Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Kulamba Joker raha sana

Tatizo ni pale Karasa linakuwa limejifungia kwenye Joker, utajuta

Umeamua kunitamanisha Paw?
Hebu nitafutie Kaka shemeji, nimemmiss ujue?

Mie umbea nilifundishwa na Kongosho na babangu mzazi Mtambuzi! Unasali kanisa gani lisilotoka manake hata kwa kakobe tushatoka. Njoo basi.
Mie Paw hata akitaka nimuamkie shkamoo naamkia tu, kwani sh ngapi? Nimelamba dume so far, hata likigeuka joker aah nshakula share yangu. Ukizingatia alinitoa kijijini, sagamba hadi kwenye goti! Mweeh, Mungu yupo aisee.
 
Mh!!!!!!!!! Dada tafadhali sana unatuvunjia heshima na sisi tulioolewa tunaonekana hatujatulia ss wanawake,inaonyesha uliolewa kwa ajili ya kitu fulani na si mapenzi ya dhati toka moyoni,ila kama humtaki tena mueleze wazi mumeo hana jipya na anza kujipitisha kwa hao unaotaka wakutongoze,ushauri wa bure mwanamke mwenzangu tulia na mumeo acha hao viruka njia watakupotezea heshima yako na pili kuna maradhi kuwa na mpenzi mmoja.
 
Jamani mbona mnauliza majibu na nyie, anataka atongonzwe ili ajipime kama bado analipa.
mwanamke kutongozwa muhimu jamani, sio lazima uwakubali wanao kutongoza, lakini ukitongozwa inajengea confidence ya aina fulani.

Mtu kashaolewa, anataka kutongozwa ili iweje?
 
Avae kanga moja tuu...then akatize mitaa ya kariakoo...si kutongozwa tu,atabakwa pia.....:shut-mouth:
 
kimsingi we si ni shemeji yangu kwa ZD lemme reserve my comments mweeh!huu undugu sasa huu unanikosesha uhuru wa mawazo mwee!
ila la msingi mdogo wangu Zion Daughter apate ndoa!
 
Last edited by a moderator:

Nibembelezee basi shem..manake Zion Daughter hataki hata kuniona...lol..pamoja na msamaha kutoka kwa baba mchungaji Bujibuji bado holaaaa....:tape2:
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mimi kichwa maji sio sawa tu hakuna shida, kwa kuwa sikabliani na akili yako au vipi:biggrin:

Swali huyo mwanamke ni dini gani unajua?

Afu we ngojea nikamalize sasa mana unajida we mu Islam sana, haya hebu nieleze hii Surah inasema nini Verse 85:10, anyone who purposely draws a believing Muslim into temptation (any form of evil temptation) then he/she is committing a sin, and if he/she doesn't repent, then their punishment with Allah Almighty is severe.

The Arabic words fatanoo (فتنوا) is derived from the root word fitnah (فتنة), which literally means temptation, or putting someone to the test, or putting someone in a situation where your intention is to cause him/her to fail:A S shade:

Tazama neno then he/she is committing a sin Haya leta ubsishi wako sasa mana toka mwanzo nakueleza unabisha haya mkosoe Mungu hapo kama unaweza:yo:

Huyu Jamaa kila akipost kuchangia uzi wowote lazima aweke udini wake Invisible Paw Tandika huyu Mtu anaboa sana tizama Heading na vitu anavyoandika full Udini
 
Last edited by a moderator:
Kaunga sasa mke wa mtu utongozwe ili ukafanywe nini?
Tena naomba mnitafutie huyo mganga mwenye uwezo wa kumfanya mke wangu akipita kwenye midume yenye uchu aonekane kama Baunsa wa kwenye ukumbi wa disco[/QUOTE]

mbavu sina hahahahaaaaaaaaa hapo kwenye bold.
 
You are only a fluke! umeleta aya kusapport arguments za dhambi ambayo haitaji kabisa neno hilo na kuona aliyeishusha ni mjinga ukaifoji na kuweka sentensi inayoongelea dhambi sasa si ungekuwa zoba kuendelea kubishania kitu ambacho hakipo. Mimi sina akili kuliko hayo maandiko sijaweka akili zangu humu kama wewe ndio mana unashindwa kunihukumu na kuona ujinga wangu lakini wewe umeziweka za kwako humu ndio mana tunazihukumu. Kwa taarifa yako kila aya imeshushwa kwa kisa maalumu kilichokuwa kinaendelea chini ya mbingu wakati huo na projection ya siku za mbeleni hivyo wewe kumwaga mwaga aya ovyo bila relevance haijibu hoja. Una tatizo na maandiko jipinde upya uyasome fresh ndio urudi tena humu mambo ya ujanja ujanja yatakuadhiri bure nu yangu.
Wewe unaona nimekuwacha unajidai sana.

