Mume wangu mvivu!

Mume wangu mvivu!

Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.

Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
kuna muda huwa najiuliza hicho kilemba kimebeba nini humo!ahahahahhaaha Kaungaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanipa raha sana mpenzi wangu!lol
ngoja nikuitie The Boss ajionee uluivyo genius
unataka kusema foursm tutapiga na dildo nalo!ahahahhaha cmpetitor muhimu asije akawa mvivu bure!
 
Last edited by a moderator:
Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.

Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
Hiyo itakuwa dharau ya hali ya juu. Au unataka mtoto wa watu aachike?
 
jaribu kuvumilia, kifupi mapenzi/ngono yanachosha.. Kuridhika ni saikojojia ya mhusika. Unaweza kwenda raundi moja ukaridhika kuliko alieenda raundi tatu..cha mhimu ni kujenga saikolojia kwamba raundi moja inatosha utaridhika.!
 
Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.

Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
Hiyo itakuwa dharau ya hali ya juu. Au unataka mtoto wa watu aachike ili wote muwe ma-single girl?
 
Lakini kwa nini mtu ulete tatizo kama hili sehemu kama hii?

Is that appropriate?
 
Kama unaweza kupata Emmanuel Tv uwe unatazama unaweza kujifunza mambo mengi yanayohusiana na matatizo ya ndoa wakati wa maombezi kutoka kwa wake au waume.
 
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?

Yafuatayo yakifanywa na mwanamke, huwa yanshusha sana hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume,
1. Kila akichelewa basi alikuwa kwa wanawake,
2. Wanawake wengine huwa wanakera, yaani utamsikia huku usinishike, pale usiguse, ukimdenda tu anafuta mdomo muda huo huo.
3. Leo sitaki bila ahata sababu hata isiyo ya msingi
4. Etc etc
 
Jaribu kuongea nae ili ujue tatizo kuliko kukaa kimya!
 
jaribu pia kumchunguza vizuri labda anafanya musterbation ndio maana hamu ya tendo la ndoa inakuwa haipo.
 
Hiyo itakuwa dharau ya hali ya juu. Au unataka mtoto wa watu aachike ili wote muwe ma-single girl?

Amemwambia anajifanya haelewi hiyo ndio njia iliyobaki, actions speak louder than words.
 
Hahahaha, kilemba kimeficha upuuzi hicho!
Mimi nilikuwa nikitaka kumchelewesha mtu kazini basi nachukua kikopo cha deo nakisogeza karibu, jamaa inabidi avue suit huku Dreva anamsubiri nje!
being nuts sometimes helps! LOL
kuna muda huwa najiuliza hicho kilemba kimebeba nini humo!ahahahahhaaha Kaungaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanipa raha sana mpenzi wangu!lol
ngoja nikuitie The Boss ajionee uluivyo genius
unataka kusema foursm tutapiga na dildo nalo!ahahahhaha cmpetitor muhimu asije akawa mvivu bure!
 
Mh! Kazi ipo!

Jitahidi kujiboresha boresha na kujirepea!

Kuna dada hivo hivo alikuwa ananisimulia mumewe hamgusi mwezi wa 6 huu na hakuna sababu! Nikamwambia anza maombi! Kutupiwa virago haviko mbali!

Kuolewa Mtihani Kutokuolewa Nuksi! Kuachika Mkosi! Sijui mtu afanyaje!!!!
 
Wanawake mkisha zaa mnajisahau sana kunako mapenzi hapo utashangaa kei inatema harufu, style ndo hataki tena yeye kifo cha mende tu ubunifu wa kuzungusha nyonga ndo unapotea kabisa.
 
kwa kweli wanawake tunajiahaugi sana..ukisha zaa attention yote inaamia kwa mtoto unajisahau ye mwenyewe unamsahau na mumeo...chamsingi ni jaribu kubadiliaka....jaribu kua unafanya vile vitu mlivyokua mnafanya b4 ndoa
 
mambo haya yanatokea wakati mwingine wala usihisi vibaya,sasa ni hivi kuwa nae karibu kuliko mwanzo, wanaume wana mambo mengi sana vichwani! na jitahidi sana kuonyesha wewe ni muhitaji sana wa tendo na kwa mitego ya hapa na pale! mida ya jioni penda kumfanyia vitu anavyo vipenda sana!penda kama kumshauli konyesha kuwa haya ni maisha tu na asiwe ni mtu wa kufilia sana kuhusu maisha haya hata kama mambo yatakwenda kombo! kwa ujumla fanya vitu vidogovidogo ambavyo vitamfanya aondoe msongo wa mawazo!
 
Back
Top Bottom