Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Sikulaum wew namlaum aliekubal uolewe ukiwa chin ya miaka 18.Utoto bado unakusumbua.Haya endelea na fb umuache mume
 
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Unajidanganya kuwa unampenda. Kama ungekuwa na mapenzi ya kweli hii mada isingekuwepo humu forum. Hata hivyo kwa maelezo yako tu, jamaa alipotea, wewe si wa kuolewa. Ni aina ya hit-and run!
 
JITOE FACEBOOK...FACEBOOK MBONA NI MAMBO MADOGO HALAFU YA MPITO TU. UNATAKA UCHAT NA WANAUME WENGINE WA NINI SHOSTI...FUATA ANACHO SUGGEST MUMEO ILI KULINDA NDOA YENU. NINA IMANI KUNA AMBAVYO HUVIPENDI KWA MUMEO NA USHAMWAMBIA AVIACHE.
Minaona asijitoe fesi buku aiseeee....
Kwani mume kitu gani.....
 
Hili nalo mpaka uuulize humu? Maana kama kweli unampenda angekwambia na uaacha sasa kwa sababu muda mwingi uko fb ndo maana hata mumeo humfuatilii wala kumuonea wivu kwa sababu unaenjoy sana kuwa na wanaume wa fb kuliko jamaa
Mi nadhani jamaa alikosea njia kukuchagua wala hukufaa kuwa mke wake maana unaonesha bado una utoto mwingi sana kichwani,mi mbona nilitoka fb sababu niliona kama sehemu ya kuweka umbea na kijadili picha za watu
Anyway fanya kile moyo wako unasema..........
 
(a)hujitambui (b) huna malezi yakuwa mke wa mtu (c) utakuwa ulilazimishwa kuingia kwenye hiyo ndoa /uliigia kwa lengo la kuitwa na mke wa mtu ingawa akiri yako bado iko misiri.
 
we mwanamke mpumbavu kweli facebook inakusaidia nn kwenye ndoa yako au maisha yako zaid ya kukukuta umbea na porns mmeo wa anakuambia we hutaki .kichwan sjui km kuko sawa.but am sorry kama nimekosea
 
Ukikua utaacha, Facebook hakuna habari motomoto zaidi ya kutongozana tu inbox .
 
mtii mumeo kama atakavyo ila chakuepuka nae asilakuzimishe kufanya mambo amabayo yatakayokufanya umkosee Mungu wako...
so mtii ktk yale yenye kumtia shaka mumeo ktk moyo wake juu yako, ila usimtii ktk yale ya shari baina yako na yeye,
marafiki wapo tu, na marafiki wote huenda wakawa ni wanzuri tu ila bora zaid ktk marafiki wako ni wale wanaokuzunguka, yaan wale walio karibu nawe ktk maisha yako ya kila siku ambayo unaonana nao ana kwa ana.
Namaanisha rafik wa karibu anayekujulia hali kwa kukuona ni bora zaid kuliko yule wa mbali anayekujulia hali kwa text tu wakat hakujui vizur uko vp, kwa7bu hata ukiumwa leo ukawa hoi mahututi kitandan nyumban kwako kias kwamba unahitaj kubebwa kupelekwa hospital na bahati mbaya zaid mumeo hayupo, so hakuna atakayekusaidia zaid ya rafik wa karibu yaan wa ana kwa ana na siyo yule wa social network (facebook)...
so mtii mumeo anataka nini ndugu, fb hakuna issue ktk matatizo zaid ya kurefresh mind tu na ku'waste time "sometimes"...
yani kuandika kote huku ni kumjibu tu huyo dada kuhusu hyo mada....?
 
Mmh ...ingekuwa wewe umekataza mkeo asiingie kisha bado unamuona haachi kuwa online ungekisikiaje?
Mkuu....
Hivi unaweza kulinganisha Facebook na ndoa
Huyu mleta uzi, hajashirikisha akili na ubongo katika kuandika thread aiseeee
 
Hili nalo mpaka uuulize humu? Maana kama kweli unampenda angekwambia na uaacha sasa kwa sababu muda mwingi uko fb ndo maana hata mumeo humfuatilii wala kumuonea wivu kwa sababu unaenjoy sana kuwa wanaume wa fb kuliko jamaa
Mi nadhani jamaa alikosea njia kukuchagua wala hukufaa kuwa mke wake maana unaonesha bado una utoto mwingi sana kichwani,mi mbona nilitoka fb sababu niliona kama sehemu ya kuweka umbea na kijadili picha za watu
Anyway fanya kile moyo wako unasema..........

Nilifikiri wanaume hawapendi kufuatiliwa nyendo zao. We mumewangu ananipenda we hajakosea njia,
 
Du kweli duniani Kuna maajabu. Wenzio tunahassle kuwapata we unawaletea poz kisa Facebook. Du kweli Kuna utofauti
 
Unajidanganya kuwa unampenda. Kama ungekuwa na mapenzi ya kweli hii mada isingekuwepo humu forum. Hata hivyo kwa maelezo yako tu, jamaa alipotea, wewe si wa kuolewa. Ni aina ya hit-and run!

mimi wa kuolewa na ndio maana kanioa jamani, basi angekuwa kasha run, nampenda kweli kweli, ila sipendi tu mashart
 
Hizi cases za wadada kutokuwa tayari kuzaa kwenye ya ndoa zinazidi kuwa nyingi. Hivi mkioana si kila kitu mnapanga kama familia? Iweje mmoja ang'ang'ane kuzaa mwingine aweke ngumu.

SAWA, MAISHA MAGUMU, KULEA KAZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom