Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Hivi huyu mtoto ni nani?wangaoi wameooteza watoto?acheni kukuza mambo kafa kafa basi
 
kapiga hela za ramba ramba sasa kaanza drama kucheza na saikolojia zetu hadi tutasahau. yaani upande ndege na kurudi bila ulichofata na watu umewakalisha msibani tena miwili....mmmh watu wana roho kwenye hela kwakweli. huenda mtoto yupo chobingo anacheki FIFA cup.....Muna hana tofauti na Stara
Duuh sio fresh. Dogo kafa kweli. Mizaha ya marehemu kucheki FIFA Cup haijakaa vizuri hii.
 
Huo ni ujumbe mjarab kwa wazazi wote.

Nami nimeligundua; namna walivyomvika mavazi, namna walivyomnyoa nywele, namna walivyomvisha vidani....yaani walikuwa wanamuandaa awe raia wa ajabu.

Vv
Ata mimi niliona kitu kama icho nikadhania labda mimi ni mshamba.
 
Back
Top Bottom