Mume wangu mvivu!

Mume wangu mvivu!

Hivi kwa nini watu wanafikiri kwamba baada ya kuoana, mtakaa miaka na miaka, kila siku mnalala kitanda kimoja, watu wawili wale wale halafu sex life itakuwa ile ile tu?

Kama umeamua kuingia katika ndoa inabidi ukubali kweli fulani za maisha ya ndoa.

Mojawapo ni hii, ya kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa moto wa tendo la ndoa kupungua.

Watu wanakuwa wakubwa zaidi, kazi zinazidi, majukumu yanazidi, watoto wanaingilia, familia, harufu za maziwa waliocheua watoto, mara mke kapoteza shepu kwa kuzaa, mara baba libido imeshuka kapata kitambi na kashaanza kupata majani meupe mpaka kwenye bustani ya katikati etc etc.

Utategemeaje rigwaride libaki lile lile?

You are just setting yourself up for disappointment.

Kwani mapenzi lazima kila siku kugegedana? Kiutu uzima hairuhusiwi?
Kiranga nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana ila sasa twende kwenye biological facts, mwanamke anapokuwa kwenye fertile age ndio huwa na ashki zaid kuliko anapokuwa ameshapita umri huo. kwa umri wa bidada ni umri ambao angependa hata kuguswa kila siku ili ajiskie mwanamke kamili. hii inatoka na hormones ambazo kwa wakati huu level yake iko juu zaid plus levels za electrolytes mwilini.

haya tatizo linakuja kwamba while side A is growing upward side B ambayo ni limiting factors na yenyewe grows proportionally matokeo yake ni kwamba NEWTONS FIRST LAW OF MOTION ina apply hapa.

kwenye nini cha kufanya ndio ishu, manake ni subject ya 2 individuals having 2 different approaches with different complications sasa hapa ndipo panapokuwa pagumu.

to me ningemshauri bi dada atulie kwanza ajue kwa mwanaume life starts at 40's so akifika hapa atajikuta hubby wake anarudi kutaka mechi ingawa sasa yeye ke grafu yake inaanza kudrop exponentially.
 
Last edited by a moderator:
pole sana ccta zingatia kumpa mumeo chakula kilicho bora klingana na tatizo alilo nalo atafanikiwa
 
Kwa kiasi kikubwa wanawake tuko responsible kwa hili tena sana sana walioolewa!!!!
mwanamke akishaolewa anajisahau sana, unaishi na mume kwa mazoea......

mwanamke akishaolewa ndo kamaliza no romantic issue ukkijifanya unaleta mambo ya romance utasikia eti sisi si watoto au anakuambia nenda kafanyie vimada wako. siishi kushangaa kwa kweli
 
Kweli kwny miti hakuna wajenzi!

Labda ningependa kujua ni tangu ni tangu mwanzo wa uhusiano au alibadilika ktkt manake vipindi wanavyopitia wanawake huwa ni vyanzo vikubwa vya mabadiliko, rudia historia yenu waweza gundua nn ilisababisha then hapo ndo waweza pata tiba!

Kingine mlishe asali (iwe ni part ya daily breakfast) then matokeo yake yataonekana, hii mimi nilikuwa sijui ila nilinunua asali nyingi kwa ajili ya mtoto halafu nikawa naweka kwenye mkate daily, ila baada ya wife kulalamika sana kuwa namuonea nikareview nn kitakuwa chanzo then baada ya kuacha nikaona narudi ktk hali ya kawaida!

No talking just weka asali as part of the meal
 
to me ningemshauri bi dada atulie kwanza ajue kwa mwanaume life starts at 40's so akifika hapa atajikuta hubby wake anarudi kutaka mechi ingawa sasa yeye ke grafu yake inaanza kudrop exponentially.

Kutokana na uzoefu binafsi hii ya "life starts at 40" naona kama ina ukweli ndani yake.
 
Tatizo anaweza akawa na kisukari (diabetes) ambacho hajakigundua bado hivyo ni kumshauri aende hospitali. La sivyo huyo tayari ana mtu nje ambaye anamzuzua. Kitu cha kufanya ni kujiandaa kwa yasiyotarajiwa. Kama ulikuwa huna kibubu anza kudunduliza, kama ulikuwa ukimtegemea kwa kila kitu anza kujiandaa kujitegemea kidogo kidogo..
Mpe umuhimu kama kawaida lakini rohoni weka vipaumbele vyako mwenyewe. Kipaumbele cha kwanza kiwe watoto wako na elimu yao, then wewe mwenyewe then afuatie yeye..
Kama mali zote uliweka jina la 'baba' ufikirie mara mbili..
 
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?

Binafsi nakupa LAWAMA wewe,kama unauhakika hakusaliti basi wewe ndio sababu.

Vipi usafi wako binafsi?
Usijekua unaenda kulala ukiwa na harufu mbaya ya jasho,it turns someone off kabisa.

Tafuta marashi/perfume nzuri,...ina vuta hisia,...trust me.

Usafi wako binafsi,baada ya hiko kibao kimoja nenda kakoge,toa jasho lote baya,
jipulize walau perfume (usafi kabla ya tendo la kwanza ni muhimu sana pia).

Ops,i feel bad,ongea nae tu,kama ni BONGE NYANYA mshauri muanze mazoezi.
 
this is the last statement i would expect from you.
BTW mzima mamii??

Mzima sana tu, pole na matatizo.
Kwanini hutegemei jibu kama hilo from me?
Kuna uzi wanaume wanasupportioana kuwa wameumbwa kuwa na wanawake wengi, na wakatolea mifano ya wanyama. Mimi nikawaambia mmoja tu anawashinda seuze 12, mfano hai ni huu sasa.

Hii ya kila kitu kumlaumu mwanamke inachosha sasa, wengine wamediriki kumuita mchafu sijui ananuka etc. Na sisi wanawake tunashiriki katika kuprotect ego za wanaume (something must be wrong with a woman, if a man can not hold his erection au hata kuipata tu) na kuukwepa ukweli kuwa huyo mwanaume ana matatizo.
 
asante sana ma diarest!!

unajua ndio maana mimi nimemquote Kiranga kwa kumpa facts ambazo zinaasilika kote kote. namshangaa sana hata Evelyn Salt na Speaker wanaomlaumu mwanamke wakasahau kwamba kosa la mume kuwa na uwezo mdogo ni fault ya mwanaume period. ukiangalia kwa makini zaid hata wanamke uwe msafi kama lulu, na mjuzi wa mambo kama papa bado uwezo wa kumaintain erection kwa mwanaume uko mikononi mwa mwanaume.
 
Last edited by a moderator:
unaoga ? unajipiga marshi ma nini mazagazaga?
wanaume kwa kujitetea bana siwawez. yaani hata swala la kuhold erection kwenu fault ni ya mwanamke??
vp kuhusu eating and life style yenu?? je haichangii kwenye haya maswala?? ama hapa napo mkosa ni ke??
 
Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.

Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL

Kaunga ni wewe au miwani inanidanganya
 
Toka nje kidogo, unaweza ukarudi walao na Ka_certificate kama si Degree,:confused2: :mwaaah:
 
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?

Sasa unataka sisi tufanye nini? Tafuta serengeti boys umkomoe!!

Jaribu kuolewa na baunsa kibaka ili umkumbuke mwenzi wako mtulivu
 
Back
Top Bottom