Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Ila baba wa mtoto ni mstaarabu sana ingekua hawa wengine pangechimbika.....sasa ndio naamini kwa nini watu wanachinjwa kwa hizi drama za muna mwanaume kama hauna hofu ya Mungu unaweza mkata kichwa hakya nani
Wachaga huwa hawatupi damu zao ila kwahili jambo angemuachia mwanae,huyo mama analake jambo ila kajivua nguo n kuonyesha tabia zke vizuri,mwanamke mfupi huwa ni tabu kuishi nao
 
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu mwanaye, Patrick, Muna amekuja jinsi alivyo.

Taarifa za ndani zinaeleza kwamba kumbe mwili ulishawasili Bongo kimyakimya tangu jana usiku na mpaka sasa upo hospitali umehifadhiwa. Lengo lake ni kama alivyoeleza awali, kwamba anataka yeye ndiyo asimamie msiba wa mwanaye na amzike kama atakavyoamua mwenyewe.

======

TAHARUKI imezuka kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya mwili wa mtoto Patrick kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo leo.
Muna mungu anakuona
kuusumbua huo mwili wa dogo patrick
sio yote nikiki mengine ni dhambi
LULU na ZAMARAD mnahusika kwa hili linalotokea
 
Yaani hawa wazazi wote mi siwaelewi ujue

Hivi msiba unaufanya drama hivi jamani kama hawana wazazi
Muna nae mjanja mjanja sana
Marehemu ni mtoto wa mangi chuwa,kma sio wake kwanini huyo mbilikimo alikua anaomba pesa za matibabu,nyie dada zenu hawa marioo hawajui hata bei ya kijiko wao ni free p tu.
Mshaurini mwenzenu mangi akienda mahakamani anashinda case n kuzika mtoto tena kwao moshi
 
kapiga hela za ramba ramba sasa kaanza drama kucheza na saikolojia zetu hadi tutasahau. yaani upande ndege na kurudi bila ulichofata na watu umewakalisha msibani tena miwili....mmmh watu wana roho kwenye hela kwakweli. huenda mtoto yupo chobingo anacheki FIFA cup.....Muna hana tofauti na Stara
 
Marehemu ni mtoto wa mangi chuwa,kma sio wake kwanini huyo mbilikimo alikua anaomba pesa za matibabu,nyie dada zenu hawa marioo hawajui hata bei ya kijiko wao ni free p tu.
Mshaurini mwenzenu mangi akienda mahakamani anashinda case n kuzika mtoto tena kwao moshi
Hajielewi muna sijui hata ana nini
 
Huyo muna ndo anafananaje?
Wekeni hata picha basi tumjue maana anaonekana ni mtu wa ajabu kupita maelezo.
Huyu
Screenshot_20180706-145856.jpg
 
Back
Top Bottom