Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Hahaaaaa. Mimi nawaonea huruma watoto, angeacha wakue basi angalau
Kulea na kupata huduma muhimu ukiwa makini havihusiani.
Hahaaaaa. Mimi nawaonea huruma watoto, angeacha wakue basi angalau
oa tu mkuu changamoto za hivyo nikawaida kwenye ndoa. Ndoa ni kama bahari kunamda inachafuka sana ni nyinyi manahodha kuvumilia mpaka itakapotulia. UKIACHANA NA HAYO NDOA NITAMU MKUUndio maana sioi acha niendelee kuwala taratibu tu unaoa unazan umeoa mwanamke kumbe pepo shetan anaetembea kwa miguu
oa tu mkuu changamoto za hivyo nikawaida kwenye ndoa. Ndoa ni kama bahari kunamda inachafuka sana ni nyinyi manahodha kuvumilia mpaka itakapotulia. UKIACHANA NA HAYO NDOA NITAMU MKUU
Labdasema asili ya wanawak ni upendo wa dhati!huyu bado ana chembe chembe za upndo
HAHAHAH MIMI NI BABAwe ni Me... ee / Ke tuanzie hapo
HAHAHAH MIMI NI BABA
uhusiano upo sana. Hebu fikira shost ako sasa hivi aanze purukushani za kubembeleza penzi changa atakumbuka watoto kweli?Kulea na kupata huduma muhimu ukiwa makini havihusiani.
uhusiano upo sana. Hebu fikira shost ako sasa hivi aanze purukushani za kubembeleza penzi changa atakumbuka watoto kweli?
Hakuna jinsi mkuu ndo mama zetu na wazazi wenzetu hawahaya tupambane nao
Mkuu mbona povu sana? au una mpango wa kushika nafasi nini? mimi nawaonea huruma hawa watoto tu, unajua adha ya kulelewa na mzazi wa kambo?acha kumpotosha mwenzio,kulea watoto kunahusiana vipi na yeye kutafuta mwenza wake,hyo miaka nane aliyosubiri haitoshi,bahati yako mbali ungekuwa karibu ningekulamba walau tukofi tumoja,ingawa unatumia uhuru wako wakutoa maoni
Mkuu mbona povu sana? au una mpango wa kushika nafasi nini? mimi nawaonea huruma hawa watoto tu, unajua adha ya kulelewa na mzazi wa kambo?acha kumpotosha mwenzio,kulea watoto kunahusiana vipi na yeye kutafuta mwenza wake,hyo miaka nane aliyosubiri haitoshi,bahati yako mbali ungekuwa karibu ningekulamba walau tukofi tumoja,ingawa unatumia uhuru wako wakutoa maoni
Serikali3 said:Mkuu mbona unatuuzia chai? Wewe ni me au ke? REF; Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]
Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji
Huyo mume unaemsema, ndie huyu ulieanza kutusimulia chuki juu yake kwamba ni m-binafsi na mvivu kila idara...[emoji45] [emoji45]
Halafu mbali ya hivyo amadai kwamba alikuwa busy kiasi cha kutokufuatilia ndoa naona jamaa kaona isiwe shida akapata kamchepuko. Ushauri wowote hautomfaa huyu dada.Upo busy huwezi kudai haki yako?!...sasa hata tukikupa ushauri mwisho wa siku lazima udai divorce naww upo busy....[emoji15]
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wamaume kawaida yetu ni kufanya tu hata tukiwa ndani ya ndoa, sembuse baada ya kuachana. Mwanamke anatakiwa atunze heshima yake na watoto. nyege zisimfanye awe na upotevu wa fahamu kuwa analea. Bila shaka madam wewe ni mtu mzima unajua mapenzi yakoje, wanasema kizunguzungu. atasahau watoto huyu. sikatai asifanye mapenzi, lakini namtaka asubiri watoto wawe watu wazima. atakuwa huru tuUtafikiri hao wanaume wakiachana na wenza wao wanaacha kufanya. Penzi linakuwa na mda wake watoto mda wao chakufa na nyege nini.