Mume wangu mvivu!

Mume wangu mvivu!


Sasa hivi mumeo anakaribia umri wa miaka 40, testosterone level inawezekana imeshuka vibaya mno. Tena mna watoto wawili, je wewe unafanya kazi? je unachangia mahitaji ya nyumbani? Je yeye anakipato gani?
Umri + mawazo ya ugumu wa maisha kichwani, hamu ya ku-do ina approach zero.

Yeye ni mhandisi na mimi ni daktari
 
Once per week si mbaya,
Ila once per quarter inabidi mnaohudumiana mshibe kwanza:becky:, ugali mhogo na migebuka

Bidada anasema akibahatika ni mara moja kwa mwezi tena ni dkk 3 at most. Kuna tatizo, na mwanaume anatakiwa aongee na mkewe ili waone jinsi ya kutatua hilo tatizo.
 
Huwa nafurahishwa na wanaosema hawaoni dalili za kusalitiwa nje ya ndoa..!

Mmmh.... Wanaume unawajua au unawasikia? Unataka akikusaliti mpaka apige tarumbeta?
Wee mwache ajipe moyo!
 
Unajua Kaunga
Mkiamua kuoana inabidi muwe 'considerate' kwenu wawili
Mie huwa sielewi ni aje mtu anamwacha mwenzia anakufa kwa njaa ya dudu

Hata kama mme hana nguvu, hivi kweli hakuna mbadala wa kumsaidia kuona japo kibo tu?
hata wanawake, the same, mbadala unakosekanaje?

Anyway, nisiseme sana, lakini ukubwa dawa jamani
Mahusiano kama hayana uchoyo ni matamu sana

Inaboa pale mtu hawezi sakrifaisi hata time yake tu kwa ajili ya mwenzie, full uchoyo uchoyo tu.

Hapa pana tatizo kubwa sana!

Bidada anasema akibahatika ni mara moja kwa mwezi tena ni dkk 3 at most. Kuna tatizo, na mwanaume anatakiwa aongee na mkewe ili waone jinsi ya kutatua hilo tatizo.
 
Hali hii ilianza muda mfupi tu baada ya kufunga ndoa,kwa kweli nimejaribu kila ninaloliweza lakini hali haibadiliki.ninahisi uvumilivu umeanza kupungua ndio maana ninaomba ushauri wa ziada.

Du! mi nilidhani hali ilianza baada ya mafoleni ya magari kuanza!!!!!!!!!
 
Upande wangu kama mwanaume, vitu ambavyo vinafanya mtu (mwanaume) asitamani kupiga mechi muda mrefu ni pamoja na usafi wa chumba, usafi wako wewe mwanamke, usafi wa mahali pa mechi (kitanda na mashuka yake), n.k pia ushirikiano wakati wa mechi si kuwachia yeye tu ahangaike. Inabidi mhangaike wote kutafuta mipira ma kupig amgori. Chunguza hili pia.
 
Yeye ni mhandisi na mimi ni daktari

Atakua anafikiria sana asee, si unajua tena 'thoughts' zinavyomaliza nguvu, tena engineer hataki kuangusha majengo ya watu. . .kweli hapo naweza sema pia nature of work inachangia. . .ndo maana wanashauri watu mue mnaolewa ku-mix up busy proffessions tofaut. . .imagine hizi couples
#engineer na doctor
#auditor na advocate
#engineer na lawyer
Do these guys even get time to think bout sex? i know they do lakini nature of work bana...BTW thats my view. . .
 
Dada usipofanya maombi ya nguvu hayo ni madogo! Natamani tujue jinsi shetani anavyo vuruga mambo matakatifu kama ndoa!

Dada kama ni mkristo asimame na maombi. Ndoa zinaharibiwa sana na shetani kwa namna ambayo hata wanandoa ni ngumu kung'amua!
 
Hayo ndiyo malipo yakuanza kujamiiana kabla ya ndoa, ona sasa mmechokana tayari..

wewe hujawahi kujamiiana nje ya ndoa?acha kutoa lawama zisizo na msingi wowote,mpe mtu ushauri wa kumjenga zaidi kuliko kumbomoa,kama huna la kushauri kaa kimya kama wenzio.
 
Yeye ni mhandisi na mimi ni daktari

dah!!! nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje wew uwe daktari halafu tatizo kama hili unakosa ufumbuzi nalo.

ningekuwa mm ningempa dawa za kuongeza libido kwisha habari yake. hivi kwani ukimchoma adrenaline haitaenda chini?? khaaa! ...................siwez kufa kisa dudu la kuvizia. changamka Dr usije ukaishia kujitia vidole.
 
asante sana ma diarest!!

unajua ndio maana mimi nimemquote Kiranga kwa kumpa facts ambazo zinaasilika kote kote. namshangaa sana hata Evelyn Salt na Speaker wanaomlaumu mwanamke wakasahau kwamba kosa la mume kuwa na uwezo mdogo ni fault ya mwanaume period. ukiangalia kwa makini zaid hata wanamke uwe msafi kama lulu, na mjuzi wa mambo kama papa bado uwezo wa kumaintain erection kwa mwanaume uko mikononi mwa mwanaume.

Ovu kozi ni juu ya mwanaume ku-erect,lakini hau-erect hovyo hovyo tu,
utakua na matatizo.

Ndio maana una ji-control,there has to be something which makes you erect
sio kwakua umeona tu kichaka unabanwa haja,hao wa aina hiyo ni wabakaji wa hata
wazazi wao.

Tengeneza mazingira ya mwezi wako kusimama,kama umetengeneza na akashindwa basi hilo
ni tatizo lake,sio udhani uki shusha nguo tu inatosha kum-stua jamaa,....NO WAY.
 
Last edited by a moderator:
dah!!! nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje wew uwe daktari halafu tatizo kama hili unakosa ufumbuzi nalo.

ningekuwa mm ningempa dawa za kuongeza libido kwisha habari yake. hivi kwani ukimchoma adrenaline haitaenda chini?? khaaa! ...................siwez kufa kisa dudu la kuvizia. changamka Dr usije ukaishia kujitia vidole.

He he he he,umeona sasa?
matatizo yote ni yeye huyo mdada.
 
Huwa nafurahishwa na wanaosema hawaoni dalili za kusalitiwa nje ya ndoa..!

Mmmh.... Wanaume unawajua au unawasikia? Unataka akikusaliti mpaka apige tarumbeta?
nimecheka sana leo kuliko kawaida jameni...apige tarumbeta!?.....hii kali ya kuanzia mwaka kwa kweli...
 
Vyakula anavyokula vinachangia sana..Vyakula vya Kisasa si vizuri..Jaribu kutafuta wataalamu watakuelekeza viziru Vyakula vya kutumia..
 
Back
Top Bottom