Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,935
- 20,193
Kumilik ile Rav4 J nyeupe ndio umilionea.
Kuwa DC ni prestige
Huoni anavyopigiwa salute.
Huoni kwenye msiba wa babake viongozi walivyopishana.
Kwa hiyo ni Elfuonea?Munalove huyu ninayemjua mimi huyu leo anaitwa bilionea? Mkuu unamfahamu Munalove au unamuona tu kwenye post za insta? Achilia mbali kuwa Billionea wa tshs hata umilionea usiyozidi 5 mls kuna muda unampa shida kweli kweli.
Kwako ni za kipumbavu.Then what mkuu!!?
Prestige za kipumbavu hiz zinnipitie mbal
Kwani mi nimesema ni bilionea?Joket hata milion 400 hana , ivi wakuu hela mnazijua zilivyo au mnatania ??
Itakkuwa akijitahidi sana ni lakioneaKwa hiyo ni Elfuonea?
Kwani mi nimesema ni bilionea?
Ila nilikuwa najaribu kumwelimisha mdau
Asifikiri wote wanaoteuliwa ni kwaajili ya mishahara wengineis just for prestige tu.
Mo ni bilionea lkn alikuwa mbunge.
Hahaha haha I think Huyu ni bilionea wa kwanza duniani hamiliki hata boda bodaBilionea huyu tofauti na wengine ana roho ya kipekee katika kusaidia Wasanii (wanamuziki na waigizaji) pia amekua akisaidia watoto wenye matatizo ya kiafya kupitia taasisi yake (Foundation). Nikutakie heri ya mwaka 2021.
PENDEKEZO: Tunaomba anzisha hospitali ya kusaidia watoto (Muna Children's Hospital) ili ufikie wengi
Walipishana kwa ajili ya title ya baba yakeKuwa DC ni prestige
Huoni anavyopigiwa salute.
Huoni kwenye msiba wa babake viongozi walivyopishana.
Hata boda boda hana, kule Mbweni anakokaa mvua ikinyesha inabidi usiingie ndaniMunalove huyu ninayemjua mimi huyu leo anaitwa bilionea? Mkuu unamfahamu Munalove au unamuona tu kwenye post za insta? Achilia mbali kuwa Billionea wa tshs hata umilionea usiyozidi 5 mls kuna muda unampa shida kweli kweli.
Hata boda boda hana, kule Mbweni anakokaa mvua ikinyesha inabidi usiingie ndani
Yes so ajafika level hata ya ulaki onea hahahaLakini anajiweza anaish poa
Ukiona hivyo ujue bongo kuna masikini wengi sana....Hata Jokate tuliambiwa ni bilionea
Leo anapata mshahara wa DC
yule anazo kweli ila karithi kwa mshua ake mzee TrumpHivi Trump ni bilionea kweli au utapeli?
Bilionea muna anamadeni kudadeki daaah
Si anaishi ghorofaniHata boda boda hana, kule Mbweni anakokaa mvua ikinyesha inabidi usiingie ndani
Hiyo sifa in ya kikatiba au kishea?(ya kuwa bilionea)Sifa moja wapo ya kuwa rais nchini marekani ni lazima uwe bilionea, Trump ni bilionea.
Japo naona unatafuta ulinganifu wa DC wa Tz na rais wa u.s.a huo ni ujinga na kutojitambua
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app