Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Ushauri wa nini wakati umeshaamua kuachana nae na umeshatoa tunda nje
 
Communication is the solution to every problem. Tatizo wanandoa hawaongei wanalaumiana tu. Ilitakiwa mkae chini umwambie ukweli kwamba hakutii vizuri. Inabidi awe anafanya fore play, nyonya sana hiyo K, katerelo, denda, yani akija kuingiza mnakojoa kwa pamoja. Atembelee website za ngono ajifunze maujanja. Afanye mazoezi kuongeza stamina. I wish ningekuwa bongo ningekuomba unikutanishe nae nimpr techniques. Mwanamke lazima umtie vizuri bwana kwanini uguse guse. Wanaume wa kibongo sie sometimes hatupendi kuambiwa ukweli. Mkeo akisema umtii vizuri unakuwa mkali. Ndio mwisho wake wananyosolewa nje sasa. Mademu weupe anakupa ukweli tu , ebwanae eee una underperform
 
Kwanini mambo binafsi mnayatoa hadharani?
Kiungwana huwa ni kuongea na mhusika na uone jinsi gani utamsaidia au utasaidika....
 
Zingatia foreplay iwe ya kutosha ili wote muweze kufurahia tendo. Hakikisha amekuandaa vya kutosha na pia kwa kuwa umeshaishi nae muda mrefu hivyo utakuwa wamjua vema weakness zake hususani anapokaribia kunanilihi..., jaribu kama ku - withdraw fulani ili aanze upya. Kitu kingine yafaa uwe mbunifu mama...., sio style moja tu hiyooo weeee... hadi anamaliza anakuacha unagugumia na hamu ya kupewa utamu. Kila baada ya sekunde 20 embu badili style, mfano kiubavuubavu, kuna nazi, kimgongomgongo nk. Lakini hakikisha unamweleza mapema kwe foreplay yenu kuwa wewe unapenda kuguswa wapi ili ahangaikie hapo kwanza na hivyo kumtoa concentration kubwa ya tendo lenyewe na badala yake afikirie jinsi ya kukukuna wewe vizuri. Katika style au mikao yako ya tendo kama ulivyofundwa ama kuelezwa na gal friend wenzako kuwa nini na nini zile za school si unajuaga. Hiyo mikao hakikisha ni ile ambayo dusheleee anakukuna pahala unapenda. Tena ondoa hiyo akilini kuwa eti kila mkikutana hakuridhishi..., wakati huu kuwa dereva wewe. Dogstyle na mende style si nzuri sana kwa wanaume wanaomaliza mapema hivyo kuwa makini kutokaa sana hapo asije akakuacha. Kwa machache hayo watakuja wengine wakupe undani wote. Bila kusahau lakini kuwa mpe chakula bora mfano ugali dagaa kwa sana, matunda nini, karanga mbichi. Sio kutwa kushindia vyepe utaishia kulia lia hovyo. Kuwa na hofu ya Mungu, kuanza kuzini nje ni dhambi kumbuka. Haya inatosha kwa sasa....
 
Kabla cjamaliza kusoma Uzi wako,.hamkujuana wakati wa uchumba!??au ndo nyie ndoa ilikuja baada ya babako kukuambia...."nenda kalale hukohuko ulikotoka"....au uliolewa bk!???....anyway poyeeee
Na mumewe anaweza akawa mgeni so ngoja achepuke ataupdate mbibu
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Hapo kwenye wekundu ushaweka uamuzi wako sasa unataka ushauri gani? Manake hata kuliwa ushaliwa na mchepuko mwenzio. Usisahau siku utakayoachwa wewe na huyo mchepuko mwenzio kureta mrejesho tu.
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Mawazo yako ni kama serikali ya ccm nilidhani unaomba msaada jinsi ya kumaliza tatizo lenu ili muishi kwa furaha lakini unaomba ushauri wa kuachana nani alikuambia hapa jamii forum tunafundisha wanandoa kuachana??
 
Unaweza ukawa unaruka mkojo na kuyakanyaga mavi.....huyo kijana aliyesimamia show mpaka ukafika kwenye kilele kuna asilimia kubwa kuwa alijianda na game ,kuna visa vingi vya vijana wadogo kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume...

Bado muda unao wa kushauriana na mwenzio na mkalitatua tatizo lenu....huo uamuzi unaotaka kuuchukua ni mzito sana na pengine unaweza ukakusababishia matatizo mengi badala ya kukuletea faraja....

THINK BIG...
 
Huyo kama ni mvivu kila idara basi hilo ni jipu..Btw kaa chini uongee nae kabla ya kufanya hayo maamuzi..Mnaweza kuwekana sawa...Usije ukakimbilia gud mgegedo huko nje zen baadae ukaanza kujilaumu pia..
 
Duh!hivi wewe dada uliopo kwenye ndoa unatufundisha nini sisi ambao hatujaolewa.Ni aibu kubwa mwanamke kusema mumewe hamtoshelezi.Kwanza tubu kwa dhambi ya uzinzi uliyoifanya nje ya ndoa.Kinachokutesa ni hiyo test uliyopata huko nje.
Mtu ameshakuwa mumeo kuhusu kuhudumia familia ina maana tatizo halikuanza jana,mwambie ukweli unazidiwa na majukum gani yeye kama mume atakuelewa.
Mpikie mumeo vyakula vya kuongeza nguvu.Na ujiandae fresh acha kumfikiria huyo mchepuko wako.
Mwisho,usimwambie direct suala la yeye kutokukufikisa utampunguzia nguvu zaidi.Huyo ndo mumeo huwezi achika ukapata mwingine.Kwanza wanaume hawapendi wanawake walioachika hata kama mume alieachwa ndo ana makosa.
 
Dada tambua kuwa cku zote ufagio mpya ndio ufagia vizur japo nao kesho utachakaa pia, kwanza umeshaamini kuwa hawez kukuridhisha na umeshakuja na suluhisho jinsi gani umuache sio jinsi gani utatue tatizo mlilo nalo,kaaa nae muongee tatizo lenu,ucje ukafanya uamuz ukajuta kesho...unawaona hao jamaa ni wazur kwa kuwa mnapigana vya wiziwiz lkn siku ukiwa nao karibu ndio utajua kua bora hata ya jamaa yako wa awali
 
Back
Top Bottom