Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Ayaaaaa. jamani kuna watoto wa shule hume tunawafundisha nini sasa?

Kwani unawaita ndo ufanye? Wanachifundishwa na baba na mama hivyo hivyo. Watoto watulie wakipevuka wakajua hamu ikoje watamsamehe mama. Sasa ukiwa na mtu wako mmoja ina shida gani kama huendi kujiuza?
 
Mimi nanunua, ndivyo wanaume tulivyoumbwa. lakini kwa mwanamke anaeitwa mama tena analea watoto kwa kweki kupenda kutiwa ni mbaya hata shetani hapendi. Mshauri tu huyo rafiki yako atulie, au kama vipi njooni kwangu, nitalea na watoto kama wakwangu. Siamini kabisa wanaume wengine, maana sisi wanaume tunajuana.
 
Basi wake zenu wakizaa msiwatie maana ni mbaya kwa watoto. Hakuna tofauti kati ya mama wa kwenye ndoa na asiye na ndoa. Hamu ni ile ile, upweke ni ule ule n. k
 
Huko kanisani mlichagua vya kusemea kuwa mtaishi katika shida na raha ila mkaacha MAUMBILE? Acha usenge Wewe wanaume wote tuko hivo. Labda kama umempa limbwata. Mimi wa kwangu nishamwambia mwanamke hatokaa anipande kichwani. Nawewe ungefaa uje kwangu ungenyooka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[color]Nisikilize mimi dada yangu,nimepitia kipindi kama hicho unachopitia.
Cha kufanya lazjma uende kanisani kwenye baraza la ushauri/usuluhishi ueleze sababu za msingi kabisa pale watakupa barua yenye muhuri wao kudhibitisha kwamba wao wameshindwa kuwasuluhisha na kwamba ndoa hapo hakuna ili uipeleke Mahakamani,bila hivyo hutopokelewa na Mahakama.
Kimsingi ndoa zote ni za Serikali ila makasisi,mashekhe na wazee wa kimila wao wamefanyika kuwa mawakala tu wa ndoa. Wenzetu waislam wanaruhusu Talaka kwakweli wako sahihi sana mkishindwana achaneni kwa wema sio kukomoana,shughuli ipo kwa ndoa ya kikristo.
Jitahidi kutenga muda wako ufuatilie hili maana linawezejana kabisa.
Mahakama ndio chombo cha Haki haijali kama umefunga ya kikristo yenyewe itakupa Talaka tu ilimradi kule kwa wkala wako ameshindwa kuwaweka pamoja.
Nakutakia kila la kheri my dada
[/color=blue]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi wake zenu wakizaa msiwatie maana ni mbaya kwa watoto. Hakuna tofauti kati ya mama wa kwenye ndoa na asiye na ndoa. Hamu ni ile ile, upweke ni ule ule n. k
Wanawake zetu wakijifungua huwa hatujamiiani nao, badala yake huwa tunajenga nyumba ndogo (au michipuko mara mojamoja). tunaheshimu sana wake zetu na watoto zetu
 
Jamani wakaka unapo muoa mwanamke msimfanye kama mtumwa ukimchoka muache aende salama hukumzaa wewe.
Mbona nyie mnaondoka kwenda kuishi na wenza wengine kwanini sisi?
Mnatuona sio binadamu au hatuna hisia za mapenzi miili mwetu?kuolewa nawewe imekua kosa?
Tujifunze kuachana kwa akili kama vile unavyo umiza akili kumfatilia msichana.
Niache niende bhana aagh [emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutajali hebu hapo kwenye rangi fafanua. Usiendekeze kazi kuliko amani ya moyoni mwako. Fungua kesi ya kudai divorce pia katika madai hayo usisahau kuweka ushahidi wa huyo jamaa kudai atakufanyia fujo. Mwajiri wako sidhani kama atakunyima masaa machache au hata siku nzima kwa wikiya wewe kwenda mahakamani kutafuta kile ukitakacho. Ila watoto kama wamevuka miaka 7 ujue anaweza kuanzisha varangati la kuchukua wanae. Hii sheria ya watoto wakishafika miaka 7 ni wa baba mimi naipinga sana lakini sasa ndiyo sheria ya nchi hivyo ujue kuna uwezekano wa hili labda kama kuwepo na ushahidi kwamba hana uwezo wa kuwatunza watoto mliojaliwa.
Mkuu BAK huyo Serikali3 anaonekana sio mwanamke, ana lake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hujitambui,
Ninavyokusoma ni kuwa unataka mumiliki mwanaume!

Kila mwanaume ana sifa za kiume (hawamilikiwi hao)

Endelea kujitesa upeo kumlelea watoto mwenye watoto.
 
Comrade.....
Mini muhenga ujue....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na huyu mleta mada, ni aina ya wanawake ambao huwachukia waumezao hasa baada ya kufanikiwa, wanaanza kuwadharau waume walio anzanao maisha from the scratch.
Nilipo pitia threads zake, nikagundua mama anajeuri kwakua anauwezo wa kujihudumia na kisomesha wanae.
Mbaya zaidi, alipoonja mkuyenge wa pembeni ndio ukamchanganya na kumuona mumewe hamfai tena.
Leo anataka talaka ili awe huru na huo mchepuko uliochanganya akili
Ni aibu kwake na kwa wanae.
 
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe kwa kisheria umeisha achika. Sio mume tu anaweza kukuacha, wewe unaweza kumuacha pia. Nenda mahakani ukaombe taraka yako sababu ya kutengana kwa mda mrefu. Ama NENDA kwa wana sheria wanawake wa kusaidie, mliowana haukununuliwa kama utumwa. Wanawake wanahitaji elimu na siyo kuwa mafundi cherehani. .
 
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna haja ya kumshawishi, ni haki yako kutoka kwenye ndowa kama hutaki, wewe sio mtumwa.
 
Back
Top Bottom