Haya wewe hebu niletee point gani ulizo leta za mana kuliko mimi, sijaona zaidi ya ujinga tu.

Nimekuwekea Quote mpaa wanawake wenye dini wakitaka kufanya upuzi wa kujitongozesha hawandikiwa dhambi na Mungu, wanapigwa warning tu wasifanye vile na hawandikiwi dhambi isipokuwa wakifanya sex, sa unaongea nini wewe pumbafu mmoja.

Unaenda nileta Quote ya Jesus inahusika nini hapa.

Wewe, kunishinda dini nikama mtu anaota.

Haya leta wapi kutongozwa dhambi?

Afu huyo mwanamke wapi kasema yeye anajitongozesha au atajitongozesha alicho sema hatongozwi sa wapi dhambi.

Yani wanawake wote wanao tongozwa kutokana na akili yako ni dhambi? na wana zini?

Kafundishe dini wajinga sio mimi:biggrin:

Tutaona mwisho wake nani atashinda, wapi mwanamke kutongozwa ni dhambi???? Kama huwezi niletea point ujuwe wewe ni mjinga tena ni kichaa kabisa.
 
Huyu Jamaa kila akipost kuchangia uzi wowote lazima aweke udini wake Invisible Paw Tandika huyu Mtu anaboa sana tizama Heading na vitu anavyoandika full Udini
We na jamaa yako hamnibabaishi, afu nani kaleta dini hapa, tuulicho ongea kutongozwa sio dhambi jamaa ndo kaleta dini.

Afu dunia bila dini inaenda wapi, isipo kuwa wajinga kama nyie ndo mnasema dunia inaenda bila dini:biggrin:

Niko busy kwa sasa lakini tamake sure kila siku naingia mpaa nione mwisho wa ujinga wenu wewe na mwenzako.
 
Huyu Jamaa kila akipost kuchangia uzi wowote lazima aweke udini wake Invisible Paw Tandika huyu Mtu anaboa sana tizama Heading na vitu anavyoandika full Udini
Huyo ni kichaa tu anarusha makopo hata quote zenyewe zinatoka kichwani mwake hakuna hata moja iliyoko kwenye maandiko achaneni naye ndio walewale wakujilipua ukiwaambia kujilipua haipo kwenye maandiko wanakutafuta na mapanga; ukichaa uko wa aina nyingi mimi nimeshaachana naye anaibuka tu kuongea lolote analolijua ndani ya ubongo wake mchafu kama tope la mafuriko.

:bounce:
 
Hakuna hata Quote yangu ya dini imetoka kichwani, we ndo mjinga hujui dini unajidai unajua dini.

Nilisahau ulisha jisema we ni kichaaa
Mimi sina akili kuliko hayo maandiko sijaweka akili zangu humu kama wewe ndio mana unashindwa kunihukumu na kuona ujinga wangu
...Ukiwa kichaa lazima utajikanyaga kanyaga tu:biggrin:

Nimekuambia leta point ya ubishi wako wapi kutongozwa mwanamke ni dhambi?

Ulipo jiona huna point umeanza kusema mengine...we ita unavyo taka lakini ukweli ni huo...we ni mjinga number moja katika wajinga, na si ajabu una matatizo we na wanawake, ndo mana ukawaonea wivu wakitongozwa:biggrin1:
 
Hakuna hata Quote yangu ya dini imetoka kichwani, we ndo mjinga hujui dini unajidai unajua dini.

Nilisahau ulisha jisema we ni kichaaa...Ukiwa kichaa lazima utajikanyaga kanyaga tu:biggrin:

Nimekuambia leta point ya ubishi wako wapi kutongozwa mwanamke ni dhambi?

Ulipo jiona huna point umeanza kusema mengine...we ita unavyo taka lakini ukweli ni huo...we ni mjinga number moja katika wajinga, na si ajabu una matatizo we na wanawake, ndo mana ukawaonea wivu wakitongozwa:biggrin1:

Tungeona kwanza andiko linalosema kutongoza mke wa mtu ni ruksa sio suala la kutongoza tu na hata hiyo ya kutongoza tu kwamba ni ruksa ilete. Na kama mwanamke wa mtu ni ruksa kuonyesha maungo na kujiremba ili akatongozwe na wanaume wengine manake ndo hoja ilioko mezani; umetakiwa useme pia mwanamke kuvaa kivazi cha gubigubi anapotoka maana yake nini; elewa wazimu wako kulipuka tu mawazo yako yanavyokutuma ndio kuokota makopo kwenyewe. Huwezi kuibua neno lako kutongozwa halafu utake ushahidi toka kwangu lete wewe mwenyewe andiko kusupport hiyo manake ushatupa nguo sasa unatembea uchi. Pia nimesema sura 85:10 haiongelei kabisa neno dhambi wewe ndio umejitungia aya ya namna hiyo unakanusha unasema hujatoa kichwani basi umetoa m.a.t..oni.
 
