umekiamini tu bila ya kuwa kweli?
Vizuri.
Sasa umeturudisha kwenye swali langu la epistemology.
Unapokuwa na imani fulani unahakikishaje imani hiyo ipo katika ukweli na si kitu tu ambacho umekiamini tu bila ya kuwa kweli?
Unazunguka maneno mengi lakini jibu la msingi hujatoa.Imani iliyo hai mara nyingi huambatana na mguso wa ndani wa kweli yaani ukisema naamini katika nguvu fulani, hiyo inatakiwa iambatane na mguso wa ndani sio kukariri tu kwamba Imani yako ni hii lazima uifate.
Mfano rahisi;
Unapenda mwanamke fulani...
Lakini imani yako inakwambia huyu hafai kuwa mama wa wanao..na unapata mguso wa kutomkubali kuwa mke.
Hii ikifanya kazi basi Imani yako inakua kweli.
Ukweli unaweza kuwa ni nini au ni upi??
Kama ulivyouliza.
Ukweli pia ni falsafa.
Ukweli ni kile kinachofanya kazi kikawaida katika maisha halisi.
Sasa hapa kulingana na ulivyouliza...
Kama Imani yako na msukumo wako unafanya kazi katika misingi ya UKWELI, basi Imani hiyo ni sahihi kwako na vice versa is True.
Na kuamini ni kitu ambacho ni subjective sasa.
Sasa ndio maana tukisema tubaki katika misingi tu ya hao epistemologist ile point ya mwisho ya kufanya justification inarudi kuwa ngumu maana
Matokeo ya Imani yanaweza husisha vitu ambavyo ni subconscious au kama tulivyosema hapo juu kwamba ni ngumu kuthibitisha kila kitu.
Hivyo basi kama ina work kwako basi hiyo ni sahihi kwako maana si umeamua kuiamini hiyo.
Easy.
Umegoma tu kuelewa.Unazunguka maneno mengi lakini jibu la msingi hujatoa.
Kuna dini maelfu zote zinaamini Mungu wake ndiye wa kweli.
Unapoamini Mungu, unajuaje Mungu wako ndiye wa kweli hao wengine wote si wa kweli?
Siongelei imani, naongelea ukweli.Umegoma tu kuelewa.
We Imani unaithibitishaje kuwa ni kweli??
Tumetoka kuongelea subjectivity hapa.
Unataka niseme Mungu wa fulani sio sahihi kama MUNGU wangu ili iweje wakati kila mtu ana mapokeo yake??
Au utataka nianze kuhoji
Kwanini hauko sahihi kwa imani yako kama ilivyo imani yangu??
Umegoma tu kuelewa.
We Imani unaithibitishaje kuwa ni kweli??
Tumetoka kuongelea subjectivity hapa.
Unataka niseme Mungu wa fulani sio sahihi kama MUNGU wangu ili iweje wakati kila mtu ana mapokeo yake??
Au utataka nianze kuhoji
Kwanini hauko sahihi kwa imani yako kama ilivyo imani yangu??