Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

D
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Huyo jamaa inaelekea ana wivu sana na siko zote mwizi hawezi kumuamini mwenzie na anatabia za kikoloni mno
Kama unampenda mvumilie ndo maisha.
 
Mume anacholalamikia mpaka ujitoe kwasabb upi busy sana na wakat mwingine mpaka unamsahau halaf unapost mipicha ya ajabu ajabu huku umeonyesha mikalio na kujibinua kidogo makalio au umepost huku km umebusu.
Tulia kwa jamaa tena anaonekana anakupenda sana.
 
JITOE FACEBOOK...FACEBOOK MBONA NI MAMBO MADOGO HALAFU YA MPITO TU. UNATAKA UCHAT NA WANAUME WENGINE WA NINI SHOSTI...FUATA ANACHO SUGGEST MUMEO ILI KULINDA NDOA YENU. NINA IMANI KUNA AMBAVYO HUVIPENDI KWA MUMEO NA USHAMWAMBIA AVIACHE.
 
Pole kwa michubuko mwambie atumie vilainishi lakini nchini havipatikani aagize Kenya.

Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
 
JITOE FACEBOOK...FACEBOOK MBONA NI MAMBO MADOGO HALAFU YA MPITO TU. UNATAKA UCHAT NA WANAUME WENGINE WA NINI SHOSTI...FUATA ANACHO SUGGEST MUMEO ILI KULINDA NDOA YENU. NINA IMANI KUNA AMBAVYO HUVIPENDI KWA MUMEO NA USHAMWAMBIA AVIACHE.

My kinda woman!

I heart you!
 
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
Jitoe..
 
Ushasema unampenda mumeo basi tii anachokwambia kwa manufaa ya ndoa yenu.

Vinginevo kama unasababu za kushiba tafuta utaratibu wa kumuelewesha aridhike
 
Back
Top Bottom