Munalove: Bilionea mwenye utu!

Jamani hata kapicha hakuna kwa mimi ninaeishi Igwachanya sijawahi kumuona wala kumsikia picha yake tafadhali
Ni pisi Kali jimama la haja mitatoo Kama yote ,mlokole kindakindaki

Ushamwona mlokole mwenye tattoo Kama Travis scott
 
Wabongo hawapendani sana, mtu ashakuwa bilionea lakini hawataki kukubali tu. Angekuwa muhindi wangemmilikisha Yanga ili ashindane na Mo Dewji.
 
Muna huyuhuyu alie kuwa anaiba chupi za wema na kupeleka kwa waganga? Aisee hapana amepataje ubilionea
 
Back
Top Bottom