WE nona unakimbia swali, swali langu tokea mwanzo wapi kutongozwa ni dhambi awe mke wa mtu au asiwe mke wa mtu, wangapi wake za watu wametongozwa na hawakuzini unajua sababu gani? sababu wale walikuwa sio wazinifu tokea mwanzo hawazini, wanao zini ni malaya tu na waume zao ni malaya pia, sa hata akitaka kutongozwa kosa liko wapi, mana ni wazinifu tokea mwanzo.

Quran 24:3-9 The fornicator does not marry except a [female] fornicator or polytheist, and none marries her except a fornicator or a polytheist, and that has been made unlawful to the believers.

We ndo unajaribu kuyumbisha swali langu wapi kutongozwa ni dhambi na mimi ndo tokea mwanzo nacho ongelea!

Ikiwa kutongozwa mke wa mtu ni kusex kutokana na akili yako, basi wanawake wote walio olewa wameisha zini na wanaume nje ya ndoa, mana ni vigumu sana mke wa mtu asitongozwe dunia hii, labda wewe huishi dunia tunayo ishi sis.

Nacho ongelea hapa ni hivi kutongozwa mwanamke sio kwamba ka sex, sa we kama unaona kutongozwa ni kusex ni wewe tu na ujinga wako:biggrin:

Afu point ya mwisho we kama umeisha zowea kushikwa shikwa matakoni ni wewe tu, usiniletee ujinga wako hapo, ndo mana unawachukia wanawake wakitongozwa kumbe unakosa unacho kitafuta:biggrin:

Huna point ya dini ya kunionyesha wapi kutongozwa ni dhambi, kalale mbele una point za mana leta hapa tujadiliane na kumbuka kila ukija na tusi utapata tusi kutoka kwangu, ukija na adabu takujibu kwa adabu pia...afu lazima mjue mimi siogopi wajinga ndo mana sijali hata ma moderators wenu wakitaka kunifungia sijali, lazima niwatengeneze wajinga washike adabu:biggrin:
 
Kichaa atarusha nini zaidi ya mawe na wala hakuna la kustaajabia sasa kama huna andiko linalosema ni ruksa mke wa mtu kutongozwa hiyo akili yako ya mata..oni inahalalishaje jambo hilo? tena maandiko sio orodha ya kila dhambi bali misingi ile mikuu na mengine yanaingia mle automatically; unaweza kunionyesha andiko linalosema kumtemea mtu mate jichoni ni dhambi na kwa kuwa halipo basi automatically sio dhambi? Mbona sasa hujibu relevance ya maandiko kusema mke ajipambe ajili ya mume pekee? na akitoka ajivalishe gubigubi? mbona hujibu mambo ya msingi unatoa mapovu na kurusha mawe? Ya kwamba kutongoza ni dhambi imetokea mara sita katika qur'an na mara chungu tele katika maandiko mengine lakini hebu soma hapa; And women in the city said: "The wife of Al-'Aziz is seeking to seduce her (slave) young man, indeed she loves him violently; verily we see her in plain error."
( سورة يوسف , Yusuf, 12:30)
katika hilo nabii Issa a.s alitamka wazi kwamba amtazamaye mwanamke kwa kumtamani kwa hakika yake yu anazini; lakini naona umelitokea andiko lake hilo kwa kashfa nyingi na kuliona sio dini wala andiko, nikujulishe tu kwa kulijua hilo alisema tusiwape nguruwe chakula cha watoto kwa maana watakikanyagakanyaga na kisha kugeuka waturarue. Unayofanya hapa ni mararuzi tu na yalishajulikana tangu kale wazibukaji wa aina yenu mpo wala hakuna la ajabu wewe rusha mawe hata makaa ya moto rusha lakini kundi lenu si jipya chini ya mbingu na wala sitashangaa kusikia umejilipua.
 
