Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu mwanaye, Patrick, Muna amekuja jinsi alivyo.

Taarifa za ndani zinaeleza kwamba kumbe mwili ulishawasili Bongo kimyakimya tangu jana usiku na mpaka sasa upo hospitali umehifadhiwa. Lengo lake ni kama alivyoeleza awali, kwamba anataka yeye ndiyo asimamie msiba wa mwanaye na amzike kama atakavyoamua mwenyewe.

======

TAHARUKI imezuka kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya mwili wa mtoto Patrick kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo leo.


Habari zaidi, soma=>Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick
 
kazi ipo bora ingekuwa kibarua kilipwa kutwa lakini kazi malipo mpaka mwisho wa mwezi na gharama za kugharamia kazi ni kubwa kuliko kibarua!
 
Huyu mtoto hawakumtendea haki kabisa.. Walimnyima haki yake ya kuwa mtoto.. Shame on them..!
IMG_20180609_040147.JPG
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom