Mume watoto watatu nje mke mmoja

Mume watoto watatu nje mke mmoja

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,023
Reaction score
52,494
Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri
Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys

Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne?

Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea mwenyewe japo Hana uwezo Sana lakini maisha yanaenda
 
Muda si mrefu ma single father tutaanza kunyanyasika..
 
Kama mwanaume hana pesa mwambie aachane naye la sivyo atabebeshwa jukumu la kulea hao watoto watatu.

By the way : kama jamaa angekuwa na pesa wala wewe na rafiki yako msingekuja kuomba ushauri.
 
Ahaaaa acha ujinga
 
Back
Top Bottom