Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.

Ni mume wa ndoa au mnafanya uzinzi tuu?? Jibu kwanza hapo...
 
Kwani wewe mzuri?
 
Kwani kati ya mmeo na JF protocol nani yuko juu? Maana huwezi ambiwa kitu na Rais ukaenda kumuuliza waziri Mkuu kama ufanye au la, ila kama Umeambiwa na DC unaweza kumuuliza RAIS ufanya au usifanye. Tufungue macho tukushauri

Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
 
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
We kweli kiazi mbatata yani unaona Fb ni mhimu kuliko ndoa? Miningevunja na kisimu chako nikupe cha tochi
 
Kwani ulizaliwa na facebook au ukijitoa utapungukiawa na nini tafakari chukua hatua
 
Back
Top Bottom