Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Sasa we mwanamke mzma fb ya nn unakua kama hivi visichana vidogo ebu waachie mabinti na wanaume!!
Hata mm cwez mruhusu mke wangu aendekeze mitandao ya kijamii
 
Sio kukchubua tu na Bado akule mavi mwanamke gani waambiwa na mumeo hutak kuelewa shame on you nenda kaolewe fcbk sasa
 
Bora umpige, kumfanya hadi kumchubua ndio hukumu gani jamani?
 
Hizi cases za wadada kutokuwa tayari kuzaa kwenye ya ndoa zinazidi kuwa nyingi. Hivi mkioana si kila kitu mnapanga kama familia? Iweje mmoja ang'ang'ane kuzaa mwingine aweke ngumu.
Huyu hajajitambua bado kama ni mke, hujajua ni kwa nini ameolewa, na hajajua kama furaha ya ndoa ni watoto, hajajua kuwa mtoto ndiye rafiki asiyeisha hamu....

Tumpe muda akue...
 
Kuna vitu viwili naviona hapa
!unapenda sana kushinda kwenye mitandaoni kiasi chakushindwa kuilea ndoa yako kwa uhakika!

Kuna vitu hamuendani sana na laaziz .mlee mumeo timiza majukumu yako,wengi mnafeli kwa kujua mume hupenda tendo la ndoa tu la hasha kuna mambo mbali mbali ya kufanya mume aifurahie ndoa yenu.
 
Wewe kweli humpendi mumeo kwann hutaki kumzalia mtoto
 
Yaani wanawake wengine ni buree kbs, huko kwenye facebook kuna nini? Kuna biashara zako unatangaza au ni kwa ajili ya kuchat na kutuma picha tu kama wafanyavyo wengi

kama facebook haikusaidiii kuingiza kipato achana nayo manake its specifically kwa ajili ya matangazo ss wewe unatangaza nn? unaweza kuwa user wa kawaida ambaye anaiaccess kwa mwezi mara 1/2 na bwanako asingemind ila kila dakika uko facebook hata ningekuwa mm ningekupiga marufuku
 
Mama yako anapenda facebook kuliko Baba yako...??!!?
 
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Facebook unaithamini mpaka kuleta mada hapa?utakua ndo unaingia miaka 18 wewe,mitandao ya kijamii ni kichaa kasorobo,huko ni kama kuna pepo kwa wanadamu,sasa wewe shauli yako
 
Mwache Mumeo uolewe na Facebook kisha utuletee mrejesho.
 
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Msikilize mumeo mbona mi mke wangu nilimkataza mambo hayo na wala hakuna ugomvi
 
Huyu hajajitambua bado kama ni mke, hujajua ni kwa nini ameolewa, na hajajua kama furaha ya ndoa ni watoto, hajajua kuwa mtoto ndiye rafiki asiyeisha hamu....

Tumpe muda akue...
Hakika tumpe muda mtani, urewedi? Utonge mtatho..
 
Back
Top Bottom