Mume wangu mvivu!

Mume wangu mvivu!

Ni rahisi sana kuweka hili la uaminifu mbele, kwani ndilo lafikirika ktk kichwa cha binadamu zaidi. Wasiwasi wangu ni kuwa kama tatizo halitokani na kuto kua muaminifu je akiomba na kufunga Mungu atasikia kweli? Maana muombaji atakuwa anatumia wrong platform. Binafsi kama mwanaume nimewai pata tatizo hili na liligharimu mahusiano yangu, niliitwa mwongo tu na kila lugha iliyofanana na tatizo langu. Kama si viumbe waliojaliwa hekima kutoa msaada kindambajuu nisingelikuwa naandika hapa sasa.inauma sana kuitwa malaya wakati huo umalaya huwez kuufanya. Tuwe makini tuwasikilize wenzi wetu wakiwa na matatizo. Kuwahukumu kwenye njia ya uaminifu tu si sahihi. Naamini kitu ambacho kinamchanganya sana mwanaume ktk mahusiano ni yeye kushindwa kuonyesha uanaume wake. Ndo maana hawa watu wanao uza 'to increase power of men ' hawakosi wafuasi
 
Hayo ndiyo malipo yakuanza kujamiiana kabla ya ndoa, ona sasa mmechokana tayari..
 
mwanamke akishaolewa ndo kamaliza no romantic issue ukkijifanya unaleta mambo ya romance utasikia eti sisi si watoto au anakuambia nenda kafanyie vimada wako. siishi kushangaa kwa kweli

Ukiambiwa hivo uje kwangu mwaya....... :becky:
kuna bidada mmoja yeye anapika ugali sa saba mme anakuja kula sa kumi na mbili jioni, japo hayanihuu!
ila nashangaa kwanini asipike ugali wa mme wake muda anaotoka kazini tena ugali wa mtu mmoja???
baba wa watu analishwa ugali ushakuwa na koti juu akipata nyumba ndogo kulia lia ooh mme wangu muhuni!!!
 
Anavaa suti ya kuzaliwa licha ya vidress vya mitego. Mume mchovu au malaya full stop. Si kosa la mkewe wala nini; bidada, piga magoti kwa Mungu huenda akanrudishia nguvu za kiume kama devil ameikwapua ili kuharibu ndoa yako, hata kama anamwaga nje basi Mungu amuoneshe uovu wake na arudi kundini!
Mie kwa mtizamo wangu kuna tatizo mahali hasa kwako wewe mke wake kuna kitu hujafanya au umefanya cha kumpoteza stimu, kumbuka love/mapenzi huanzia akilini na enadepo akili iko offside utashangaa hata kama mlingoti ulikuwa umesimama utalala doroooo, do something to you love partner be with you in bb, Ie in body and brain.
 
Kwa kiasi kikubwa wanawake tuko responsible kwa hili tena sana sana walioolewa!!!!
mwanamke akishaolewa anajisahau sana, unaishi na mume kwa mazoea......
Mkuu E-SALT nimeipenda hoja yako dada, naomba tupe raha kwa kufunguka zaidi usaidie wake zetu wanajisahau sana mpaka tunawazoea.
 
Hayo ndiyo malipo yakuanza kujamiiana kabla ya ndoa, ona sasa mmechokana tayari..

Haina uhusiano!!!!!!!!
kuna shostito wangu aliacha shule form two, akaolewa na bikra yake lakini ndoa haikumaliza mwaka kaachika!
 
Mkuu E-SALT nimeipenda hoja yako dada, naomba tupe raha kwa kufunguka zaidi usaidie wake zetu wanajisahau sana mpaka tunawazoea.

wakati bado ni gf mwanamke anajijali sana mapoda, mawanja, mapafyumu, unakuwa smart muda wote....
ukiolewa madira, mavitenge yani unajiweka kibibi bibi hata kama una age ndogo, kumjali mwanaume wake ndo basi tena (japo anaweza kuwa na majukumu) ila kumsahau mwanaume sio ishu pia....in short ni mambo mengi tu!!!!
 
Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.

Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
Wewe ukishauriwa hivyo utajisikiaje...
 
wakati bado ni gf mwanamke anajijali sana mapoda, mawanja, mapafyumu, unakuwa smart muda wote....
ukiolewa madira, mavitenge yani unajiweka kibibi bibi hata kama una age ndogo, kumjali mwanaume wake ndo basi tena (japo anaweza kuwa na majukumu) ila kumsahau mwanaume sio ishu pia....in short ni mambo mengi tu!!!!
Ahsante dada umemaliza. Ongeza na hii, ikitokea amejifungua mtoto basi mapenzi yote yanahamia kwa mtoto na kumsahau baba yake. Baba akirudi mama ananukia maziwa ya mtoto na jasho, nepi zinatoa harufu ya haja za mtoto, sasa hapo hamu ya kusulubu "K" itatoka wapi.
 
asante sana ma diarest!!

unajua ndio maana mimi nimemquote Kiranga kwa kumpa facts ambazo zinaasilika kote kote. namshangaa sana hata Evelyn Salt na Speaker wanaomlaumu mwanamke wakasahau kwamba kosa la mume kuwa na uwezo mdogo ni fault ya mwanaume period. ukiangalia kwa makini zaid hata wanamke uwe msafi kama lulu, na mjuzi wa mambo kama papa bado uwezo wa kumaintain erection kwa mwanaume uko mikononi mwa mwanaume.

Madame nimeongea kwa upande wa mwanake tu, pia mwanaume nae ana yake.....
huenda kuna mambo yanamturn off hata akikaa naked mnara haushiki network!!!!
 
Kiranga nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana ila sasa twende kwenye biological facts, mwanamke anapokuwa kwenye fertile age ndio huwa na ashki zaid kuliko anapokuwa ameshapita umri huo. kwa umri wa bidada ni umri ambao angependa hata kuguswa kila siku ili ajiskie mwanamke kamili. hii inatoka na hormones ambazo kwa wakati huu level yake iko juu zaid plus levels za electrolytes mwilini.

haya tatizo linakuja kwamba while side A is growing upward side B ambayo ni limiting factors na yenyewe grows proportionally matokeo yake ni kwamba NEWTONS FIRST LAW OF MOTION ina apply hapa.

kwenye nini cha kufanya ndio ishu, manake ni subject ya 2 individuals having 2 different approaches with different complications sasa hapa ndipo panapokuwa pagumu.

to me ningemshauri bi dada atulie kwanza ajue kwa mwanaume life starts at 40's so akifika hapa atajikuta hubby wake anarudi kutaka mechi ingawa sasa yeye ke grafu yake inaanza kudrop exponentially.

Yaani unavyo comment tu mie full erection dah utanmaliza mie.....................................!:becky:
 
Yaani unavyo comment tu mie full erection dah utanmaliza mie.....................................!:becky:

angalia usije chafua suruali ukatia aibu. sipati picha janaba lako mwenyewe lol!
 
Madame nimeongea kwa upande wa mwanake tu, pia mwanaume nae ana yake.....
huenda kuna mambo yanamturn off hata akikaa naked mnara haushiki network!!!!
nafkiri tulipaswa kuwa two sided manake binti kajielezea yeye na jitihada zake ambae zo mm nimeamini ni za kweli kabisa lkn sikutaka kuona mumewe ndie mkosa bali nilionesha jinsi wote wanavyosababisha haya.

kiukweli wanaume wako responsible kwa kumaintain erection yao na sio sisi wanawake.
 
mkuu anzakuwa unafanya mambo za mitego na bila kusahau pini kwenye rasta zako jitahidi kuwa mbunifu zaidi aaah ukizidiwa come kwa my side i will show you something..
 
Mumeo anafanya kazi kupita kiasi, nawewe humsaidii unategemea akirudi atakuwana hamu ya kufanya tendo la ndoa? Jaribu kumfanya akifika home asahau yote ya kazini na afurahie maisha. Siyo kila siku au kila wakati yeye ni pesa, napesa na yeye. Kunatokea sana wakati mwanaume anapokuwa anataka kutoka/kufanikiwa na hapati msaada wa mwanandani wake au pengine yeye mwenyewe hakuelezi kuwa hapa na hapa anashindwa anaomba amsaidie.
Fanya kujitutumua, msaidie mumeo hata kumpa ushauri au kumsaidia baadhi ya mjukumu ili naye apumuwe. Naimani wewe ndo mwenye kumfanya ajisikie/arudi katika hali yake ya kawaida na mtafurahia maisha yenu. Usibweteke tu nyumbani ukisubiri mumeo arudi. Nenda hata ofisini kwake, msaidie kwa kumshauri/kumtia moyo pale mambo yasipoenda sivyo. Punguza pia presha ya kutaka vitu bila kujua mumeo anazipataje hizo hela. Hili la stress nauhakika nalo kwani lilishanikuta kipindi fulani.
 
angalia usije chafua suruali ukatia aibu. sipati picha janaba lako mwenyewe lol!

Nimevaa pampaz bhana kitu ndani kwa ndani tena nshaharibu saa mingi.............!:biggrin1:

Ngoja nkajiswafi bhana................!:smow:
 
nafkiri tulipaswa kuwa two sided manake binti kajielezea yeye na jitihada zake ambae zo mm nimeamini ni za kweli kabisa lkn sikutaka kuona mumewe ndie mkosa bali nilionesha jinsi wote wanavyosababisha haya.

kiukweli wanaume wako responsible kwa kumaintain erection yao na sio sisi wanawake.

Kuna kitu kinahuu madame....
ngoja nizame kwa pm isije ikaleta pic mbaya!!!!
 
nafkiri tulipaswa kuwa two sided manake binti kajielezea yeye na jitihada zake ambae zo mm nimeamini ni za kweli kabisa lkn sikutaka kuona mumewe ndie mkosa bali nilionesha jinsi wote wanavyosababisha haya.

kiukweli wanaume wako responsible kwa kumaintain erection yao na sio sisi wanawake.
No, no no no mkuu, you are also a part of the game, you must know my situation! imagine niko very busy/stressed and you wanna have some rounds, unategemea nitaenda mbali if you don't make me forget the stressful staffs? Au if someone calls you through your mobile? Hapo kila upande unawajibika kuhakikisha unaandaa mazingira bora ya kujinafasi na pengine kwa kuwa wawazi. Mfano: kama kuna kitu naona kiko sivyo, nasijasema kitu lazima kuna some decrease in effectiveness.
 
Back
Top Bottom