Mume wangu mvivu!

Mume wangu mvivu!

WW Kaunga ACHA KUMFUNDISHA MWENZAKO USHETANI , NAHISI UTAKUWA NI MSAGAJI AU MSAGWAJI WW...SHETANI MKUBWA HAYO NDIO MAFUNDISHO GANI?
Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.

Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
 
wewe hujawahi kujamiiana nje ya ndoa?acha kutoa lawama zisizo na msingi wowote,mpe mtu ushauri wa kumjenga zaidi kuliko kumbomoa,kama huna la kushauri kaa kimya kama wenzio.
Tatizo lako ni lile lile linalosumbua wengi kama wewe, mnapenda kufanya makosa halafu mkiambiwa ukweli mnatoa mapovu midomoni, unataka usiambiwe ukweli wakati umeharibu! Unaponiuliza kama sijawahi kujamiiana nje ya ndoa huo ndiyo mchango wako? Jichunguze mwenyewe tena halafu utajua nani anapaswa kukaa kimya...
 
Back
Top Bottom