Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

Hii maada imenichekesha mno , tuoe tu na itakua mlikutana Fb na mumeo
 
Ngoja mumeo apige talaka ubaki unaangalia mi FB usiku kucha akili yako itakaa sawa
 
achana na facebook muheshimu mume wako HATA HILO LINAITAJI FEDHA ZA KIGENI KWELI kama unampenda utafuata mazuri anayokuambia
 
huyo jamaa akuue tu maana nawe haujielewi unampenda mume au Fb? umeolewa hautaki kupata mototo?

bac njoo kwangu maana mi nami nitakuwa fb swala la kumpata mtoto kwa sasa halipo
 
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Wewe nafikiri akili zako ziko mkunduni au vipi?
 
People are driven by social media,ego,pride and material things and hence leading to poor relationships in the society!!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Think deeply!!!...and remember dont trade what you want most for what you want now!!
 
We have reached a point in a society where women don wanna submit anymore!!!
 
Facebook na ukubwa wako wote??na je anasemaje kuhusu JamiiForums au mumeo ni moderator
 
Funga hiyo akaunt afu fungha nyingine kwa jina la bandia kama vle JF.. Then wa add marafiki zako woote.
 
Back
Top Bottom