:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
:becky::becky:hubby si mambo hayo....toa ushauri nasaha
:mimba::mimba::behindsofa::behindsofa::confused2::confused2::confused2:Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
:closed_2::closed_2::closed_2:Hivi kwa nini watu wanafikiri kwamba baada ya kuoana, mtakaa miaka na miaka, kila siku mnalala kitanda kimoja, watu wawili wale wale halafu sex life itakuwa ile ile tu?
Kama umeamua kuingia katika ndoa inabidi ukubali kweli fulani za maisha ya ndoa.
Mojawapo ni hii, ya kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa moto wa tendo la ndoa kupungua.
Watu wanakuwa wakubwa zaidi, kazi zinazidi, majukumu yanazidi, watoto wanaingilia, familia, harufu za maziwa waliocheua watoto, mara mke kapoteza shepu kwa kuzaa, mara baba libido imeshuka kapata kitambi na kashaanza kupata majani meupe mpaka kwenye bustani ya katikati etc etc.
Utategemeaje rigwaride libaki lile lile?
You are just setting yourself up for disappointment.
Kwani mapenzi lazima kila siku kugegedana? Kiutu uzima hairuhusiwi?
tafta dogo dogo kama mm upate mapenzi motomoto yasiyochosha kama vp ni PM nikusaidie tatzo lakoHabari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
Kuna mwalimu wangu mmoja wa GS, very sarcastic fella but he drives his points home that way, he used to dissect the population issue in Africa as a poverty issue.
Jamaa anakwambia, watu masikini hawana viburudisho vingi. Hawana umeme, hawana TV, hawana muda wa kusoma wala vitabu.
Basi ikifika usiku ni "kugegedana tu".
Sasa naona hata kizazi hiki kinachokimbia abject poverty polepole bado kinabaki na mentality zile zile za "kugegedana kama dawa ya ugonjwa wa matatizo, ikiwezekana mara 3 kwa siku, bila maji, shake well too".
Halafu wenyewe tunajisifia, waafrika marijali.Kumbe matatizo matupu!
Wenzetu wakichokana wanapeana likizo ya separate vacations, baba anaenda St. Barts mama anaenda Paris.
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
Hivi kwa nini watu wanafikiri kwamba baada ya kuoana, mtakaa miaka na miaka, kila siku mnalala kitanda kimoja, watu wawili wale wale halafu sex life itakuwa ile ile tu?
Kama umeamua kuingia katika ndoa inabidi ukubali kweli fulani za maisha ya ndoa.
Mojawapo ni hii, ya kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa moto wa tendo la ndoa kupungua.
Watu wanakuwa wakubwa zaidi, kazi zinazidi, majukumu yanazidi, watoto wanaingilia, familia, harufu za maziwa waliocheua watoto, mara mke kapoteza shepu kwa kuzaa, mara baba libido imeshuka kapata kitambi na kashaanza kupata majani meupe mpaka kwenye bustani ya katikati etc etc.
Utategemeaje rigwaride libaki lile lile?
You are just setting yourself up for disappointment.
Kwani mapenzi lazima kila siku kugegedana? Kiutu uzima hairuhusiwi?
Upunguze kuvaa mavitenge ovyo.....mtege kidogo,vile ulivyokua unafanya wakati wa uchumba,uendelee navyo....na usishangae huyo mumeo akienda game za mchangani anapiga goli nne tena hachoki.....!!!!
this is the last statement i would expect from you.Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.
Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL