Munalove: Bilionea mwenye utu!

Munalove huyu ninayemjua mimi huyu leo anaitwa bilionea? Mkuu unamfahamu Munalove au unamuona tu kwenye post za insta? Achilia mbali kuwa Billionea wa tshs hata umilionea usiyozidi 5 mls kuna muda unampa shida kweli kweli.
Kwa hiyo ni Elfuonea?
 
Bilionea huyu tofauti na wengine ana roho ya kipekee katika kusaidia Wasanii (wanamuziki na waigizaji) pia amekua akisaidia watoto wenye matatizo ya kiafya kupitia taasisi yake (Foundation). Nikutakie heri ya mwaka 2021.
PENDEKEZO: Tunaomba anzisha hospitali ya kusaidia watoto (Muna Children's Hospital) ili ufikie wengi
Hahaha haha I think Huyu ni bilionea wa kwanza duniani hamiliki hata boda boda
 
Munalove huyu ninayemjua mimi huyu leo anaitwa bilionea? Mkuu unamfahamu Munalove au unamuona tu kwenye post za insta? Achilia mbali kuwa Billionea wa tshs hata umilionea usiyozidi 5 mls kuna muda unampa shida kweli kweli.
Hata boda boda hana, kule Mbweni anakokaa mvua ikinyesha inabidi usiingie ndani
 
Back
Top Bottom