Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Kaa chini na mmeo, mueleze kinaga ubaga kuwa hutosheki anapowahi sana, na anakutesa...

Tafuta siku nzuri tulivu mueleze hayo.

Akiwa mbishi mwambie ukweli umeonjeshwa tamu huko nje na umeipenda, atakuacha mwenyewe wala hutatumia nguvu...

Ila jua kuna wanaume wanapenda waliolewa, ukiachwa na mmeo huyo uliyenaye atakuacha tu, maana hapo anakurubuni tu kisa kapata serereko.

Je mna watoto wangapi na mmeo?
Serikali3
 
Unahitahi Maombi Serikali3!!

Unaombaje ushauri wa Kumuacha Mtu?? Unahitaji uelezwe ni Njia gani/Ipi utumie kumwacha Mmeo??
Mimi Nadhani ulipaswa kuja humu kuomba ushauri wa jinsi gani utaweza kumfanya Mmeo akidhi hitaji lako katika Ndoa na siyo vinginevyo,Kaa chini na Mmeo na hili litaisha.

Mfanye mmeo kuwa bora kuliko Mwingine,Ufanye toba kwa Kumsaliti Mmeo pasipo kufahamu! Ungesalitiwa wewe ingekuwaje??

Why are we Easy to judge Mistake of others rather to recorgnize our own Mistakes?? THINK BIG.
Salute #word
 
Duh!hivi wewe dada uliopo kwenye ndoa unatufundisha nini sisi ambao hatujaolewa.Ni aibu kubwa mwanamke kusema mumewe hamtoshelezi.Kwanza tubu kwa dhambi ya uzinzi uliyoifanya nje ya ndoa.Kinachokutesa ni hiyo test uliyopata huko nje.
Mtu ameshakuwa mumeo kuhusu kuhudumia familia ina maana tatizo halikuanza jana,mwambie ukweli unazidiwa na majukum gani yeye kama mume atakuelewa.
Mpikie mumeo vyakula vya kuongeza nguvu.Na ujiandae fresh acha kumfikiria huyo mchepuko wako.
Mwisho,usimwambie direct suala la yeye kutokukufikisa utampunguzia nguvu zaidi.Huyo ndo mumeo huwezi achika ukapata mwingine.Kwanza wanaume hawapendi wanawake walioachika hata kama mume alieachwa ndo ana makosa.
Rahisi sana kumshangaa mwenzio,mgegedo wa dakika mbili kweli?siupatii picha,hayo kaandika kwa hasira utakuta aliandika baada ya kugegedwa
Usimlaumu,mshauri hivyo vyakula vya kupika kwa mmewe..
Hebu kuweni na huruma,dakika mbili kweli kama kuku?
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Kama wewe ndio mliodhani maisha ya ndoa ni kama barabara ya lami iliyonyooka, isiyokuwa na mashimo, mabonde waka milima. Kumwacha siyo ufumbuzi bali omba ushauri wa namna ya "kumchelewesha" ili muweze kuenda pamoja kama kweli mnapendana. Hayo ni maumbile!
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Ushaona hasara za kuolewa na hilo li kitu mwaliita birika sijui bikira? Hapo ungemwonja kabla ungejua ugoigoi wake mapema, haya sasa ushauziwa mbuzi kwa gunia, njia rahisi ya kuachana nae wewe wewe jifumanishe, akikusamehe jifumanishe tena nyumani kwenye kitanda mnacholalia nae, apo talaka lazima, kisha waenda jilia vyako bila kiwingu[emoji4]
 
Mawazo yako yashindwe na kuangamia na ukiendelea kutoka nje ya ndoa utapata hasara ya kukutosha
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).

Jaribu kuwa mstaarab juu ya hili, kitu kama hiki hautakiwi kusema mbele za watu.....wewe ni pm tuzungumze vizuri. Nakusubiri, tafadhali fanya ima.
 
Nina hakika wala hakukuoa ukiwa bikra, maana ingekua ngumu kujua
 
Mpe matunda ,dagaa,samaki na ugali Wa dona,ikishindikana apige viroba 5,hapo hamna namna lazima atumie dk 30
 
Nje patamu bwana. Huyo uliyempa usidhani atakuwa hivo hivo mkiwa nae pamoja kama mme na mke.
 
Bikira ndo tatizo LA kupuuzia shake well before use ..ona sasa unapata tabu unaitwa malaya kwa kutafuta haki yako..pole pambana muende kwa daktar.
 
Back
Top Bottom