babu umesoma sentensi yangu ya mwisho!
nikuletee nimwani nini?
mi nna wivu mpka na jiwe analojikwaa nalo mume wangu lolz!
ume
Hakuna dhambi kabla ya dhambi, sijasikia dhambi inandikwa kabla ya dhambi kufanyika.
Afu we unatanguliza maiti si lazima utakuwa maiti tu wewe, si tunaongelea kitu kama unataka kukifanya we hujakifanya ...we umekimbilia maiti na kusema sijui kama umefika bank ukawacha kukifanya inaitwa toba na hayo si kweli.
Maiti haimfiki mtu kabla ya siku alio andikiwa na Mungu, na kama Mungu alijalia wewe kufa...atakuwa anajua nia yako ilikuwa vipi kabla ya kufika bank, au ungefanya nini bada ya kufika bank kwenye hazina ya bank, hakuna siri kwa Mungu anajua vilio nyuma na vilio mbele .
Hivi Toba unaijua wewe, vipi mtu afanye toba kabla ya kufanya kile kitu, we kweli kichaa na bora nikuwache na ukichaa wako, mana napoteza mda kumfahamisha mtu asiye fahamu.
Nimeleta Quote za Quran umezua nazibadilsiha, sa unasema nazi tafsiri navyo taka mimi...na hadith ya Prophet Muhammad kuhusu zina pia nimebadilisha au nimetafsiri navyo taka mimi hahaha:biggrin:
We huna jipya zaidi ya matusi nimeisha kupa point za Quran na Sunna zote zinakubaliana na maneno yangu, nadhani we ndo unatakiwa ukajifunze kizungu...Yeah kizungu sio lugha yangu lakini si mjinga kama wewe sifahamu kila kilicho andikwa:biggrin:
hahahahahahahahahhahah mzima lkn mwali???
Kosa liko wapi kwenye hio Surah sijaona kosa, walio kuwa wafata dini hawawezi kupotea:biggrin:Qur'an sura ya 85:10 inasomeka hivi, Surely those who persecute the believing men and the believing women, then do not repent, they shall have the chastisement of hell, and they shall have the chastisement of burning; sioni ngonjera zako ulizoweka kuhalalisha utongozwaji. Una quote toka tope la ubongo wako halafu unasema umeleta andiko haikosi unakaribia kuokota makopo
Kosa liko wapi kwenye hio Surah sijaona kosa, walio kuwa wafata dini hawawezi kupotea:biggrin:
Sa Yule mwanamke unamuweka katika kundi gani wewe :biggrin:
Nikikuambai we kichaa unabisha, Nimesema kila Quote ya Quran nimeweka hapo ina mana yake, wenye akili mbona walisha jua nakusudia nini, isipokuwa vichaa kama wewe ndo wanamuweka mwanamke kama yule ka ni mchaa Mungu:biggrin:
Tunacho bishana mimi na wewe ni hivi, Kutongozwa sio dhambi hata Prophet Muhammed kasema kuna zina ya kutamani, na hakuna mtu atakae epukana nayo, ndo mana haina dhambi...Sa yule mwanamke anatamania kutongozwa kosa liko wapi, si katamani tu hajafanya kitendo bado kibaya cha kufanya sex, na ile Quote ya Qur'an kama nimfata dini hawezi kupotea ndo mana nimeiweka, lakini kufanya dhambi au kutokufanya dhambi inategema na kila mtu, hata wasio na dini wanaweza kufanya dhambi na wasifanye dhambi:A S shade:
Ciao bella bora nibaki naukichaa wangu, kuliko kushindana na kichaa kuliko mimi:biggrin1:
Sura kama chapati ya kichina nani atongoze?
Kaunga sasa mke wa mtu utongozwe ili ukafanywe nini?
Tena naomba mnitafutie huyo mganga mwenye uwezo wa kumfanya mke wangu akipita kwenye midume yenye uchu aonekane kama Baunsa wa kwenye ukumbi wa disco
ni poa rafikiNi aje!?
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
You are only a fluke! umeleta aya kusapport arguments za dhambi ambayo haitaji kabisa neno hilo na kuona aliyeishusha ni mjinga ukaifoji na kuweka sentensi inayoongelea dhambi sasa si ungekuwa zoba kuendelea kubishania kitu ambacho hakipo. Mimi sina akili kuliko hayo maandiko sijaweka akili zangu humu kama wewe ndio mana unashindwa kunihukumu na kuona ujinga wangu lakini wewe umeziweka za kwako humu ndio mana tunazihukumu. Kwa taarifa yako kila aya imeshushwa kwa kisa maalumu kilichokuwa kinaendelea chini ya mbingu wakati huo na projection ya siku za mbeleni hivyo wewe kumwaga mwaga aya ovyo bila relevance haijibu hoja. Una tatizo na maandiko jipinde upya uyasome fresh ndio urudi tena humu mambo ya ujanja ujanja yatakuadhiri bure nu yangu.salimkabora , I'm not going to argue with you because no matter what I say, your response will be, You're stupid...Haya we ndo mwenye akili baki na akili zako, lakini usisahau kama navyo sema hapo chini!
The truth cannot change, and we know from the Qur'an as to what the truth is:biggrin:
My last point; can we actually see or feel the real intentions behind peoples actions:nono:
"O you who believe! avoid most of suspicion (against others), for surely suspicion in some cases is sin; and do not spy (into other people's affairs), nor let some of you backbite others." (49:12)
Can u Imagine kashfa kama hii?!!Una utani na Kongosho weye, you mean hadi kongosho alienda kumtarai?
MMh, mwanamme akivaa shanga lazima alie Yallah akiona vidoleKuna Mwanaume Mmoja alitongoza demu siku ya kula mzigo jamaa alivaa Shanga demu alioondoka akaenda kuadithia wenzake kuwa yule mwanaume anavaa Shanga basi sifa zikavuma mji mzima na wanawake wakawa wanataka kushuhudia Shanga basi jamaa akawa anawala mmoja baada ya mwingine akahadithie wenzake.... Hata Kongosho anafahamu hili