Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Mapenzi ni kufundishana fullstop, hakuna aliyezaliwa anajua mambo ya 6 kwa 6, ]
Ushaambiwa kaongea naye lakini mume anasema tatizo ni mke. Ni mbinafsi.

Juu ya hapo ana matatizo ya nguvu. Bado wote mtamlaumu huyu mama kwamba hampikii .

Shida zote za nini! Angejuaga ana hayo matatizo na harekebishiki angemuachaga zamani. Lawama zote kwake sasa. Mfume dume!

Unasema tunapoteza bikra bure, kwahiyo ulitaka tuolewe na bikra ili tusijue haya matatizo. Yale yale niliyosemaga!!

Hivi kama shughuli hamna unaolewa nini? Hela? Au huku Duniani umekosa wa kuongea nao unaolewa upate wa kupiga naye soga?
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Muache tu...c ndo mpango wako
 
Big mistake.Stiki na mtu wako na ajifunze ku last kitambo kwani hana misiba anayoukumbuka kichwani au siku ambazo alikuwa rumba sana ? mbinu za ku prolong ejaculation ziko kibao
 
Kuna msemo unasema kama mtoto hajawahi kula kwa jirani atakuwa anamsifia sana mamake kuwa anajua kupika.Sasa ulafi wako umekutana na pipe ya nguvu ndo unakuja hapa kutusanifu huwezi kuomba ushauri waqt pana sehemu umefika so unatusikilizia tutakushauri nini?
 
utumwa wa ngono ndo unakutesa....kama mwezio ndo mgonjwa na Akili yako ndo iko ivo ni atali sana wewe nikijanamke na mwanamke
 
Ushaambiwa kaongea naye lakini mume anasema tatizo ni mke. Ni mbinafsi.

Juu ya hapo ana matatizo ya nguvu. Bado wote mtamlaumu huyu mama kwamba hampikii .

Shida zote za nini! Angejuaga ana hayo matatizo na harekebishiki angemuachaga zamani. Lawama zote kwake sasa. Mfume dume!

Unasema tunapoteza bikra bure, kwahiyo ulitaka tuolewe na bikra ili tusijue haya matatizo. Yale yale niliyosemaga!!

Hivi kama shughuli hamna unaolewa nini? Hela? Au huku Duniani umekosa wa kuongea nao unaolewa upate wa kupiga naye soga?
We mwana weeee! Nani alikuambia mwanaume anakosea?
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
mambo ya chumbani yanataka usiri na uwazi kwa wenza wote
 
Tatizo la Erection...lina wakumba.. wanaume wengi..cku izi..sometimes..ili kulitatutua..Partner mmmoja inabidi ha sacrifice.. hisia zake kumsadia mwenzake....support kubwa inahitajika.sana..kutioka kwa mwanamke.. kumuacha sio solution
 
serekali3!
miye sina imani na hizp serekali 3 nataka 1 tu. Ndo maana nakuambia usithubutu kumuacha mumeo ukaukimbilia mchepuko, utalaani siku hiyo. Weye umesema kuwa unamwacha huyu mtu "mbinafsi". Jiulize, aliye mbinafsi hapa ni nani?? Unaanza kumtafutia vijimakosa ati hata haachi za matumizi, kama alikupa mshahara wote weye ukauchezea kununulia khanga na nyama kumpikia mchepuko apate nguvu ya kukunanihino mpaka ukajisikia unataka mtu wa watu akaibe?
Tulia dada, wala kufika kileleni haihitaji dusheleee bali hata kumpenda kwa dhati utajichua tu kwa kumfikiria. Ongeza penzi kimbia mchepuko.
 
Hapa umepotea njia, kama mlivyokubaliana kuvumiliana kwenye shida na raha kwanini ukimbie? Umetoka nje ya ndoa hauoni kama ni aibu na wewe ni mzinifu? Mungu akuongoze maana utaachika na waoaji hakuna. Utajuta sana. Muhimu nendeni Hosp mkatibiwe na mpime VVU.
 
Kaa nae kujilindia heshima ila endelea kupewa nje.... kit....kuna raha yake achen masihara
 
Back
Top Bottom