Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Wamaume kawaida yetu ni kufanya tu hata tukiwa ndani ya ndoa, sembuse baada ya kuachana. Mwanamke anatakiwa atunze heshima yake na watoto. nyege zisimfanye awe na upotevu wa fahamu kuwa analea. Bila shaka madam wewe ni mtu mzima unajua mapenzi yakoje, wanasema kizunguzungu. atasahau watoto huyu. sikatai asifanye mapenzi, lakini namtaka asubiri watoto wawe watu wazima. atakuwa huru tu
Muone, eti mwanamke atunze heshima yake kwa maana hawana hivyo viungo mnavyofanyia. Kwa maana ninyi mkijiheshimu ni dhambi? Kazi kazi fanya mama kwa kujilinda lakini. Tena awamu hii ya hapa kazi tu usikae na asiyeweza kazi atakuwa kinyume na Rais huyo.