We umeishiwa huna jipya we unajua Quote uliyo iweka hapa ilikuwa inaongelea mke wa mfalme anamtaka Nabii Yousuf kusex naye tena kwa kumlazimisha unaona kama we kichaa hujui Quran:biggrin:

Si nimeisha kuwambia we jinga lolo tu, wapi imesema kutongozwa mwanamke dhambi, si we ndo ulijidai dhambi...sa vipi mimi nikuwekee aya ya kuhalalisha kutongoza au kusema kutongozwa ni haramu, wakati we ndo umesema haramu si weka wewe:biggrin:

Yesu hakukataza watu wasipendane alicho kataza ni kutamania kwa mana ya kutaka kusex naye, lakini we kwa kuwa mjinga lolo ume-elewa hata kama mwanaume kampenda mwanamke basi kisha sex naye,sidhani kama Yesu atazuia watu wasipendane au wasitongozane, itakuwa kisha kuja kuzia ndoa kama ni kweli...Mana hakuna mtu ataowa bila kutazama na kupenda na bila kumtongoza yule mwanamke...Lazima ujuwe kutongoza ni lugha inayo fanya mwanamke akupende na si siku zote ukitongoza mwanamke atakupenda na sijawahi kusikia kama kutongoza ni sex:biggrin:

We ni kichaa nimeisha kuambia hujui dini, na unajaribu kumuingiza Yesu kwenye kitu hajakisema huoni aibu wewe:biggrin:

Lazima ujuwe matamanio anayo yaongelea Yesu ni yale ya kusex tu...sio mtu akimpenda mwanamke ndo umweke katika kundi hilo:A S shade:
 
Hongera mzee naona umeamua kuwa kiti moto wa ukweli unararua kwa kwenda mbele hata Mods unawaona wadogo kama piriton. Ukichwa maji kama dafu nao unakusumbua sana, nakupa aya inayoongelea kutongoza ni dhambi unakataa kwa hoja za mat..oni au mwanamke kutongoza mwanaume ndio dhambi ila kutongoza mke wa mtu kwa viti moto kama wewe ni poa tu. Sijawahi kusikia dhambi ambayo ni gender sensitive naisikia kwako tu. Mwanaume hata kumtazama mwanamke sio ruksa itakuwaje ruksa kumskuti uzuri wa umbo lake umtamani na isiwe dhambi? pale ulipomtazama tu ni dhambi sasa je mbele zaidi ya hapo kwenye hatua ya kumwaga sera? lete basi andiko bro kitimoto mbona unabwabwaja tu andiko kama lipo si lipo tu au ni kwa matumizi binafsi ya vitimoto wakati wanajiandaa kwenda kujilipua. Hebu soma hii usuzike na roho yako

Islam has strongly emphasized the concept of decency and modesty in the interaction between members of the opposite sex. Dress code is part of that overall teaching. There are two verses in the Qur'an in which Almighty Allah talks about the issue of decency and hijab.

The First Verse

In Chapter 24 known as an-Nūr (the Light), in verse 30, Allah commands Prophet Muhammad as follows:

قُلْ لِلْمُؤْمِنِيْنَ يَغُضُّوْا مِنْ أَبْصَارِهِمْ وَ يَحْفَظُوْا فُرُوْجَهُمْ, ذَلِكَ أَزْكَى لَهُمْ.

"Say to the believing men that: they should cast down their glances and guard their private parts (by being chaste). This is better for them."

This is a command to Muslim men that they should not lustfully look at women (other than their own wives); and in order to prevent any possibility of temptation, they are required to cast their glances downwards.This is known as "hijabof the eyes".

Then in the next verse, Allah commands the Prophet to address the women:

قُلْ لِلْمُؤْمِنَاتِ يَغْضُضْنَ مِنْ أَبْصَارِهِنَّ وَ يَحْفَظْنَ فُرُوْجَهُنَّ...

"Say to the believing women that: they should cast down their glances and guard their private parts (by being chaste)…"

This is a similar command as given to the men in the previous verse regarding "hijab of the eyes".

This hijab of eyes is similar to the teaching of Jesus where he says, "You have heard that it was said by them of old time, you shall not commit adultery. But I say unto you, That whosoever looks on a woman to lust after her has committed adultery with her already in his heart. So if you see a Muslim casting his/her eyes downwards when he/she is talking to a member of opposite sex, this should not be considered as rude or an indication of lack of confidence - he/she is just abiding by the Qur'anic as well as Biblical teaching.

After "hijab of the eyes" came the order describing the dress code for women:

وَ لاَ يُبْدِيْنَ زِيْنَتَهُنَّ إِلاَّ مَا ظَهَرَ مِنْهَا وَ لْيَضْرِبْنَ بِخُمُرِهِنَّ عَلىَ جُيُوْبِهِنَّ...

"...and not display their beauty except what is apparent, and they should place their khumur over their bosoms..."

The Second Verse

In Chapter 33 known as al-Ahzab, verse 59, Allah gives the following command to Prophet Muhammad:

يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ, قُلْ لأَزْوَاجِكَ وَ بَنَاتِكَ وَ نِسآءِ الْمُؤْمِنِيْنَ: يُدْنِيْنَ عَلَيْهِنَّ مِنْ جَلاَبِيْبِهِنَّ...

"O Prophet! Say toyour wives, your daughters, and the women of the believers that: they should let down upon themselves their jalabib."
 
Back
Top Bottom