Kwa vitisho hivyo huyo mumeo ni bwege na hajiamini,
Ila na wewe kama hutaki kujitoa mpe password yako ili awe huru na akaunti yako
Ndio tatizo la wanawke wa mwendo kasiii mkuuum ckuelew... mara utake kukaa peke ako, mara unampenda , mara facebook unaitaka na mme unamtaka....WE FANYA MOYO UNACHOKUTUMA KUFANYA!!
Unavyo onyesha wewe mumeo hana umuhimu kwako , ila FB INA umuhimu
wanamsifia sifia uongo lol.....Kwan hao wanaume wa Facebook wanakupa kitu gan tofaut naa mumeo???
lol we nawe...Pole kwa michubuko mwambie atumie vilainishi lakini nchini havipatikani aagize Kenya.
lol we nawe...