Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo kinachoshindikana ni nini? Shughulikia wewe hiyo divorce hata kama hataki. Ila dizaini kama unamuogopa
 
You need deliverance, sio wewe bali ni pepo alienyuma yako 1 Kings 6: 16 kuachana kisa maumbile na kutotunza watoto sio hoja ya msingi. Mpango wa Mungu katika kitabu cha Mwanzo 2 ilikua mwanaume na mwanamke waishi pamoja mpk kifo. Dhambi ilipoingia imeleta matengano, tafadhali fikiria kumsamehe and you need anointing oil to make a humongous deliverance
 
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app

As long as tatizo lako kubwa ni muda ... then sidhani kama kuna ushauri utakaokufaa. You now have only two option, either utafute muda kwanza ili chain reaction ya utatuzi ianze ama urudiane tu na mumeo.

kurudiana ndio kabisaaaa haitaugharimu muda wako.
 
Moyo mpweke utaujua tu. Huu ni usiku wa manane kasoro, mtu analeta masuala ya talaka ili aolewe tena.
Anyway mamaaaa, pole sana. kwa sasa ningeshauri upambane kulea watoto wako, mambo ya mapenzi potezea kwanza. Malezi ya watoto kwa sasa yanahitajika sana, kumbuka hawaishi na baba yao, sasa unataka kuwaletea baba wa kambo! Huwezi jua huyo unaetaka kumtafuta atakuwan na makucha gani.

Usimdanganye mwenzio sio mgonjwa kwanini asiwe na mpenzi? Kilea watoto hakumnyimi mtu haki ya kupendwa.
 
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliapa KANISANI kwa Shida na Raha..elewa kuwa ni kifo tu ndio kitawatenganisha sasa hayo maumbile unayozungumzia ni yapi yanayosababisha utake kufanya kitu ambacho mwenyezi munga hataki? mumeo kajirudi. tahadhari mkapime muendelee kuwalea watoto..
 
Hapa unasema miaka nane kule uzi wa kuomba ushauri juu ya mumeo ni wa mwaka 2016 means ni mwaka mmoja tu..

love thé love or hâte thé love.....
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
aaaaaaaaagriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sioi kwa mbanga hizi ? yaani unataka kuharakisha zoez ili ukakulane kwingine ? 🙂 jamaa akaze hapo hapo wewe kulana kwa kujiiba tu talaka hupati muone

kanisani ulisemaje ? leo wasemaje ?

jamaa uliko kazaa hata kama maumbile huna 🙂 hahahahahahahahah eti maumbile means before hukunotice ? ee
umeona mkuu umalaya tu unamsumbua huyo na anajua ndoa ya kikristu anataka kuachana, upuuuzi tu
 
Moyo mpweke utaujua tu. Huu ni usiku wa manane kasoro, mtu analeta masuala ya talaka ili aolewe tena.
Anyway mamaaaa, pole sana. kwa sasa ningeshauri upambane kulea watoto wako, mambo ya mapenzi potezea kwanza. Malezi ya watoto kwa sasa yanahitajika sana, kumbuka hawaishi na baba yao, sasa unataka kuwaletea baba wa kambo! Huwezi jua huyo unaetaka kumtafuta atakuwan na makucha gani.
acha kumpotosha mwenzio,kulea watoto kunahusiana vipi na yeye kutafuta mwenza wake,hyo miaka nane aliyosubiri haitoshi,bahati yako mbali ungekuwa karibu ningekulamba walau tukofi tumoja,ingawa unatumia uhuru wako wakutoa maoni
 
una watoto wangapi kwanza maana ili tujiandae na usingle mother wako

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
umeona mkuu umalaya tu unamsumbua huyo na anajua ndoa ya kikristu anataka kuachana, upuuuzi tu

ndio maana sioi acha niendelee kuwala taratibu tu unaoa unazan umeoa mwanamke kumbe pepo shetan anaetembea kwa miguu
 
Back
Top Bottom