Kaunga ni wewe au miwani inanidanganya
Hali hii ilianza muda mfupi tu baada ya kufunga ndoa,kwa kweli nimejaribu kila ninaloliweza lakini hali haibadiliki.ninahisi uvumilivu umeanza kupungua ndio maana ninaomba ushauri wa ziada.
Ni mimi Tamatheo, usisingizie miwani.
Wewe unafikiri afanyeje? Maana kama gym ameenda, sexy lingerie anavaa, kuongea na mumewe kaongea na jibu analopewa ni "hakuna tatizo", atafute kidumu? Kitu ambacho siwezi mshauri.
Au nawe unafikiri ni kosa la mdada????
Nashukuru kama ni wewe, ila tumshauri amhamsishe mwenzie ili wawaone wataalamu wa afya kwani kuna wanaume wengi wana matatizo kama hayo na wengi huishia kudanganywa na wezi walioandika mabango kila kona ya TZ, huku wakitoa suluhisho la muda mfupi kisha hali inakuwa mbaya kuliko mwanzo. Kabla ya kwenda kwa hawa wataalam amchunguze mumewe bila kumwambia ili kujua kwa nini hali imekuwa hivi na kamwe asimlaumu kwani akifanya hivyo atamwongezea msongo wa mawazo na kuzima taa kabisa. "ILa wanaume na sisi tutoe ushirikiano kwa wake zetu hasa tunapopata malalamiko kama haya, tuache kuona aibu kwani aibu kubwa ni pale mke atakapochoka porojo za kila siku"
Inawezekana ni mchanganyiko wa vitu vingi ikiwemo imbalance ya sex drive kati yako (miaka 30) na mumeo (miaka 38)....Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
Kiranga nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana ila sasa twende kwenye biological facts, mwanamke anapokuwa kwenye fertile age ndio huwa na ashki zaid kuliko anapokuwa ameshapita umri huo. kwa umri wa bidada ni umri ambao angependa hata kuguswa kila siku ili ajiskie mwanamke kamili. hii inatoka na hormones ambazo kwa wakati huu level yake iko juu zaid plus levels za electrolytes mwilini.
haya tatizo linakuja kwamba while side A is growing upward side B ambayo ni limiting factors na yenyewe grows proportionally matokeo yake ni kwamba NEWTONS FIRST LAW OF MOTION ina apply hapa.
kwenye nini cha kufanya ndio ishu, manake ni subject ya 2 individuals having 2 different approaches with different complications sasa hapa ndipo panapokuwa pagumu.
to me ningemshauri bi dada atulie kwanza ajue kwa mwanaume life starts at 40's so akifika hapa atajikuta hubby wake anarudi kutaka mechi ingawa sasa yeye ke grafu yake inaanza kudrop exponentially.
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
Ni Kuacha maneno yanayokera tu... Si kila kukicha natafuta mwanaume mwingine maana wewe huwezi kazi... NDO NINI?Mh! Kazi ipo!
Jitahidi kujiboresha boresha na kujirepea!
Kuna dada hivo hivo alikuwa ananisimulia mumewe hamgusi mwezi wa 6 huu na hakuna sababu! Nikamwambia anza maombi! Kutupiwa virago haviko mbali!
Kuolewa Mtihani Kutokuolewa Nuksi! Kuachika Mkosi! Sijui mtu afanyaje!!!!
Mzima sana tu, pole na matatizo.
Kwanini hutegemei jibu kama hilo from me?
Kuna uzi wanaume wanasupportioana kuwa wameumbwa kuwa na wanawake wengi, na wakatolea mifano ya wanyama. Mimi nikawaambia mmoja tu anawashinda seuze 12, mfano hai ni huu sasa.
Hii ya kila kitu kumlaumu mwanamke inachosha sasa, wengine wamediriki kumuita mchafu sijui ananuka etc. Na sisi wanawake tunashiriki katika kuprotect ego za wanaume (something must be wrong with a woman, if a man can not hold his erection au hata kuipata tu) na kuukwepa ukweli kuwa huyo mwanaume ana matatizo.
Sasa wewe hapa kwenye blue text unaonekana kama unalipiza 'kisasi' kwa wanaume waliokukera kwenye thread nyingine.
Hapa huyu dada genuinely anaomba msaada kwa matatizo aliyonayo.
Mshaurini na mpeni msaada mnaoweza ili aondokane na matatizo aliyonayo.
Mkimshauri kwa hasira ili kuwakomoa wanaume, mnaweza kumharibia kabisa.
Jaribu kuolewa na baunsa kibaka ili umkumbuke mwenzi wako mtulivu
I was just trying to make a point, you are right!
lakini baadaye nilimcouncil kwa kumuambia unlike watu wengi wanavyosema; it is NOT HER FAULT na kumshauri kuwa kwa kuwa amefanya every thing HUMANLY POSSIBLE basi apige magoti na kuomba devine intervention au nikiazima maneno ya mtu wa Mungu T.B Joshua "If you run out of rope, then it is time to grab onto FAITH"
Hahahaha, kilemba kimeficha upuuzi hicho!
Mimi nilikuwa nikitaka kumchelewesha mtu kazini basi nachukua kikopo cha deo nakisogeza karibu, jamaa inabidi avue suit huku Dreva anamsubiri nje!
being nuts sometimes helps! LOL
heheheheheeeeeee hahahahahaaaaa uuuwiiiiiiii Kaungaaaaa looooh yaani nimecheka hadi basi maana umenikuna kumoyo hahahahahahahahahahaaaaaaaaa. Chezeiya wivu wa mapenz yaani hadi kopo la deodorant linaonewa wivu na siku hiyo kama huendi kazini basi atashinda kutwa anakupigia simu vp ili tuu aangalie usijekuwa unataka tena na ukakimbialia kwa mpemba muuza duka. Thanks Kaunga umenikumbusha enzi heheheehehheeeee.
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
Ila jamani, yale makitu daily yanachosha
Once in a while hapo sawa
Hiyo once in a while ndio quartery? Tena kwa dakika 2:59?