Habari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo. Bora ushake well before use ili ukiingia kwenye ndoa suala la kutoridhishana kwenye sex linakuwa halipo. Ukishaingia kwenye ndoa na ukute wewe na mwenzako hamuendani kwenye sex inakuaje? Ndo uvumilie maisha yako yote? Unaona sasa anaenda kutafuta sex nje ya ndoa wakati angetest before yasingetokea hayo.Hiyo shakewell before use mnaishadadia tu wadada lakini inawalostisha sana tu hamjui. Inawapotezea bikra zenu bure, inawaongezea mileage bure, inasabisha muitwe used bure, inasababisha muitwe malaya bure, kifupi inawachafulia file
Mapenzi ni kufundishana fullstop, hakuna aliyezaliwa anajua mambo ya 6 kwa 6, hayo ya shakewell before use ni justification ya umalaya na kukosa hofu ya Mungu hakuna jingine
cc Heaven Sent ,atoto ,miss chagga
umeongea vyema .. na ujumbe umefikaHiyo shakewell before use mnaishadadia tu wadada lakini inawalostisha sana tu hamjui. Inawapotezea bikra zenu bure, inawaongezea mileage bure, inasabisha muitwe used bure, inasababisha muitwe malaya bure, kifupi inawachafulia file
Mapenzi ni kufundishana fullstop, hakuna aliyezaliwa anajua mambo ya 6 kwa 6, hayo ya shakewell before use ni justification ya umalaya na kukosa hofu ya Mungu hakuna jingine
cc Heaven Sent ,atoto ,miss chagga
Habari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Ha ha ha ha hawaliosema "asieijua chungu , tamu hajairamba" hswakukosea. hebu achika halafu utayajua ya mtaani yalivyo! wenzio wanamtamani hata huyo "mvivu".
Umeongea jambo zuri sana,yaani najilaumu mpaka basi,na mwanangu ntamuacha tu awe na boyfriend yaani inatesa sana asikwambie mtu.Tukirudi nyuma, japokuwa ni dhambi, ndipo hapo umuhimu wa kujaribiana kabla ya kuoana unapokuja! Selikali3, hebu kaeni chini muelezane tatizo la ndoa yenu halafu muamue. Kuchepuka si kuzuri kabisa, kama imeshindikana ni afadhali kuachana halafu kila mmoja amtafute wa saizi yake.
Hapo ndio umemaliza?Pole mwayaaa
hii imekaa poa sanaZingatia foreplay iwe ya kutosha ili wote muweze kufurahia tendo. Hakikisha amekuandaa vya kutosha na pia kwa kuwa umeshaishi nae muda mrefu hivyo utakuwa wamjua vema weakness zake hususani anapokaribia kunanilihi..., jaribu kama ku - withdraw fulani ili aanze upya. Kitu kingine yafaa uwe mbunifu mama...., sio style moja tu hiyooo weeee... hadi anamaliza anakuacha unagugumia na hamu ya kupewa utamu. Kila baada ya sekunde 20 embu badili style, mfano kiubavuubavu, kuna nazi, kimgongomgongo nk. Lakini hakikisha unamweleza mapema kwe foreplay yenu kuwa wewe unapenda kuguswa wapi ili ahangaikie hapo kwanza na hivyo kumtoa concentration kubwa ya tendo lenyewe na badala yake afikirie jinsi ya kukukuna wewe vizuri. Katika style au mikao yako ya tendo kama ulivyofundwa ama kuelezwa na gal friend wenzako kuwa nini na nini zile za school si unajuaga. Hiyo mikao hakikisha ni ile ambayo dusheleee anakukuna pahala unapenda. Tena ondoa hiyo akilini kuwa eti kila mkikutana hakuridhishi..., wakati huu kuwa dereva wewe. Dogstyle na mende style si nzuri sana kwa wanaume wanaomaliza mapema hivyo kuwa makini kutokaa sana hapo asije akakuacha. Kwa machache hayo watakuja wengine wakupe undani wote. Bila kusahau lakini kuwa mpe chakula bora mfano ugali dagaa kwa sana, matunda nini, karanga mbichi. Sio kutwa kushindia vyepe utaishia kulia lia hovyo. Kuwa na hofu ya Mungu, kuanza kuzini nje ni dhambi kumbuka. Haya inatosha kwa sasa....