Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mtu kama anaanza kuleta matatizo yake ya ndoa huku kaweka na KASORO ZA KIMAUMBILE lazma kutakuwa na mushkeli. Haiwezekani tangu mnaingia kwenye ndoa hadi mnapata na watoto leo unakuja na swaga zako oooo... kasoro za maumbile. Kwani muda wote uliokaa nae haikuwa kasoro? Na je nini kimekuamsha uone ni kasoro? Huyo jamaa anekudanganya utakuja kujutia na usije tena hapa kuomba ushauri kwa sababu wewe inaonekana HIVYO VIHELA UNAVYOVIPATA NDIO VINAKUPA KIBURI, mara ooo...nipo busy sana ,oooo...talaka siwezi kufuatilia. Ndugu kemea huyo pepo haraka sana vinginevyo utakuja..........
 
Hauna muda?

Nafikiri hii pia ni sababu ya ndoa yako kuvunjika.

Naamini jamaa hajaua mtu, anafaa kusamehewa. We all deserve second chances, don't we?

Kama kweli jamaa bado anakuhitaji after 8 years apart, kuna real love somewhere!

Unaweza ukahisi wanao wanapata kila kitu. Lakini kulelewa na mzazi mmoja pekee sio kitu kizuri.

Itafika wakati watamchukia mmoja kati yenu.

Wanaume hatutabiriki dadaangu. Unaweza jikuta unaangukia mikononi mwa mtu mbaya kuliko mumeo!

Mnatakiwa mpambane kuungana, sio kutengana. Give it one more try, fight for your family!

- KANA -

Hii sababu ya kutokujali familia naona kama unaiweka kuweza kutilia uzito tu... kuna thread ulileta kuwa umejaribu kutemebea nje kukagundua kuwa ulikuwa unakosa mengi kwa mumeo, na kwa huu ubize unaousema hapa, naona kabisa ni kwanini hata mumeo anashindwa kukufikisha...

Jiangalie inawezekana pia wewe chanzo kikubwa cha tatizo...
 
Walioa na kuolewa hii inawahusu... wengine ngoja tupite hiviiii [emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️
 
NDOA KANISANI KUVUNJA NI MTIHANI,PIA UKIFUNGUA KESI YA TARAKA MMETENGANA MIAKA NANE ILOPITA UTAONEKANA KUNA KITU UNAKITAKA NA WW NDO CHANZO CHA MIGOGORO.
KUANZISHA PENZI JIPYA SI SAWA NA KUREPEA PENZI LAKO.
WATOTO IPO SIKU WATAUJUA UKWELI MAANA UKIWAAMBIA UKWELI ITABIDI UNZE MWANZO MPAKA MWISHO,JE HUKO MBELE UNAHISI NI SALAMA?
HUTAKI KITU KWA MUMEO JE NDO UNACHOJIVUNIA?MUME AKITAKA WATOTO UTASEMAJE?
JIPENI MUDA MTAFAKARI.
WENGI TUTAKUJIBU KWA UZOEFU WETU WA MAHUSIANO YETU ILA ANGALIA WANAO NA MAHUSIANO MAPYA JAPO WENGI TUTASEMA FURAHA YA MOYO HAITAJI NANI ANASEMA NINI.
 
Kama wametengana kwa miaka nane, unadhani hajaliwa mpaka leo? Mtu mzima mwenye viungo visivyo na mawaa atakaa miaka nane bila mambo flani? No way!

so unaunga mkono mke wa mtu kluliwa sio ?
 
As long as unakiri kufunga ndoa kanisani hakuna awezaye kutenganisha except God peke yake. Kumbuka kipo chenu mlichokula siku ya kufunga ndoa. The holy spirit was the witness. Tafuta wazee wa hekima wawasuluhishe basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama uliweza kwenda kanisani bila kushikiwa fimbo na ulikuwa na furaha zote kipindi hicho bac huyo ni wako na achana na mawenge ya kumkadilia mumeo kwa kusema sababu za kimaumbile....ulimtaka wewe ndoa ya kikristu kifo ndio taraka sahau mambo ya mahaka kwa kifupi katika ndoa yako wewe ndio tatizo hivyo muombe samahani mumeo...
 
Unafahamu sometimes nyie wanawake ndio mnatuvuruga sana. Muache kutustress
Kisingizio hicho unafikir mnakosaga la kusingizia
Mara shetan kanipitia
Mara sis ke ndio chanzo
Kujivuruga mwajivuruga wenyew na tamaa zenu hizo mpaka mnasahau wajibu wenu
 
Unafahamu sometimes nyie wanawake ndio mnatuvuruga sana. Muache kutustress
Kisingizio hicho unafikir mnakosaga la kusingizia
Mara shetan kanipitia
Mara sis ke ndio chanzo
Kujivuruga mwajivuruga wenyew na tamaa zenu hizo mpaka mnasahau wajibu wenu
 
Kisingizio hicho unafikir mnakosaga la kusingizia
Mara shetan kanipitia
Mara sis ke ndio chanzo
Kujivuruga mwajivuruga wenyew na tamaa zenu hizo mpaka mnasahau wajibu wenu
Mnapotukwaza ndio shetani anapotupitia na kutuvuruga. Mtulinde kama mayai
 
Pole sana...
Wala haupo busy kama unavyosema,.. Ukiamua kutafuta muda wa kufanya hayo yote unaweza...
Sema bado unampenda ndiyo maana you are not taking any actions...


Cc: mahondaw
 
Pole sana...
Wala haupo busy kama unavyosema,.. Ukiamua kutafuta muda wa kufanya hayo yote unaweza...
Sema bado unampenda ndiyo maana you are not taking any actions...


Cc: mahondaw
Lol Smart911 my king vibaya hivooo
Angeamua kuchukua hatua asingefikiria mara mbili au sio bebe wamie??

Mume wake ndo bado anamuhitaji labda.

Mahondaw wa Smart911
 
Moyo mpweke utaujua tu. Huu ni usiku wa manane kasoro, mtu analeta masuala ya talaka ili aolewe tena.
Anyway mamaaaa, pole sana. kwa sasa ningeshauri upambane kulea watoto wako, mambo ya mapenzi potezea kwanza. Malezi ya watoto kwa sasa yanahitajika sana, kumbuka hawaishi na baba yao, sasa unataka kuwaletea baba wa kambo! Huwezi jua huyo unaetaka kumtafuta atakuwan na makucha gani.
Ni kweli kabisa suala la mapenzi ni kama kuogelea mto usioufahamu halihitaji uzoefu sanaaa ila Mungu tu amsaidie kila mtu kwenye ndoa ana shida zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dada mleta mada pia una shida maana hapa tumesikia wewe ukilalama tu ukute huko nyumbani ulikua huwajibiki kama mke! Mungu anakuona lakini! What goes around comes around ukute una kidume tayari kinakusugua hapa unatafuta huruma zetu tu[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom