Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Mnapotukwaza ndio shetani anapotupitia na kutuvuruga. Mtulinde kama mayai
Hahahah eti tuwalinde kama mayai usitegemee ufanye upuuz alafu nikubembeleze yaan ndio kwanza nitakusindikiza nateke la kiuno likuongezee speed ya kufanya ufuska zaid
Yanin kujipa magonjwa ya moyo
 
Hahahah eti tuwalinde kama mayai usitegemee ufanye upuuz alafu nikubembeleze yaan ndio kwanza nitakusindikiza nateke la kiuno likuongezee speed ya kufanya ufuska zaid
Yanin kujipa magonjwa ya moyo
Kha! Hadi teke! Kwa kuwa unanipenda utanisamehe tu mpenzi wako.
 
Mwandishi wa hii stori anawachora tu namna mnavyobwabwaja kutoa mipointi...

Sredi zake za zamani na zenyewe ni full stori ka hivi...

Mi nadhani kuna mtu anatangaza biashara ya nyapu hapa kwa lugha ya mipicha picha...

Mabazazi hebu liamsheni dude mbuzi kajileta mwenyewe kwa muuza supu...
 
As long as unakiri kufunga ndoa kanisani hakuna awezaye kutenganisha except God peke yake. Kumbuka kipo chenu mlichokula siku ya kufunga ndoa. The holy spirit was the witness. Tafuta wazee wa hekima wawasuluhishe basi

Sent using Jamii Forums mobile app

WACHA siasa za uwongo. Waliotuletea dini hizi wanatengana na kuowana. Prince Charles alitengana na Diana mkewe, na akafunga Ndowa kanisani na Kamila. Hata kwenye bibilia ukizini nje ya ndowa yako mwanamkevau manaume, aliyekosewa anaruhusiwa kutoka. Mnaitafasiru bibilia vibaya. Huwezi kuishi na mtu anayekutesa ati ni ndowa, hata MUNGU hawezi kuiba Riki hata kuruhusi Kukubali kuonewa ni zambi Wakinamama wengi wanateseka kwa uvumilivu hata kupoteza maisha yao wakingojea suruhisho. Yakikuzidi toka,

The three grounds that are given in the New Testament for ending a marriage Biblically include the following:

  • The death of spouse ends the marriage covenant
  • Fornication (sexual immorality at any point in the marriage) can be grounds for divorce, although it’s not mandatory
  • The leaving/abandonment by an unbelieving spouse (1 Corinthians 7:15)
 
Moyo mpweke utaujua tu. Huu ni usiku wa manane kasoro, mtu analeta masuala ya talaka ili aolewe tena.
Anyway mamaaaa, pole sana. kwa sasa ningeshauri upambane kulea watoto wako, mambo ya mapenzi potezea kwanza. Malezi ya watoto kwa sasa yanahitajika sana, kumbuka hawaishi na baba yao, sasa unataka kuwaletea baba wa kambo! Huwezi jua huyo unaetaka kumtafuta atakuwan na makucha gani.
Kwenye kufikiri usifikiri sana upande huo maisha bado yanaendelea na yy ataki kuendelea kuzini, kumbuka kasema ni miaka nane tangu watengane na je kama anaitaji mtt mwingine ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini kupendwa ni kimapenzi ni hitaji la mwili na ubinadamu.. Utafanyaje sasa? Je katika muda wa miaka minane hiyo yeye ana mke ? Na wewe umepata wa kukuliwaza?
Rudini mkae pamoja na msuluhishe. Nimeona miaka yetnu 8 imepotea kwa kulima shamba na kujenga kiwanja cha mwingine.
 
Wakati unaolewa hukujua kuwa ndoa ya Kikristo haivunjikagi? Au ulikuwa unamtania Mungu kwa kuapa uongo na kumdanganya huyo mwanaume kuwa utaishi naye kwenye shida na raha? Hata kama kitandani hayuko vizuri, ndo shida zenyewe izo.
Inavunjka vizuri kabisa na unaoa hata bomani usharika unakutenga kidogo then unaomba kurudi kundini shughuli inaisha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan mlivyofunga ndoa mliapa nini kitawatenganisha!!jibu ndo liwe ivyo sio kingine
 
Back
Top Bottom